You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Brexit
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
EU wapendekeza mazungumzo- uanachama wa Ukraine
Maafisa wakuu wa Umoja wa Ulaya wamependekeza Ukraine kualikwa katika mazungumzo ya kujadili suala la uanachama wake.
Zelensky ataka majadiliano ya Ukraine kujiunga na EU yaanze
Zelensky anatarajia majadiliano ya Umoja wa Ulaya ya kujiunga kwa taifa hilo katika Umoja huo kuanza mwaka huu.
Zelensky aahidi kuendelea kufanya mageuzi Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameeleza dhamira ya Ukraine kufanya mageuzi ikiwemo kupambana na ubadhirifu
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya ziarani Ukraine
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen yuko nchini Ukraine anakotarajiwa kulihutubia bunge.
Dhoruba Ciaran yaua watu 7 magharibi mwa Ulaya
Watu wasiopungua 10 wamekufa na wengine wamejeruhiwa, baada ya dhoruba "Ciaran" kupiga Ulaya Magharibi.
Mfalme Charles III ajizuwia kuwaomba radhi Wakenya
Mfalme Charles III na mkewe,Camilla, wamo kwenye ziara ya siku nne nchini Kenya iliyopata uhuru kutoka Uingereza 1963.
Wapiganiaji uhuru Kenya wamtaka Mfalme Charles kuomba radhi
Mfalme Charles III wa Uingereza na mkewe Malkia Camilla wameanza leo ziara yao ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya.
Mfalme wa Uingereza alitembelea koloni la zamani Kenya
Akiwa Nairobi, Thelma Mwadzaya anazungumzia ziara hiyo kupitia mahojiano na Saumu Njama aliyepo studio za Bonn.
Mfalme Charles III ziarani Kenya
Mfalme Charles III wa Uingereza na mkewe Malkia Camilla wameanza leo ziara yao ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya.
Mkutano kuhusu teknolojia ya akili bandia kufanyika London
Mkutano huo utafanyika huko Milton Keynes mjini London.
Polisi Kenya yazuia mkutano wa wanaharakati na wanahabari
Polisi Kenya yazuia mkutano wa haki za binadamu kuelekea ziara ya Mfalme Charles.
EU kuekeza zaidi ya dola milioni 60 kwa umeme Uganda
Umoja wa Ulaya unapanga kuekeza dola milioni 63 kuboresha mmojawapo ya mitambo mikubwa ya kufua umeme nchini Uganda.
UN: Hakuna mahali palipo salama huko Gaza
Viongozi wa EU wanatarajiwa kutoa wito wa usitishwaji mapigano na kuanzishwa kwa "ukanda salama" kwa sababu za kiutu.
Ubaguzi dhidi ya watu weusi waongezeka Ulaya
Ubaguzi wa rangi dhidi ya watu Weusi unazidi kuongezeka barani Ulaya huku Ujerumani, Austria na Finland zikiongoza.
EU: Yaweka vikwazo kwa utawala wa kijeshi Niger
Umoja wa Ulaya umeuwekea vikwazo utawala wa kijeshi wa Niger uliochukua madaraka katika mapinduzi ya mwezi Julai.
Mawaziri wa EU wasaka masuluhisho ya migogoro ya kikanda
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wasaka muafaka wa njia ya kuchukua kutatua mgogoro wa Mashariki ya Kati.
Sunak ametuliza mivutano ndani ya Conservative?
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak anafikisha mwaka mmoja mamlakani akikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Mawaziri wa EU kujadili ufadhili wa Ukraine na mzozo wa Gaza
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana nchini Luxembourg kujadili mzozo wa Mashariki ya Kati.
Maandamano ya kuunga mkono, kupinga Israel yazagaa duniani
Maelfu wamekusanyika London a Berlin kupinga chuki dhidi ya Wayahudi, huku maandamano ya mshikamano na Gaza yakisambaa.
EU na Marekani zashindwa kutatua migogoro ya kibiashara
Mazungumzo hayo muhimu pia yalitawaliwa na mzozo unaoendelea huko Gaza pamoja na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Labour yashinda viti vya ubunge ngome ya Conservative
Matokeo hayo yanatizamwa kama mtihani mwingine kwa waziri Mkuu Rishi Sunak na chama chake tawala kabla ya uchaguzi mkuu.
Vita vya Gaza: Sunak akutana na Rais wa Israel
Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak yuko Tel Aviv katika ziara ya kuonyesha mshikamano na Israel.
Bunge la Umoja wa Ulaya latoa tuzo kwa Mahsa Amini
Tuzo hiyo imetolewa pia kwa vuguvugu la maandamano la wanawake wa Iran.
Israel, Misri zaafiki misaada ya kiutu kuingia Gaza
Ofisi ya misaada ya Umoja wa Mataifa inadhamiria kupeleka hadi malori 100 kwa siku ya misaada huko Gaza.
