Makundi ya waasi wa Syria yakiongozwa na Hayat Tahrir al-Sham, HTS, yameuangusha utawala wa Rais Bashar Assad, ambaye amepewa hifadhi nchini Urusi. Mkuu wa HTS Ahmed al-Sharaa anaongoza serikali ya mpito nchini humo.