MichezoBingwa wa Miereka SyriaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezo02.01.20182 Januari 2018Japo aliikimbia nchi yake ya Syria inayozongwa na vita akaenda Misri, Amir Awad aliendeleza ari yake katika mchezo wa miereka. Akawa bingwa aliyeyashinda mataji mbalimbali akichezea timu ya taifa ya miereka ya Syria.https://p.dw.com/p/2qECGMatangazo