1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Étienne Tshisekedi asema yeye ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

19 Desemba 2011

Licha ya tume ya uchaguzi katika jamhuri ya demokrasi ya kongo kumtangaza rais Joseph Kabila mshindi wa uchaguzi mkuu , kiongozi wa upinzani Etienne Tshisekedi ana nia ya kujiapisha kama rais wa Congo ijumaa hii.

https://p.dw.com/p/13VOW
politician Etienne Tshisekedi talks to journalists after a brief meeting between the South African president Thabo Mbeki and the Congolese delegation in Stellenbosch, Cape Town, South Africa, in this Dec.18, 2002 file photo. 26 million people are entitled to vote in the presidential elections on July 30. (AP Photo/Obed Zilwa)
Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani DRCPicha: AP

Tshisekedi amesema amewafuta kazi mawaziri wote wa serikali ya Kabila na magavana wa majimbo.

Hata hivyo Chama tawala kimelaani matamshi hayo na kuyataja kama uchochezi wa chuki na vurugu nchini humo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo

Mwandishi Sale Mwanamilongo

Mhariri Josephat Charo