Zoezi la upigaji kura mkoani Mtwara Kusini mwa Tanzania limeelezwa kuwa salama kwa asilimia 100 katika vituo vyote vya kupigia kura 3,784 vilivyopo mkoani humo, licha ya zoezi hilo kuwa na muamko wa wastani wa wananchi ambao wanajitokeza kupiga kura kwenye vituo vyao walivyojiandikisha. #kurunzi 27.11.2024