You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kenya, EU zasaini makubaliano "ya kihistoria" ya biashara
Rais William Ruto amesema Kenya na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano ya kihistoria ya bishara.
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
Ukraine yakumbwa na shambulizi baya la mtandaoni
Shirika la intelijensia la Uingereza limesema Ukraine ilikumbwa na shambulio baya la mtandaoni lililodumu kwa siku mbili
Makumi ya wahamiaji wanusurika wakivuka kuingia Uingereza
Mamlaka ya baharini ya Ufaransa imewaokoa wahamiaji 66 waliokuwa wakijaribu kuvuka ujia wa maji wa Uingereza.
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuridhia uanachama wake
Zelensky awahimiza viongozi wa EU kuunga mkono mazungumzo ya uanachama wake.
Sunak kuimarisha mpango wake wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Mswada huo utakapopitishwa, utawalazimisha majaji kuichukulia Rwanda kama nchi ya tatu salama.
Polisi Hong Kong yatoa zawadi kwa habari juu ya wanaharakati
Polisi ya Hong Kong hata hivyo imekataa kutoa habari kuhusu wanaharakati hao watano.
Scholz: Uamuzi wa EU unapaswa kuwa ishara pia kwa Putin
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema ni muhimu kuwa na makubaliano ya pamoja yatakayoifaa Ukraine.
Viongozi wa EU waanza mkutano kukiwa na visiki vya Orban
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wametatizika mwanzoni mwa mkutano wa kilele juu ya kutimiza ahadi zao kwa Ukraine.
EU: Makampuni yatakayosababisha athari za kijamii kuwajibika
Sheria mpya za EU kwa makampuni kupunguza athari mbaya katika utendakazi wao.
Zelensky atoa wito wa misaada zaidi ya kifedha
Rais Volodymyr Zelensky anawataka viongozi wa Nordic kuisaidia kifedha Ukraine kwa ajili ya kutengeneza silaha.
Bunge la Uingereza launga mkono wahamiaji kupelekwa Rwanda
Wabunge nchini Uingereza wamepiga kura ya kuunga mkono mpango wa serikali kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda.
Waziri Mkuu Sunak ashinda mtihani wa uongozi...kwa sasa
Bunge la Uingereza limeidhinisha muswada huo kwa kura 313 za ndiyo dhidi ya kura 269 za hapana.
Bunge la Uingereza laridhia kupeleka wakimbizi Rwanda
Wabunge nchini Uingereza wameridhia mpango wa serikali kuwapeleka waomba hifadhi nchini Rwanda.
Sunak akabiliwa na upinzani bungeni juu ya sera ya wakimbizi
Rishi Sunak akabiliwa na ushindani mkubwa bungeni kufuatia mpango wake wa kuwahamisha wakimbizi kuelekea Rwanda.
Umoja wa Ulaya wakubaliana juu ya sheria muhimu ya AI
EU kuandaa sheria za kudhibiti miundo ya akili bandia - AI, kama ya ChatGPT, baada ya masaa 36 ya majadiliano.
Uingereza yazidi kuilipa Rwanda
Uingereza iliilipa Rwanda pauni milioni 100 zaidi mwezi Aprili, mbali na pauni milioni 140 zilizotolewa mwaka uliopita.
Uingereza, Marekani zaishutumu Urusi kwa ujasusi mitandaoni
Uingereza na Marekani zimezishutumu idara za ujasusi za Urusi kwa kujihusisha na kampeni endelevu za ujasusi mtandaoni.
Sunak: Tutafanikiwa kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amesisitiza kwamba mpango wa kuwapeleka wanaozafuta hifadhi Rwanda utafanikiwa.
Sunak ataka uungwaji mkono kupeleka wahamiaji Rwanda
Sunak ataka uungwaji mkono kupeleka wahamiaji Rwanda
Waziri wa Nje wa Uingereza ziarani Marekani
David Cameron anatarajiwa kufanya ziara yake ya kwanza nchini Marekani tangu achukue wadhifa huo.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza awasili Rwanda
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza awasili Rwanda
Vita vya Israel-Hamas vyazusha hofu ya ugaidi katika EU
Kamishna wa Masuala ya Ndani wa Umoja wa Ulaya ametoa tahadhari kwamba umoja huo unakabiliwa na kitisho cha ugaidi.
Uingereza na Rwanda zatia saini mkataba mpya
Mahakama ya juu ya Uingereza ilikuwa imepinga mipango ya awali ya serikali ya nchi hiyo ya kuwahamisha wahamiaji
Uingereza na Rwanda kusaini mkataba mpya wa wahamiaji
Uingereza na Rwanda kusaini mkataba mpya wa kuwahamisha wahamiaji
Waislamu wajihisi hawako salama UIaya
Vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza vimesababisha waumini wa dini ya Kiislamu barani Ulaya kuishi na wasiwasi mkubwa.
Uingereza yasema inaisaidia Israel kuwatafuta mateka
Uingereza inaiunga mkono Israel katika harakati zake za kuwatafuta mateka.
