You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uingereza kupeleka walinzi wa amani 200 Kosovo
Uingereza kupeleka walinzi wa amani 200 Kosovo
Uingereza yasaini kandarasi ya mradi wa nyambizi mpya
Uingereza yasaini kandarasi ya mradi wa nyambizi mpya
Chama cha Conservative cha Uingereza chafanya Mkutano Mkuu
Chama tawala nchini Uingereza cha Conservative kinafanya mkutano wake mkuu kuanzia leo huko Manchester.
NATO kuongeza kikosi cha kulinda amani Kosovo
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg ameeleza kuwa "ameidhinisha vikosi vya ziada ili kushughulikia hali ya sasa."
Mawaziri wa EU kujadili tena mageuzi ya uombaji hifadhi
Umoja wa Ulaya kukutana Brussels kujaribu kupiga hatua kuhusu suala tete la mageuzi ya mfumo wa waomba hifadhi.
Urusi:Marekani na Uingereza wanahusika na shambulio Crimea
Urusi yazituhumu Marekani na Uingereza kusaidia Ukraine kufanya shambulizi Crimea.
Uingereza yaidhinisha mradi tata wa kuchimba mafuta na gesi
Uingereza yatoa kibali kwa mradi tata wa kuchimba mafuta na gesi asilia kwenye eneo lake moja la Bahari ya Kaskazini.
Hujuma kwenye Nord Stream bado kitendawili
Bado kuna nadharia nyingi juu ya mashambulizi hayo na hadi sasa yamebaki kuwa kizungumkuti na bado hakuna jibu.
Uingereza yawaweka wanajeshi wake katika tahadhari
Kesi dhidi ya afisa huyo wa polisi inaubua kwa mara nyingine madai ya ubaguzi wa rangi kwenye jeshi hilo la polisi.
Suella Braverman atarajiwa kufanya ziara nchini Marekani
Braverman atarajiwa kutafuta ushirikiano wa Marekani kukabiliana na uhamiaji haramu
Ulaya yaonywa juu ya ongezeko la wapinga demokrasia
Ulaya yaonywa juu ya ongezeko la wapinga demokrasia
EU kuilipa Tunisia chini ya mkataba wa kudhibiti uhamiaji
Tunisia ni kati ya nchi ambako wahamiaji wengi hutokea kwa njia ya boti kuelekea Ulaya kupitia Bahari Mediterania.
Mfalme Charles III alihutubia Bunge la Ufaransa
Mfalme huyo atavitembelea vitongoji vya kaskazini mwa mji mkuu Paris na atalizuru Kanisa kuu la Notre-Dame
Mfalme Charles III kuimarisha uhusiano na Ufaransa
Charles yupo Ufaransa kwa ziara ya siku tatu ambayo awali ilikuwa ifanyike mwezi Machi lakini ikasogezwa mbele.
Mfalme Charles III atarajiwa kulihutubia Bunge la Ufaransa
Rais Macron amesema licha ya Uingereza kujiondoa ndani ya Umoja wa Ulaya, bado itaendelea kuwa sehemu ya kanda hiyo
Uingereza na Ufaransa zaombwa kuimarisha mahusiano yao
Mahusiano ya Ufaransa na Uingereza yameshuhudia kipindi cha msukusuko kwa hiyo ni vizuri kuyaimarisha tena
EU, Ujerumani zaitaka Poland kujieleza kuhusu rushwa ya visa
Upinzani wa Poland unadai kuwa idadi halisi huenda ni watu 250,000 waliopewa visa kwa njia ya udanganyifu na rushwa.
EU, Ujerumani zataka Poland kujieleza kuhusu rushwa ya visa
EU na Ujerumani zimeiongezea Poland shinikizo kufafanua kashfa ya utoaji viza inayoweza kuathi uhusiano na majirani.
EU yasitisha kwa muda ufadhili Somalia
Umoja wa Ulaya umesitisha kwa muda ufadhili kutoka kwa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani nchini Somalia.
Erdogan: Uturuki inaweza kusitisha juhudi za kujiunga na EU
Rais wa Uturuki Reccip Tayyip Erdogan leo ameashiria kuwa nchi yake kusitisha juhudi za kujiunga na Umoja wa Ulaya.
Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kuendeleza vikwazo kwa Iran
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zitaendelea kuiwekea vikwazo Iran kutokana na kuendelea kuzalisha silaha za nyuklia.
Uhispania na Uingereza wasaidia shughuli za uokozi, Morocco
Tetemeko hilo linalotajwa kuwa ndiyo kubwa zaidi katika kipindi cha karibu miongo sita limewajeruhi zaidi ya watu 2,000.
Wanaharakati Uganda waikosoa EU kufuatia sheria ya LGBTQ
Sheria iliyopitishwa dhidi ya vitendo vya ushoga nchini Uganda inatoa adhabu kali ikiwemo uwezekano wa hukumu ya kifo
Uingereza kulipiga marufuku kundi la Wagner
Kundi la Wagner limewahi kuendesha shughuli zake nchini Ukraine, Mashariki ya Kati barani Afrika.
Umoja wa Ulaya yasema idadi ya waomba hifadhi yaongezeka
Idadi ya walioomba hifadhi katika nchi za Ulaya mwaka huu ndio kubwa zaidi kuwahi kuonekana tangu mwaka 2015-2016
Ufaransa, Uingereza na AU walaani mapinduzi ya kijeshi Gabon
Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika Moussa Faki ametoa wito kwa jeshi la Gabon kuhakikisha usalama wa Ali Bongo.
