SiasaWatu wauawa kambi ya wakimbizi DRC28.11.201628 Novemba 2016Watu wapatao 35 wameuliwa kwenye kambi ya wakimbizi kijijini Luhanga, mkoani Kivu ya Kaskazini. Wanamgambo wa Maimai Mazembe wanashukiwa kuendesha mauaji hayo yaliyowalenga watu wa kabila la Hutu.https://p.dw.com/p/2TMPSPicha: MONUSCO/Abel KavanaghMatangazo