You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ukosefu wa ajira wapanda kwa 4% Uingereza
Ukosefu wa ajira nchini Uingereza umeongezeka kwa 4% katika muda wa miezi mitatu kuelekea mwishoni mwa mwezi Mei.
Biden afanya mazungumzo na viongozi wa Uingereza
Uingereza ni kituo cha kwanza cha ziara ya Rais Joe Biden ambayo itamfikisha katika nchi tatu za Lithuania na Finland.
Biden akutana na Mfalme Charles III na waziri mkuu Sunak
Biden alimtembelea Mfalme Charles kwenye kasri la Windsor kwa mazungumzo yaliyotuama juu ya masuala ya mazingira.
Biden awasili Uingereza kabla ya mkutano wa NATO
Biden atayatembelea mataifa matatu ya Ulaya: Uingereza, Lithuania na Finland ambayo imejiunga hivi karibuni na NATO.
China yaifuta ziara ya Mkuu wa Sera za Kigeni wa EU
Umoja wa Ulaya umesema kuwa China imeifuta ziara ya mwanadiplomasia mkuu wa umoja huo Josep Borell.
Sheria mpya dhidi ya migomo yaanza kutumika Uingereza
Sheria mpya inayowapa polisi mamlaka zaidi katika hatua dhidi ya migomo yaana kutumika leo Uingereza
Hungary, Poland zapinga mabadiliko ya sheria za Uhamiaji EU
Poland imeiunga mkono Hungary katika kupinga makubaliano ya mabadiliko ya sheria za uhamiaji.
UK: Mahakama yasema si sheria kuwapeleka wahamiaji Rwanda.
Waziri Mkuu wa Uingerezaa apata pigo baada ya mahakama kubatilisha mpango wake wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda.
Serikali ya UK yakwaa kisiki uhamishaji waomba hifadhi
Mahakama ya rufaa jijini London imeamua kwamba mpango wa Uingereza kuwapeleka Rwanda waomba hifadhi si halali.
Kenya kuanzisha uchunguzi juu ya Jeshi la Uingereza
Wanajeshi kutoka Uingereza wanafanya mazoezi katika eneo la uhifadhi lenye ekari 250,000 kaunti ya Laikipia.
EU kuchukuwa hatua kuelekea euro ya kidijitali
Wakosoaji wanahoji uhitaji wa euro ya kidijitali na kuonya juu ya hatari kubwa.
Kituo cha matibabu cha EU kinachowatibu majeruhi wa vita
Kituo hiki cha uhamishaji wa kimatibabu kimewasaidia wagonjwa na majeruhi wa vita kutoka Ukraine zaidi ya 600, kwa sasa kimekuwa ni mwangaza wa tumaini jipya kwa wapiganaji wa Ukraine ambao walijeruhiwa vibaya kwenye uwanja wa mapigano. Wanaona wanayo nafasi nyingine ya kupona na kurejea kulitetea taifa lao.
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wakutana Brussels
Tukio la uasi wa kundi la mamluki wa Kirusi la Wagner nchini Urusi linatarajiwa kugubika kikao hicho cha Luxembourg
EU yawaita viongozi wa Serbia na Kosovo kwa mazungumzo
Mkuu wa Sera za Kigeni Josep Borrell atafanya mkutano wa dharura na Waziri Mkuu wa Kosovo na Rais wa Serbia
Rishi Sunak kutangaza msaada kwa Ukraine
Rishi Sunak kutangaza msaada kwa Ukraine katika mkutano unaonuwia kutafuta uungaji mkono wa kuijenga upya nchi hiyo
Tetesi za uhamisho wa wachezaji barani Ulaya zapamba moto
Tetesi za soka barani zinazidi kugonga vichwa vya wadau wa soka na vilabu vya soka kote barani Ulaya.
Ukraine yapokea ahadi zaidi za kupatiwa silaha
Ukraine itapokea msaada ziada wa mifumo ya ulinzi na makombora kutoka kwa nchi za magharibi.
Mpango wa EU wa kuokoa uchumi wa Tunisia
Mustakabali wa uhusiano kati ya Ulaya na Tunisia utaamuliwa ndani ya wiki mbilizi zijazo ikiwa rais Saied ataridhia.
Uingereza yaelezea taarifa mchanganyiko kuhusu vita Ukraine
Uingereza yaelezea taarifa mchanganyiko kuhusu vita Ukraine
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza ajiuzulu ubunge.
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson amejiuzulu nafasi yake ya ubunge.
Mahakama ya EU yalaani shambulizi la sumu la Urusi la 2020
Mahakama ya haki ya Ulaya imeilaani Urusi kwa kushindwa kuchunguza kikamilifu tukio la 2020 la sumu.
Mwanamfalme Harry wa Uingereza atarajiwa Mahakamani
Mwanamfalme Harry wa Uingereza atarajiwa Mahakamani kutoa ushahidi.
EU kuujadili mgogoro wa Azerbaijan na Armenia
Azerbaijan na Armenia zimefanya mazungumzo mara nyingi katika miezi ya hivi karibuni kutafuta suluhisho la mgogoro wao.
EU: Viongozi wa Kosovo na Serbia watulize mvutano uliopo
Umoja wa Ulaya unajadili hatua zinazoweza kuchukuliwa iwapo pande husika zitaendelea kukataa hatua za kudhibiti hali.
