1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zoezi la kuandikisha wapigaji kura laanza DRC

Saleh Mwanamilongo 13 Desemba 2016

Tume huru ya uchaguzi DRC, imeanzisha zoezi la kuandikisha wapigaji kura kwa uchaguzi mkuu wa Aprili, 2018. Wapigaji kura milioni 40 wanatarajiwa kuandikishwa hadi mwezi Julai 2017.

https://p.dw.com/p/2UBnG