Mawaziri wa Uhamiaji wa EU wajadili usalama na uhamiaji
Wanakutana huku Ulaya ikiwa katika tahadhari kubwa ya usalama baada ya mashambulizi ya Ufaransa na Ubelgiji
Uingereza yatoa tahadhari kwa raia wake Uganda
Muongozaji safari raia wa Uganda pia aliuawa kwenye shambulizi lililofanywa na kundi la waasi.
EU, Marekani zashitushwa na uvunjaji wa haki Madagascar
Umoja wa Ulaya na Marekani zimeonesha hofu kwa matumizi ya nguvu kupita kiasi kuzima maandamano ya upinzani Madagascar.
Matumaini ya EU baada ya uchaguzi wa Poland
Umoja wa Uaya unasema mabadiliko ya serikali nchini Poland yatakuwa ushindi kwa demokrasia huria.
Mahakama Kuu Uingereza yasikiliza kesi ya Trump
Mahakama Kuu nchini Uingereza imeanza kusikiliza kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump.
Uingereza kuimarisha uwepo wa kijeshi Ulaya Kaskazini
Rishi Sunak amekutana na viongozi wenzake kama sehemu ya mkutano wa kilele wa kundi la ushirikiano wa pamoja wa ulinzi.
Mahakama Uingereza kusikiliza hoja kupeleka wahamiaji Rwanda
Mahakama ya Juu Uingereza kusikiliza madai ya serikali kuhusu kupeleka wahamiaji Rwanda
Mchakato wa kusikiza hoja kuhusu wahamiaji kuanza Uingereza
Rwanda inadaiwa kutokuwa salama
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Luxembourg kunafanyika uchaguzi wa bunge
Uingereza yatuma wanajeshi wake kulinda amani Kosovo
NATO na Wizara ya Ulinzi ya Uingereza zimesema wanajeshi wa kulinda amani wa Uingereza wamepelekwa Kosovo.
Viongozi wa EU kujadili uhamiaji
Viongozi wa Umoja wa Ulaya watajadili namna umoja huo unavyoweza kuimarisha ushindani wake katika maeneo mbalimbali.
EU kuiunga mkono Ukraine lakini kutoziba pengo la Marekani
Zelensky amesema ana imani bado anaungwa mkono na pande zote nchini Marekani.
Shambulio la Urusi lauwa watu 51 Kharkiv, Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelaani "shambulio hilo na kusema ni la kigaidi na lisilo la kibinadamu".
Mwangaza wa Ulaya: Mgogoro wa wahamiaji barani Ulaya
Tunaangazia tatizo la Uhamiaji barani Ulaya na hatua zinazochukuliwa na Mataifa ya Ulaya juu ya suala hili.
Mpango wa UK kuwapeleka wahamiaji Rwanda waenda mahakamani
Uingereza iliingia makubaliano na serikali ya Rwanda kuwapeleka huko waomba hifadhi na kushughulikia maombi yao huko.
Nchi za EU zaafikiana kuhusu mkataba wa wahamiaji
Mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuhusu marekebisho ya jinsi ya kuwashughulikia wahamiaji.
Nchi za kanda ya Balkani zawania kujiunga na Umoja wa Ulaya
Orodha ya nchi zinazoomba kujiunga na Umoja wa Ulaya ni Ukraine, Moldova, Albania, Montenegro, Serbia na Uturuki.
EU kukutana juu ya mkataba wa kugawana wahamiaji
Mvutano juu ya meli za hisani zinazowaokoa wahamiaji ulizuia kufikiwa kwa makubaliano wiki iliyopita.
Sunak kuhutubia mkutano mkuu wa Conservative
Chama cha Conservative kilicho madarakani tangu mwaka 2010 kinabutura mkia kwenye kura za maoni ya umma.
Mataifa ya EU yajaribu kupata makubaliano kuhusu wahamiaji
Wajumbe wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels wakitaraji kupata suluhisho la mkwamo kati ya Ujerumani na Italia
Uingereza yaahidi msaada usio na kikomo kwa Ukraine
Uingereza yaahidi msaada usio na kikomo kwa Ukraine.
Tunisia yatupilia mbali msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya
Hatua ya Saied inaweza kudhoofisha ushirikiano huo wa kimkakati, unaojumuisha hatua za kupambana na uhamiaji haramu.
Rais Zelensky ataka vikwazo zaidi kwa Urusi
Rais Zelensky ataka vikwazo zaidi kwa Urusi
Ufilipino na washirika waanza luteka ya pamoja ya kijeshi
Luteka hizi zinalenga kuonyesha nguvu za kijeshi kufuatia kuongezeka kwa mvutano wa kikanda.
Balozi wa Rwanda aikosoa Uingereza juu ya haki za binadamu
Video ya balozi huyo wa Rwanda imesambaa kwenye mitandao ya kijamii na imegeuka kuwa fedheha kwa serikali ya Uingereza
Mawaziri wa mambo ya nje wa EU wakutana mjini Kyiv
Mkutano huo pia utajadili utaratibu wa amani uliopendekezwa na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 46
Ukurasa unaofuatia