1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar yapata Makamu mpya wa kwanza wa rais

5 Machi 2021

Zanzibar yapata makamu mpya wa kwanza wa rais aliyetwaa nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa akishikilia wadhifa huo katika serikali ya Umoja wa kitaifa.Kanisa Katoliki Tanzania lasema mapdri wake kiasi 25 wafariki kwa Covid-19. Na DRC yahimiza hakuna kuakhirisha uchaguzi mkuu wa 2023 Ungana na Saumu Mwasimba katika Afrika wiki hii

https://p.dw.com/p/3qGRx