You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UN: Mfumo wa hifadhi ya wakimbizi wa Rwanda haujitoshelezi
UN: Mfumo wa hifadhi ya wakimbizi wa Rwanda haujitoshelezi
Vyama vya mrengo wa kulia kuwa na ushawishi zaidi Ulaya?
Vyama hivyo vinataka kuwa na ushawishi vikiwa ndani ya Umoja wa Ulaya na si kujitenga kama vilivyokuwa vikinadi awali.
Mafanikio ya mrengo mkali wa kulia yana maana gani Ulaya?
Ushindi wa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa na Ujerumani, haujaweza kuvipindua vyama vya kihafidhina vyenye wingi wa viti katika bunge la Ulaya na kumfanya Ursula von der Leyen kuwa katika mkondo wa kuendelea kuongoza Halmashauri ya Umoja huo hadi mwaka 2029. Hata hivyo ushindi wa vyama hivyo, umekuwa ni pigo. Rashid Chilumba na mwandishi nguli Abdul Mtulya walijadili hili.
Muungano wa Scholz umepata pigo uchaguzi wa bunge la Ulaya
Matokeo ya awali ya bunge la Ulaya yanaonesha muungano wa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz umeshindwa vibaya.
Kansela Scholz asisitiza uungaji mkono kwa Ukraine
Kuelekea uchaguzi wa bunge la Ulaya wa Jumapili Ujerumani, kura za maoni zinaonesha SPD itapata asilimia 15 ya kura.
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya kudhoofisha muungano wa Scholz?
Matokeo ya uchaguzi huo yanahofiwa kuwa na athari kubwa ndani ya Ujerumani na hata katika taasisi za EU mjini Brussels.
Raia milioni 400 wa Ulaya waendelea kupiga kura
Uchaguzi wa Bunge la Ulaya hufanyika kila baada ya miaka mitano katika jumuiya hiyo yenye wanachama 27.
Putin: Urusi bado ni mshirika mkubwa wa kibiashara duniani
Putin ameongeza kuwa karibu robo tatu ya biashara za nje sasa inafanywa na nchi ambazo ni rafiki kwa Urusi.
Ireland na Jamhuri ya Czech zapiga kura uchaguzi wa EU
Ireland na Jamhuri ya Czech zapiga kura katika uchaguzi wa bunge la Umoja wa Ulaya.
Viongozi wa dunia waadhimisha miaka 80 ya D-Day
Maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanza kwa operesheni ya kijeshi iliyoikomboa Ulaya kutoka mikononi mwa Wanazi yamefanyika
Sunak na Starmer washiriki mdahalo wa kwnaza wa televisheni
Sunak na Starmer washiriki mdahalo wa kwnaza wa televisheni kuelekea kura Julai 4
Ujerumani na shauku duni ya uchaguzi wa Umoja wa Ulaya
Utafiti wa maoni unaonesha mtu mmoja kati ya wanne nchini Ujerumani hatakwenda kupiga kura kwenye uchaguzi wa Ulaya.
Venezuela yawakataa waangalizi wa EU katika uchaguzi wake
Uchaguzi wa rais utafanyika Julai 28 na rais Nicolas Maduro atagombea muhula wa tatu
Mwaziri wa EU washindwa kufikia makubaliano kuhusu Ukraine
Serikali ya mjini Kiev inasisitiza kwamba wanajeshi wake wanahitaji kuruhusiwa kushambulia ndani ya Urusi
Kenya yafanya mikutano ya hujuma ya wanajeshi wa Uingereza
Kenya yafanya mikutano ya hadhara kuhusu madai ya dhuluma na wanajeshi wa Uingereza
Mawaziri wa EU waidhinisha vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Mfumo mpya wa vikwazo vya Ulaya dhidi ya Urusi ulianzishwa kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani Urusi Alexei Navalny.
Manchester United yaahidi kufanya makubwa zaidi msimu ujao
Manchester United wamelipa kisasi cha fainali ya mwaka uliopita kwa kuifunga Manchester City 2-1 uwanjani Wembley.
Watu 12 wajeruhiwa baada ya ndege kukumbwa na msukosuko
Mamlaka hiyo imeeleza kuwa ndege hiyo imetua salama na imewasili kwa wakati kama ilivyopangwa.
Rishi Sunak aitisha uchaguzi mkuu Uingereza
Kulingana na uchunguzi wa maoni ya wapigakura, chama cha Labour kinaongoza mbele ya Conservative.
Chama cha AfD champiga marufuku mgombea wake mkuu wa EU
AfD imempiga marfuku Maximilian Krah kutojitokeza hadharani kwenye kamapeni za hama.
Kutambuliwa Palestina kama dola huru kwasifiwa na kupingwa
Nchi mbalimbali zasifu mpango wa kuitambua rasmi Palestina kuwa ni dola huru Israel yapinga hatua hiyo.
Viongozi wa dunia wakutana Seoul kuijadili Akili ya Kubuni
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wamepitisha Sheria ya Akili ya Kubuni kwa madhumuni ya kuratibu teknolojia hiyo.
Assange akubaliwa kupinga hukumu ya kuhamishwa Marekani
Julian Assange ameshinda nafasi ya kukata rufaa dhidi ya kuhamishiwa Uingereza.