Jeshi lamtangaza Brice Nguema kama kiongozi wa mpito Gabon
Brice Nguema alikuwa mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais tangu mwaka 2020 japo amehusishwa na kashfa za ufisadi.
EU yazingatia majibu yake kwa mapinduzi ya kijeshi Niger
Algeria nayo yapendekeza muda wa miezi sita kwa mpango wa serikali ya mpito nchini Niger
Umoja wa Ulaya waupitia mpango wa ulinzi wa Ukraine
Mawaziri wa mambo ya nje wa Urusi na Uturuki wanapanga kukutana kuujadili mzozo kati ya Urusi na Ukraine.
Uingereza yashawishika kifo cha Prigozhin
Idara ya ujasusi nchini Uingereza inasema kuna uwezekano mkubwa kwamba Yevgeny Prigozhin kweli amefariki dunia.
Baadhi ya mashambulio dhidi ya Urusi yanatokea ndani
Shirika la ujasusi la Uingereza limesema baadhi ya mashambulio dhidi ya Urusi yanatokea ndani ya nchi hiyo.
Muuguzi aliyewauwa watoto 7 ahukumiwa maisha.
Muuguzi aliyewauwa watoto 7 ahukumiwa maisha.
Mashabiki wa Man. United wapinga kurejea kwa Mason Greenwood
Mashabiki wa Manchester United wameandamana kupinga uwezekano wa kurejea kwa mashambuliaji Mason Greenwood.
Wahamiaji 6 wamekufa Ufaransa wakijaribu kuingia Uingereza
Wahamiaji 6 wamefariki dunia baada ya boti kuzama kwenye ujia wa maji wakijaribu kuingia Uingereza kutokea Ufaransa.
Zaidi ya wahamiaji 600 waokolewa Bahari ya Mediterania
Meli ya hisani ya Ocean Viking imewaokoa zaidi ya wahamiaji 600 waliokuwa kwenye boti ndogo katika bahari ya Mediterania
AU, EU, Marekani zasikitishwa kutoachiliwa familia ya Bazoum
Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Marekani zimesikitishwa na kutoachiliwa familia ya rais wa Niger aliyepinduliwa.
Zaidi ya wahamiaji 100,000 wavuka ujia wa maji wa Uingereza
Zaidi ya wahamiaji 100,000 wamevuka mpaka wa ujia wa bahari unaoitenganisha Uingereza na Ufaransa kwa kutumia boti.
Uingereza na Uturuki zaungana kupambana na uhamiaji haramu
Uingereza itapeleka maafisa zaidi Uturuki kukabiliana na magenge ya wahalifu yanayoendesha njia za haramu za uhamiaji.
Urejeshaji wa mpakani wa EU: Sera "kivuli" ya uhamiaji?
Mamlaka zimeshutumiwa kuwafukuza kinyume cha sheria watu wanaotafuta hifadhi kwa miaka mingi. Lakini "pushback" ni nini?
Uingereza yaziwekea vikwazo kampuni zenye ushirika na Urusi
Uingereza, Marekani na Umoja wa Ulaya zimeshaweka vikwazo vya aina mbalimbali tangu mwezi Februari ili kuiadhibu Urusi.
Nigeria nje, Uingereza yapeta Kombe la Dunia la Wanawake
Uingereza yasonga mbele hatua ya robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake 2023.
Chama cha AfD cha Ujerumani chasema EU ni mradi ulioshindwa
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Mbadala kwa Ujerumani AfD kimetangaza Umoja wa Ulaya kuwa "mradi ulioshindwa
Utawala wa kijeshi waitisha maandamano makubwa Niger
Kumekuwepo wasiwasi wa usalama kufutia maandamano hayo huku Ufaransa ikidai kuhakikishiwa usalama kwa balozi za kigeni.
AU na EU zaongeza shinikizo kwa viongozi wa mapinduzi Niger
Baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika, limewataka wanajeshi kurejea mara moja katika kambi zao.
Zelensky amfuta kazi balozi wake nchini Uingereza
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemfuta kazi balozi wao nchini Uingereza.
Luiz Inacio Lila Da Silva kuitumia EU pendekezo la MERCOSOR
Luiz Inacio Lila Da Silva mesema atautumia Umoja wa Ulaya pendekezo mbadala kuhusu muafaka wa biashara wa MERCOSOR
Muswada wa Uingereza kuhusu wahamiaji watarajiwa kuwa sheria
Muswada wa Uingereza kuhusu wahamiaji watarajiwa kuwa sheria
Mpango wa waomba hifadhi wa Uingereza watarajiwa kuwa sheria
Mpango wa Uingereza wa kuwapeleka waomba hifadhi Rwanda, unatazamiwa kuwa sheria
Uingereza yawawekea vikwazo maafisa wa Urusi.
Uingereza imezingatia masuala ya uhamishwaji wa watoto wa Ukraine kuelekea Urusi mbali na mengine mengi.
UN kufanya mkutano kuhusu teknolojia ya akili bandia.
Mkutano huu unafanika wakati ambapo matumizi ya akili bandia yameongezeka duniani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 46
Ukurasa unaofuatia