Viongozi wa ulimwengu waanza kuhutubia mkutano wa COP28
Viongozi wa mataifa mawili ambayo ni wazalishaji wakubwa wa hewa chafu ya kaboni Marekani na China wametuma wawakilishi.
Uchafuzi wa hewa uliuwa mamia ya maelfu ya watu katika EU
Watu 250,000 walikufa katika mwaka wa 2021 kutokana tu na uchafuzi uliosababishwa na chembe chembe laini.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza afika Kibbutz Israel
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza afika Kibbutz Israel
Borrell: Kuanzishwa kwa taifa la Palestina ni suluhu
Borrell amesisitiza kuwa Israel haifai kuchukua udhibiti wa Gaza baada ya mzozo wa sasa kumalizika.
Uingereza kuanzisha mazungumzo ya kibiashara na Korea Kusini
Rishi Sunak ameeleza kuwa, makubaliano hayo yatachochea uwekezaji na kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
EU: Tufikirie mustakabali katika eneo la Ukanda wa Gaza
Umoja wa Ulaya umesisitiza kusitishwa mapigano na kuruhusu majadiliano yenye kuzingatia mustakabali ya Gaza.
Uingereza kufanyia kazi mpango wa kuzalisha mazao imara
Uingereza imesema mpango huo wa kisayansi utaongozwa na muungano wa taasisi za utafiti wa kilimo CGIAR.
Mataifa kadhaa yajiunga na kesi ya mauaji ya Myanmar
Kesi hiyo inasikilizwa katika mahakama hiyo kuu ya Umoja wa Mataifa iliyoko mjini The Hague.
Berlin na Ankara: Mahasimu kisiasa, marafiki kiuchumi
Ujerumani ndiyo mshirika muhimu zaidi wa kibiashara wa Uturuki. Wawekezaji wakubwa wa kigeni Uturuki ni Wajerumani pia.
Uingereza yaandaa mkataba mpya wa kupeleka wahamiaji Rwanda
Uingereza imesema mkataba mpya wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda unaweza kuwa tayari katika siku chache zijazo.
Je, Sunak atafanikiwa kuwapeleka wahamiaji Rwanda?
Sudi Mnette amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa kutaka kufahamu juu ya mpango wa Rishi Sunak.
Waziri Mkuu Rishi Sunak aendeleza ukaidi mpango wa Rwanda
Waziri Mkuu Rishi Sunak amesema atasaini makubaliano mapya na Rwanda kuhusu wahamiaji licha ya hukumu ya mahakama.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ziarani Ukraine
Waziri wa mambo ya kigeni wa Uingereza David Cameron ameapa kuendelea kuipa Ukraine msaada wa kijeshi.
Uingereza yasisitiza kuwapeleka baadhi ya wahamiaji Rwanda
Mahakama imesema sio halali kisheria kwasababu wahamiaji hao hawatakuwa salama Rwanda
Mpango wa kuwapeleka wahamiaji Rwanda ni kinyume cha sheria
Majaji wa mahakama ya Juu waliridhia uamuzi wa mahakama ya chini wakisema waomba hifadhi watakaopelekwa Rwanda watateswa
Mahakama Uingereza yabatilisha kupeleka wakimbizi Rwanda
Mahakama ya Juu nchini Uingereza imesema mpango huo si halali na Rwanda si nchi salama kwa wahamiaji.
Uamuzi wa Mahakama ya Uingereza una athari gani kwa Rishi Sunak?
Uingereza na Rwanda zilisaini makubaliano Aprili 2022 wa kuwapeleka Rwanda baadhi ya wahamiaji wanaowasili Uingereza kupitia ujia wa bahari ya Atlantiki. Ahmed Rajab ni mchambuzi wa masuala ya Kimataifa anajadili hilo katika mahojiano na Sudi Mnette.
Hatma ya sera ya wahamiaji kwenda Rwanda kuamuliwa Uingereza
Uamuzi mzuri unaweza kuongeza nafasi ya Sunak kupambana na chama kinachopata umaarufu mkubwa cha Labor
EU yalaani vitendo vya Hamas kuwatumia raia kama ngao
Umoja wa Ulaya umelaani vitendo vya Hamas kutumia hospitali na raia kama ngao katika vita vyake na Israel.
David Cameron ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya nje Uingereza
Mabadiliko haya yanafanyika baada ya Waziri Mkuu Rishi Sunak kumfukuza Waziri wa Mambo ya Ndani Suella Braveman
Sunak amfuta kazi Braveman kufuatia ukosoaji wake wa polisi
Huenda hatua hiyo ikamrejesha serikalini Waziri Mkuu wa zamani David Cameron
EU yaridhia kuhusu sheria ya kurekebisha mazingira asilia
Asilimia 80 ya makaazi asili ya viumbe hai katika umoja huo, yapo kwenye hali mbaya.
Mazungumzo ya uanachama wa Ukraine EU yapendekezwa Brussels
Kiev ilipewa orodha ya mabadiliko ya kuyatekeleza kabla ya mazungumzo hayo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 46
Ukurasa unaofuatia