You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Asia
Bara kubwa kabisa na lenye watu wengi zaidi duniani, likiwa na kiasi cha wakaazi bilioni 4.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
ILO yaonya ongezeko la watu wanaofanya kazi za kulazimishwa
ILO imesema kazi ya kulazimishwa katika sekta binafsi, huzalisha dola bilioni 236 za faida haramu kila mwaka.
Mgombea urais Indonesia kupinga matokeo mahakamani
Anies Baswedan ambaye aliyekuwa gavana wa Jarkata atafungua kesi hiyo ya malalamiko baada ya matokeo rasmi kutangazwa.
UNICEF: Wanawake milioni 230 ni manusura wa ukeketaji
Lakini ripoti hiyo pia iliangazia maendeleo yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwenye maeneo mengine.
Mahakama ya Uchaguzi Pakistan yaamuru kuharakishwa matokeo
Uhesabuji kura nchini Pakistan umekumbwa na ucheleweshwaji usio wa kawaida siku moja baada ya kura kupigwa.
Watetezi wa demokrasia Myamnar wageukia bunduki
Waandamanaji wamekabiliana tena na jeshi nchini Myanmar, lakini sasa si kwa mabango tu, bali kwa kufyatuliana nao risasi
Pakistan kufanya uchaguzi chini ya kivuli cha jeshi
Wapakistan wengi waliozungumza na DW wameelezea mashaka juu ya matokeo ya uchaguzi huo wakisema yamepangwa.
Hekalu jipya la mungu Ram, lafichua mpasuko India
Waziri Mkuu wa India Modi amezindua hekalu lenye utata la Wahindu huko Ayodhya, lililojengwa kwenye msikiti wa karne nyingi uliobomolewa miaka ya 1990. Kubomolewa kwa eneo la zamani la dini ya Kiislamu kulisababisha ghasia ambapo maelfu, wengi wao wakiwa Waislamu, waliuawa kote India.
Mageuzi ya kisera ya Pyongyang kuzitenga zaidi Korea mbili?
Mageuzi ya kisera ya Pyongyang yatishia kuteteresha mahusiano na Korea Kusini.
Watu 515 wamejeruhiwa ajali ya treni za mwendokasi China
Watu 515, wamejeruhiwa nchini China baada ya treni mbili za chini ya ardhi kugongana katika mji mkuu wa Beijing.
China yashuhudia ongezeko la magonjwa ya mfumo wa upumuaji
China inakabiliwa na ongezeko la homa ya mafua na magonjwa ya mfumo wa upumuaji.
China ilivyogeuka mkusanyaji mkubwa wa madeni duniani
China imetoa mikopo ya dola trilioni 1.3 kwa ajili ya miradi ya miundombinu ili kukuza biashara. Je, italipwaje?
Wamarekani zaidi wenye asili ya Asia wanunua silaha
Wamarekaini zaidi wenye asili ya Asia wanakimblia kununua silaha kutokana na kupungua kwa imani katika mfumo wa sheria.
Watoto wa Asia Kusini wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji
Idadi hiyo ni zaidi ya nusu ya idadi jumla ya watoto wanaoishi kwenye ukanda huo
China, baadhi ya nchi za Asia kufanya luteka ya kijeshi
China na nchi za kusini Mashariki mwa Asia zinajiandaa kufanya luteka ya kijeshi
Upi msimamo wa China katika vita vya Israel na Hamas
Kwa hakika China haikuwa na mahusiano ya ya kidiplomasia kabla ya mwaka 1992 ilipoamua kuyaanzisha.
Macron atoa wito kuimarisha ushirikiano na Asia ya Kati
Rais Emmanuel yuko katika ziara ya siku mbili katika eneo la Asia ya Kati lenye utajiri wa rasimali za mafuta na gesi.
Macron aanza ziara ya kimkakati katika eneo la Asia ya Kati
Ziara ya Macron huko Kazakhstan ni ya kwanza kwa rais wa Ufaransa tangu mwaka 1994.
Watu wapatao 15 wauwawa kwenye ajali ya treni Bangladesh
Haikufahamika mara moja kitu kilichosababisha ajali hiyo.
Je, Pakistan itawatimua wakimbizi mil. 1.7 wa Afghanistan?
Pakistan imetoa hifadhi kwa wakimbizi wa Afghanistan, ambao sasa wamenasa katika mvutano kuhusu mashambulizi ya mgambo.
Bunge la Armenia laidhinisha nchi hiyo kujiunga na ICC
Bunge la Armenia limepiga kura kuidhinisha nchi hiyo kujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC.
Ujerumani yatia saini ushirikiano na mataifa ya Asia ya Kati
Makubaliano yalitiwa saini baada ya Scholz kuwakaribisha viongozi wa Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan na Uzbekistan.
Nchi za G77 na China zinakutana nchini Cuba leo
Kundi la G77 lilianzishwa mwaka 1964 na mataifa 77 kutoka nchi zinazoendelea ili kueleza na kukuza maslahi ya pamoja.
Kim Jong Un awasili Urusi kwa mkutano na rais Putin
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, amewasili Urusi kwa mkutano na rais Vladimir Putin.
Biden asifu enzi mpya ya uhusiano na Vietnam
Biden aliwasili Vietnam jana kwa ziara ya siku moja ya kuimarisha mahusiano na taifa hilo la kusini mashariki mwa Asia.
UN, Iran zahimiza ushirikiano kukabili dhoruba za mchanga
Mataifa katika Mashariki ya Kati, Afrika na Asia yametakiwa kushirikiana ili kukabiliana na dhoruba za mchanga na vumbi.
