You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Viongozi wa EU kujadili kuhusu ulinzi wa anga wa Ukraine
Mawaziri hao wanatazamiwa pia kujadili vita vinavyoendelea nchini Sudan na Mashariki ya Kati.
Sunak akwama tena bungeni kupeleka wakimbizi Rwanda
Kura hiyo itakayochelesha, hata hivyo, haitozuwia mojawapo ya sera muhimu zaidi za Sunak kuanza kufanya kazi.
EU kuweka vikwazo vipya kwa wazalishaji wa droni Iran
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuweka vikwazo vipya kwa droni na watengenezaji wa makombora wa Iran.
Mawaziri wa Uingereza na Ujerumani ziarani Israel
Rais wa Israel Isaac Herzog amefanya mazungumzo na mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza na Ujerumani.
Mataifa ya Ulaya yafanya kongamano kuichangia fedha Sudan
Ufaransa na Ujerumani zimefanya kongamano la kimataifa la wafadhili mjini Paris kuchangisha fedha kwa ajili ya Sudan.
Uingereza yashuku kuvamiwa kwa meli mlango bahari wa Hormuz
Jeshi la Uingereza limeonya kwamba kuna meli ambayo imevamiwa kwenye Mlango Bahari wa Hormuz.
EU: kuwapeleka waomba hifadhi kwenye mataifa mengine
Baadhi ya nchi wanachama wa EU kama Austria na Denmark wameonesha shauku ya kufuatia njia iliyochukuliwa na Uingereza
Bunge la Ulaya lapitisha mageuzi ya sera ya wahamiaji
Mageuzi yanalenga kuimarisha taratibu za mipakani katika kuwapokea waomba hifadhi wanaojaribu kuingia nchi za Ulaya.
Uingereza, Rwanda kuwahamisha wahamiaji wiki chache zijazo
Pendekezo la kuwaondoa wahamiaji Uingereza limekabiliwa na utata na changamoto za kisheria
Ukraine na Uingereza zatia saini makubaliano ya ushirikiano
Waziri wa sera za kibiashara wa Uingereza, amesema anatumai makubaliano hayo yataleta mafanikio kwa Ukraine
Cameron awasili Washington kujadiliana Ukraine, Gaza
Ziara ililenga kuwashinikiza wabunge wa Marekani kuidhinisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine na pia vita vya Gaza.
Uingereza yashinikizwa kusitisha uuzaji wa silaha kwa Israel
Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Marekani, Uingereza na EU zalaani mauaji kwa watoa misaada
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amedai kuwa mashambulizi hayo hayakukusudiwa
UN yaitaka Uingereza kutowapeleka wahamiaji Rwanda
Serikali ya kihafidhina ya Waziri Mkuu Sunak inalenga kuanzisha mpango huo ili kuwakatisha tamaa maelfu ya wahamiaji
Mahakama ya Uingereza yasema Assange haendi Marekani
Uamuzi huo umempa Assange raia wa Australia, ushindi wa sehemu katika mapambano yake ya muda mrefu ya kisheria.
Marekani, Uingereza zaituhumu China kwa ujasusi wa mtandaoni
Maafisa kutoka pande zote mbili wameliita kundi hilo la udukuzi Advanced Persistent Threat 31 au APT31
Marekani na Uingereza yashambulia mji wa bandari wa Hodeidah
Ndege za Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi kwenye mji wa bandari wa Hodeidah katika bahari ya Sham.
Ulaya kufanya mazungumzo na Bosnia juu ya kujiunga na EU
Bosnia imepewa hadhi ya kuwa mgombea wa nafasi ya uanachama wa Umoja wa Ulaya tangu mwaka 2022.
UK: Bunge kujadili tena juu ya wakimbizi kupelekwa Rwanda
Kulingana na tangazo la kiongozi wa Bunge Penny Mordaunt, wabunge watalijadili swala hilo tarehe 15 Aprili
EU kutumia fedha iliyotokana na mali ya Urusi kununua silaha
Viongozi wa EU wataujadili mzozo wa Israel na Hamas pamoja na maandamano ya wakulima.
Marekani, Uingereza zataka uchaguzi huru Sudan Kusini
Mataifa ya Marekani,Uingereza na Norway yameto mwito kwa viongozi wa Sudan Kusini kuhakikisha uchaguzi huru na wa amani.
Uingereza kuupigia kura muswada wa kupeleka wakimbizi Rwanda
Mswada huo ambao ulipingwa vikali na Mahakama za Uingereza utarejeshwa tena Bungeni siku ya Jumatano ili kupigiwa kura.
Uingereza yakanusha ripoti za kifo cha Mfalme Charles III
Balozi za Uingereza mjini Moscow na Kyiv zimekanusha ripoti za zilizodai kuwa Mfalme Charles wa III amekufa.
Uingereza ingali na lengo kuwapeleka wakimbizi Rwanda
Uingereza bado yataka kuutimiza mpango wake wa kuwapeleka wakimbizi nchini Rwanda
Umoja wa Ulaya waipatia Misri msaada wa dola bilioni 8
Rais Abdel Fattah el-Sissi wa Misri amekutana kwa nyakati tofauti na viongozi mbalimbali wa ulaya.
EU yakubaliana kutoa euro bil. 5 kuinunulia silaha Ukraine
Mataifa wanachama ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuongeza euro bilioni 5.5 kwenye mfuko wa kuinunulia silaha Ukraine.
