1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSyria

Assad akimbia nchi, waasi waukamata Damascus

9 Desemba 2024

Raia wa Syria wameendelea kumiminika kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mji mkuu Damascus kuashiria mapambazuko yaliyosubiriwa kwa muda mrefu baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al-Assad. Tizama video hii kwa mengi zaidi. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4nw6d