Wapiganaji sita wa chama cha FNL PALIPEHUTU waachiwa huru Burundi
13 Februari 2007Matangazo
Hata hivyo, ujumbe wa chama hicho uliyofika huko Bujumbura umesema kuwa bado kuna wapiganaji wake wengine watatu hawajulikani walipo na chama hicho kinahofu kuwa huenda waluawa.
Kutoka Bujumbura Hamida Issa anaripoti zaidi.