UN yataka Sudan kusitisha uhasama wakati wa Ramadhan
Watu milioni 8.3 wameyakimbia makaazi yao kutokana na mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa RSF.
Baerbock akutana na kufanya mazungumzo na Cameron
Baerbock na Cameron walikutana kwenye hafla ya pili ya mazungumzo ya kimkakati kati ya nchi hizo mbili.
Taarifa ya Habari ya asubuhi 08.03.2024
Rais wa Marekani Joe Biden atoa hotuba yake ya mwisho kuhusu hali ya taifa ya Marekani//Ujerumani na Uingereza zinalenga kuimarisha ushirikiano ndani ya jumuiya ya NATO//M23 wadhibiti eneo jingine wakati mapigano yakiendelea kwa siku ya tatu nchini Kongo.
EU yazindua mkakati wa kibiashara na Afrika
Lakini Rais Yoweri Museveni wa Uganda anakosoa mpango huo kuchanganya masuala ya kisiasa na biashara:
Uingereza kuionya Israel kuhusu njaa katika ukanda wa Gaza
David Cameron ameeleza kuwa watu wanakufa kutokana na njaa na magonjwa yanayoweza kuzuilika.
EU yapendekeza mpango wa ulinzi wa dola bilioni 1.63
Pendekezo hilo ni la kuimarisha kwa kiwango kikubwa utengenezaji na ununuzi wa silaha katika umoja huo.
Waasi wa Yemen waapa kuendelea kuzamisha meli za Uingereza
Wahouthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wameapa kuendelea kulenga meli za Uingereza katika Ghuba ya Aden.
Paundi milioni 300 kuwahamishi wakimbizi Rwanda
Mpango wa Uingereza kuwahamishia waomba hifadhi Rwanda huenda ukagharimu zaidi ya pauni milioni 600 kwa wakimbizi 300.
Rais wa Msumbiji Nyusi kutoshtakiwa Uingereza
Mahakama ya Rufaa ya London nchini Uingereza, imeamuru kuwa Rais wa Msumbuji Filipe Nyusi hawezi kushtakiwa Uingereza.
Wahouthi waripoti kifo cha kwanza cha raia
Wahouthi wameripoti kifo cha kwanza cha raia katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa Marekani na Uingereza.
Iran yalaani mashambulizi ya Marekani, Uingereza huko Yemen
Vikosi vya Marekani na Uingereza, vilifanya mashambulizi mapya dhidi ya maeneo 18 ya waasi wa Kihouthi wa Yemen.
Marekani, Uingereza zawashambulia Wahouthi huko Yemen
Marekani na Uingereza zimesema mashambulizi yalilenga maghala ya silaha, ndege zisizo na rubani na mifumo ya ulinzi.
Conservative yamsimamisha mbunge kutokana na matamshi tata
Mbunge huyo wa Ashfield Lee Anderson, alinukuliwa siku ya ijumaa akisema kuwa Meya Sadiq Khan anadhibitiwa na Waislamu.
Uingereza na Frontex wasaini mkataba wa ushirikiano
Ulishuhudiwa na waziri wa mambo ya ndani James Cleverly na kamishna wa Ulaya wa mambo ya ndani Ylva Johansson.
Marekani, Uingereza zamuunga mkono Mark Rutte kuiongoza NATO
Hatua ya Marekani na Uingereza kumuunga mkono Rutte inaongeza nafasi yake ya kuwa Katibu Mkuu ajaye wa NATO.
Vurugu bungeni Uingereza kwa maazimio ya Gaza
Bunge la Uingereza lilijaribu kupitisha azimio la usitishaji mapigano ya Gaza lakini mchakato ukaishia kwa vurugu.
UN inamashaka ya mpango wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Tangu kuanza kwa mwaka huu, zaidi ya wahamiaji 1,300 wamewasili Uingereza kwa kutumia mashua ndogo.
EU yazindua operesheni ya ulinzi katika Bahari ya Shamu
Operesheni hiyo ya Ulaya itapewa jina la Aspides katika kigiriki, kumaanisa ngao, na itajumuisha manowari nne.
EU yatafakari vikwazo vipya kufuatia kifo cha Navalny
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wameahidi kuwawajibisha waliohusika na kifo cha mkosoaji huyo maarufu wa Kremlin
Mjane wa Navalny kukutana na mawaziri wa EU
Mwanadiplomasia mkuu wa EU Josep Borrell amesema mwaliko wa Navalnaya unaonyesha uungaji mkono kwa wapigania uhuru Urusi
Bunge la Australia lataka muasisi wa WikiLeaks arejeshwe
Bunge la Australia lataka muasisi wa WikiLeaks Assange arejeshwe nyumbani na sio Marekani.
Urusi, China zapinga mashambulizi ya Marekani na UK Yemen
Urusi na China zinasema mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Wahouthi nchini Yemen ni kinyume cha sheria.
Urusi na China zatofautiana na Marekani na Uingereza
Urusi na China zimeishutumu Marekani na Uingereza kwa kuyashambulia maeneo yanayotumiwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen.
Urusi, China zaishutumu Marekani na Uingereza kuhusu Wahuthi
Waasi wa Kihouthi wamekuwa wakizishambulia meli za kibiashara katika Bahari ya Shamu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 46
Ukurasa unaofuatia