EU yapiga marufuku vituo vinne vya habari vya Urusi
Uamuzi huo unatolewa, wakati ambapo Umoja huo wa unaelekea katika uchaguzi wa bunge ndani ya wiki tatu zijazo.
Zelensky: Hali ya utulivu imeanza kurejea Kharkiv
Zelensky amesema: "Dunia ina nguvu, ina silaha, ina uwezo wa kuilazimisha Urusi kurejea kwenye amani ya haki."
EU yaidhinisha makubaliano ya kudhibiti wahamiaji
EU yaidhinisha makubaliano ya kudhibiti wahamiaji
Wachambuzi watilia shaka uwezo wa vikosi vya SADC huko Congo
Wachambuzi wanasema kwa sasa ufadhili kutoka Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya unasubiriwa kusaidia vikosi vya SADC.
EU yakosoa kufungiwa waangalizi wa uchaguzi wa Chad
Mashirika manne ya kiraia, likiwemo la kutetea haki za binadamu la Chad, yameishtumu tume ya uchaguzi kwa uamuzi huo.
EU ´yapiga jeki´ mashirika yanayotoa msaada Yemen
Umoja wa Ulaya umetangaza msaada wa dola milioni 125 kuyapiga jeki mashirika yanayowasaidia watu nchini Yemen.
Von der Leyen: EU tayari kulinda uchumi wake dhidi ya China
Ursula von der Leyen amesema EU hautosita kuchukua hatua za kulinda uchumi wake na ulinzi, dhidi ya China.
Uingereza kuanza kuwapeleka wahamiaji Rwanda Julai Mosi
Safari za kwanza za ndege za kuwahamishia waomba hifadhi nchini Rwanda zitaanza kati ya Julai Mosi na Julai 15.
Labor yashinda uchaguzi mdogo wa Uingereza
Matokeo hayo huenda yakaongeza shinikizo zaidi kwa Waziri Mkuu Rishi Sunak.
NATO inalaani "shughuli mbaya" za Urusi kwenye eneo lake
NATO inalaani "shughuli mbaya" za Urusi kwenye eneo lake
EU yatangaza msaada wa euro bilioni moja kwa Lebanon
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya imetangaza kutoa msaada wa euro bilioni moja kwa ajili ya Lebanon
Uingereza yathibitisha kuwazuia wahamiaji
Uingereza imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji kadhaa, wanaotarajiwa kupelekwa Rwanda mwezi Julai.
Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda
Uganda yasema ufisadi unatumiwa tu kama kisingizio cha vikwazo vya Uingereza dhidi ya maafisa wake.
Kwanini Umoja wa Ulaya bado unaagiza gesi kutoka Urusi?
Ingawa gesi ya Urusi bado inatiririka kuelekea EU, mchango wake katika kiwango jumla cha uagizaji kimeshuka tangu 2021.
Uingereza kuwapeleka takribani waomba hifadhi 6,000 Rwanda
Atkins amesema serikali ya Uingereza itawapeleka nchini Rwanda wahamiaji wapatao 6,000 kwa mwaka huu.
G7 kuachana na makaa ya mawe ifikapo 2035
Kundi la nchi tajiri kiviwanda (G7) zimekubaliana kuhusu muda wa mwisho wa matumizi ya makaa ya mawe ifikapo mwaka 2035
Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu
Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf amejiuzulu zaidi ya mwaka mmoja baada ya kuchukua nafasi hiyo.
Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu
Waziri kiongozi wa Scotland Humza Yousaf amejiuzulu leo Jumatatu, kabla ya kura mara mbili za kutokuwa na imani naye.
Sheria ya kupinga LGBTQ Iraq yakosolewa na wanaharakati
Muswada uliopita, ulikuwa umependekeza adhabu ya kifo kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Macron kuihamasisha tena Ulaya kuacha kuitegemea Marekani
Ulaya imekuwa ikishirikiana kwa kiasi kikubwa Marekani kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Ujerumani, Uingereza kuendelea kuisaidia Ukraine
Viongozi wa Ujerumani na Uingereza wameahidi kuendelea kuisaidia Ukraine
Rishi Sunak kukutana na Kansela Scholz nchini Ujerumani
Viongozi hao wawili wanatarajiwa kutangaza mipango ya ushirikiano wa kijeshi.
UN yaitaka Uingereza kufirikia upya sheria yake ya uhamiaji
Umoja wa Mataifa waitaka Uingereza kufirikia upya kuhusu sheria ya waomba hifadhi.
Sunak "Hakuna cha kutuzuia kupeleka wahamiaji Rwanda"
Serikali ya Uingereza ilikabiliwa na upinzani mkali wa sera hiyo kutoka makundi ya haki za binaadamu na kwingineko.
Bunge la Uingereza laidhinisha kupelekwa wahamiaji Rwanda
Hii ni sehemu ya majibu ya Waziri Mkuu Sunak kukomesha vitendo vya waomba hifadhi kuingia Uingereza kinyume cha sheria
Uingereza yashikilia mpango wa kuwapeleka wakimbizi Rwanda
Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa kudhibiti wahamiaji wanaoingia nchini humo ambao umeibua mkanganyiko mkubwa.
EU yafikiria kuliwekea vikwazo jeshi la Walinzi wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Hadja Lahbib amesema hii leo kwamba vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya kwa Iran.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 46
Ukurasa unaofuatia