1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasiwasi wa usalama Congo kabla ya uchaguzi

Sudi Mnette18 Desemba 2018

Ikiwa imesalia siku tano kabla ya uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo hali ya wasiwasi wa kiusalama imetanda huku kukiripotiwa mikasa ya mauwaji katika harakati za kampeni za wagombea wa upinzani

https://p.dw.com/p/3AIId