EU Kutuma ujumbe wa Haki za Binadamu Cuba
Umoja wa Ulaya utatuma ujumbe maalum wa haki za binadamu nchini Cuba kujadili athari za maandamano ya mwaka uliopita
Karibuni: Ulimwengu wa muziki waomboleza kifo cha Malkia wa muziki wa Rock & Roll Tina Turner
Katika Kipindi hiki utasikia namna ulimwengu wa muziki utakavyomkumbuka Tina Turner, Malkia wa Rock and roll aliyefariki hivi karibuni akiwa na miaka 83, baada ya kuugua kwa muda mrefu katika makaazi yake ya Küsnacht karibu na mji wa Zurich. Sudi Mnette ana mengi
Dunia yaomboleza kifo cha gwiji wa muziki, Tina Turner
Wanasiasa na watu mashuhuri katika fani ya burudani wameomboleza kifo cha gwiji wa Rock and Roll, Tina Turner.
EU, Korea Kusini zaikosoa Urusi, Korea Kaskazini
Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, vitisho vya Pyongyang dhidi ya Seoul vyagubika mazungumzo ya EU na Korea Kusini.
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wajiandaa kuijadili Sudan
Usitishaji mapigano unatarajiwa kutowa nafasi ya kupelekwa msaada wa kibinadamu
Mataifa ya G7 yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Kwenye mkutano wao wa kilele nchini Japan, viongozi wakuu wa G7 wamekubaliana juu ya vikwazo zaidi dhidi ya Urusi.
Zelenskiy aishukuru Ujerumani, Ufaransa na Uingereza
Mataifa ya magharibi yamekuwa yakiisaidia Ukraine kijeshi katika mapambano yake dhidi ya Urusi.
Zelenskiy azuru Uingereza, apata ahadi ya silaha zaidi
Zelenskiy alizuru mataifa ya Ujerumani, Ufaransa na Italia mwishoni mwa wiki kusaka msaada zaidi wa kijeshi na kifedha.
Urusi: Ukraine yatumia makombora ya Uingereza kuwalenga raia
Urusi imesema Ukraine imetumia makombora ya masafa marefu ya Uingereza kuyalenga maeneo ya kiraia Lugansk.
Hungary yatishia kuzuia vikwazo vipya vya EU dhidi ya Urusi
Hungary imetishia kuzuia awamu mpya ya vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi.
Mawaziri wa fedha wa nchi saba tajiri wakutana Japan.
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa kundi la nchi saba tajiri, G-7 wakutana nchini Japan.
Uingereza: Mkuu wa kundi la watu wanaopinga ufalme aachiwa.
Mkuu wa kundi la watu wanaopinga ufalme nchini Uingereza Graham Smith ameachiwa huru.
Mfalme Charles III wa Uingereza avikwa taji
Mfalme Charles III wa Uingereza amevikwa taji leo katika kanisa la Anglikana la Westminster Abbey jijini London
Mfalme Charles lll amekula kiapo na kuvikwa taji
Mfalme Charles lll amekula kiapo na amevikwa taji kwenye sherehe iliyohudhuriwa na maalfu ya wageni na watu mashuhuri.
Mfalme Charles wa tatu kuvikwa taji
Maalfu wahudhuria sherehe ya kuvikwa taji mfalme wa Uingereza Charles wa tatu.
Jill Biden kushuhudia kutawazwa kwa Mfalme Charles III
Jill Biden ataiwakilisha Marekani kwenye sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles III wa Uingereza
EU yataka hukumu ya kifo ya Jamshid Shamrad ifutwe
Umoja wa Ulaya walaani hukumu ya kifo ya mahakama ya Iran dhidi ya Jamshid Sharmad, mjerumani mwenye asili ya Iran
Raia wa kigeni na wanadiplomasia kuondolewa nchini Sudan.
Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema pande zinazopigana zinahitaji kuzungumza kama Wasudan
Mkuu wa EU asema mahusiano yanaimarika na Ethiopia
Umoja wa Ulaya umesema utarejesha mahusiano yake ya kawaida na mamlaka za eneo hilo hatua kwa hatua
Wafanyakazi wa idara ya uhamiaji Uingereza waanza mgomo
Nchini Uingereza wafanyakazi wa ofisi inayoshughulikia hati za usafiri wameanza mgomo wa wiki tano.
EU yasema itaweka ulinzi dhidi ya ukiukaji wa Urusi katika
Urusi, moja ya wanachama watano wa kudumu wa Baraza la Usalama imechukua urais wa Baraza la Usalama
Viongozi wa EU waionya China kuhusu uhusiano wake na Urusi
Wiki ijayo, Von der Leyen ataambatana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron hadi mjini Beijing, China.
Mfalme Charles III wa Uingereza aanza ziara Ujerumani
Hii ni ziara yake ya kwanza ya kigeni tangu aliporithi kiti cha ufalme baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II.
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara nchini Ujerumani
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara ya siku tatu nchini Ujerumani
Bunge la Scotland lamthibitisha Yousaf kuwa Waziri kiongozi
Yousaf ataapishwa kama waziri kiongozi katika sherehe itakayofanyika Jumatano, baada ya kupasishwa na Mfalme Charles
Uingereza yahofia mashambulizi ya kigaidi ziara ya Biden
Uingereza imetowa tahadhari ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika jimbo la Ireland ya Kaskazini.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 46
Ukurasa unaofuatia