Mauaji yaitikisa Jamhuri ya Afrika ya kati,Zoezi la kuandikisha wapiga kura laanza rasmi majimbo ya kasai na kasai ya kati huko DRC,na Rais wa Umoja wa Ulaya atamba kwa kusema Umoja huo uko imara na madhubuti kiuchumi,na kampuni ya Apple yazindua simu yake ya iPhone 10 inayotajwa kuwa smartphone bora zaidi.