1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waziri wa Ulinzi DRC azuru Beni

John Kanyunyu13 Julai 2016

Waziri wa DRC, Crispin Atama Tabe, anakamilisha ziara yake mjini Beni, Kivu kaskazini, huku akitangaza kikao maalumu cha marais wa Uganda na Kongo, baada ya waasi saba waliovalia sare za Uganda kuuawa na jeshi la Kongo.

https://p.dw.com/p/1JOPV

Lakini je, raia wanatarajia nini kutokana na yiara hiyo ya waziri? John Kanyunyu anakutaarifu zaidi kutoka Beni.