Kamala: Marekani itaisaidia kanda ya ASEAN mzozo wa Myanmar
Marekani imeahidi kuisaidia Jumuiya ya ASEAN, kuutafutia ufumbuzi mzozo unaozidi makali nchini Myanmar
Waziri Mkuu wa China ahutubia mkutano wa ASEAN
Waziri Mkuu wa China amehutubia mkutano wa kilele wa kundi la mataifa ya ASEAN.
Papa Francis ahimiza maelewano ya kidini Mongolia
Francis aliwasili Mongolia siku ya Ijumaa, akifanya ziara yake ya kwanza ya kipapa katika taifa hilo na ataondoka kesho.
Japan kuchukua Visiwa vya Kuril vinavyozozaniwa na Urusi?
Moscow na Tokyo zimekuwa na mazungumzo kuhusu visiwa hivyo vya Kuril lakini walishindwa kufikia suluhisho.
China yaichokoza India kwa ramani mpya rasmi
Baadhi ya nchi za Asia hutoa ramani rasmi zenye toleo lao la mahali mipaka ya kitaifa inapaswa kuchorwa.
Ongezeko la bei na uviko ndio sababu za umasikini Asia
Janga la UVIKO 19 na ongezeko la bei za vyakula na mafuta vimesababisha karibu watu milioni 70 katika mataifa yanayoende
Raia wa Malaysia wapiga kura kuchaguwa wabunge
Raia nchini Malaysia wanashuka vituoni leo, kwenye majimbo sita kuwachaguwa wabunge wao .
Wizara ya muungano ya Korea Kusini yapata ugumu Kaskazini
Mteule wa kihafidhina wa Korea Kusini kuishinikiza Pyongyang juu ya ukiukwaji wa haki na kuachana na sera ya zamani
Waziri Mkuu Cambodia kumrithisha madaraka mwanaye?
Waziri mkuu Hun Sen anatarajiwa kuendeleza utawala wa nasaba kwa kumruhusu mwanaye kuchukuwa wadhifa huo.
Urusi na China zafanya luteka za pamoja za kijeshi
Urusi imeanza luteka ya pamoja ya kijeshi na China katika Bahari ya Japan.
Rais wa Uzbekistan ashinda muhula mwingine madarakani
Matokeo ya awali yanaonesha Mirziyoyev aliyekuwa akichuana na wagombea watatu amepata ushindi wa asimilia 87 ya kura.
Watu 6 wauwawa kwenye shambulio la kisu nchini China
Watu 6 wameuwawa leo na mwengine mmoja amejeruhiwa katika shambulizi la kutumia kisu lililotokea huko nchini China.
Raia wa Uzbekistan wapiga kura kurefusha utawala wa rais
Uchaguzi huo umefanyika ikiwa ni miezi kadhaa baada ya rais Mirziyoyev kubadili Katiba ili kuongeza ukomo wa utawala.
Mataifa kadhaa ya Asia yakumbwa na mvua kubwa
Mataifa kadhaa barani Asia yanashuhudia mvua kubwa za msimu ambazo tayari zimesababisha vifo vya makumi ya watu.
China yaonya kuanzishwa ushirika wa kijeshi Asia-Pasifiki
Waziri wa Ulinzi wa China Li Shangfu ametahadharisha juu ya kuanzishwa ushirika wa kijeshi kama ule wa NATO
03.06.2023 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
03.06.2023 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Japan itaharibu kombora litakalorushwa na Korea Kaskazini
Baada ya Korea Kaskazini kuiarifu mapema leo kwamba inatarajia kurusha satelaiti kati ya Mei 3 na Juni 11.
Xi apigia upatu usuhuba wa China na mataifa ya Asia ya Kati
Rais wa China amesema nchi yake pamoja na mataifa ya Asia ya Kati ni lazima yaanzishe kikamilifu ushirikiano baina yao.
Simu ya Rais Xi wa China kwa Zelensky ina tija gani?
China inataka kuendelea kujinadi kama "mpatanishi" kupitia mawasiliano ya simu ya Xi na Zelenskyy.
Msichana Jasiri-Asia Mussa , binti wa mjini anayefanya ufundi wa magari
Wahenga walisema mchagua jembe si mkulima, na kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani. Binti Asia Mussa wa Dar es Salaam ameamua kuwa badala ya kukimbizana na kazi za kuajiriwa, afuate ndoto zake, akakunja mikono ya shati na kuzamia katika umakenika wa magari. Na huo ni mwanzo tu. Sikiliza hadithi yake, na pia ndoto zake katika vidio hii ya #MsichanaJasiri.
Antony Blinken aaahidi msaada kwa Asia ya Kati
Blinken ameapa uungaji mkono wa uhuru wa zilizokuwa jamhuri za muungano wa Usovieti
India na Pakistan kwanini zinazozana juu ya mkataba wa IWT?
Kwanini India inazozana na Pakistan juu ya mkataba wa kihistoria?
Ukuaji wa uchumi ulimwenguni kupungua mwaka 2023
Kama moja ya athari za mzozo wa chakula na nishati uliosababishwa na vita vya Ukraine, janga la UVIKO-19.
FAO: Njaa duniani sababu ni uhaba na bei za juu za vyakula
Bei za vyakula zinazidi kupanda hali inayosababisha umasikini kuongezeka miongoni mwa watu duniani.
Ukatili wa wasichana katika nchi za Asia
Serikali mpya ya Kenya imeonyesha juhudi za kukomesha ukatili unaotendewa wanawake wanaofanyakazi Mashariki ya Kati
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 5
Ukurasa unaofuatia