1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi kutokana na kitisho cha usalama Mandera Kenya

11 Februari 2021

Hofu inaendelea kuwanyemelea wakaazi wa Mandera nchini Kenya kufuatia kitisho cha wanamgambo kutoka nchi jirani. Kulingana na na gavana wa kaunti hiyo Ali Roba, zaidi ya shule 100 hazijafunguliwa kwa sababu ya hofu za usalama.

https://p.dw.com/p/3pERU