Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu watoto UNICEF limesema watoto 770 000 katika jimbo la Kasai Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakumbwa na utapia mlo na 400,000 miongoni mwao wako katika hali mbaya. Shirika hilo limetaka hatua za dharura za kiutu kuchukuliwa