TeknolojiaZiara za kidijitali zavutia watalii wakati wa COVID-19To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaYusra Abdallah Buwayhid12.08.202012 Agosti 2020Rwanda inatumia ziara za kidijitali kuwavutia watalii, kama njia ya kupambana na vizuizi vya safari vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya corona. Na unajua kuna App inayoweza kupimia ugonjwa wa COVID-19 kutokana na sauti ya kikohozi au chafya?https://p.dw.com/p/3gqCDMatangazo