You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Chuki dhidi ya Wayahudi
Chuki dhidi ya Wayahudi inamaanisha uhasama wowote, upendeleo au ubaguzi dhidi ya Wayahudi
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
21.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Halmashauri Kuu ya Ulaya, Ursula von der Leyen alaani shambulizi kwenye soko la Christmas mjini Magedburg, Ujerumani: Mamlaka mpya nchini Syria wasema unataka kuchagia amani ya kikanda na kukataa migawanyiko Na Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF yaidhinisha malipo ya dola bilioni 1.1 kwa ajili ya Ukraine. Ungana nasi kusikiliza zaidi taarifa ya Habari ya asubuhi ya leo.
Chapisho la Musk kuhusu AfD lawakera wanasiasa wa Ujerumani
Ujerumani inatarajia kufanya uchaguzi mwezi februari, 2025 kufuatia kura ya bunge ya kukosa imani na serikali ya Scholz.
Guterres: Mitandao ya kijamii na AI inazidisha chuki
Kiongozi huyo ametumia jukwaa la mkutano wa UNAOC pia kushinikiza kuwepo kwa amani Gaza, Lebanon, Ukraine na Sudan.
Israel yatuma ndege mbili kuwaokoa raia wake Amsterdam
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameamuru ndege zipelekwe Amsterdam kuwaondoa mashabiki wa Maccabi Tel Aviv.
Chama cha BSW Ujerumani kinasimamia nini?
Chama cha BSW cha Ujerumani kina chini ya mwaka mmoja tangu kuundwa kwake, lakini tayari kimepata mafanikio katika chaguzi tatu. Je, chama hiki kipya cha kipopulisti kinasimamia nini?
Vyama rafiki na Urusi Ujerumani vyapata mafanikio
Vyama vya rafiki na Urusi nchini Ujerumani vya AFD na BSW vinamafanikio kwenye uchaguzi uchaguzi wa majimbo.
AfD yatafuta uungwaji mkono katika chaguzi Saxony, Thuringia
Shirika la ujasusi Ujerumani,limekiorodhesha chama cha AfD katika majimbo ya Thuringia na Saxony kuwa cha itikadi kali.
Mshikamano wa jamii wazima njama za wafanya fujo Uingereza
Polisi ya Uingereza imesema mshikamano wa jamii umezuia marudio ya vurugu kali zilizoshuhudiwa katika siku za karibuni.
Kwanini wageni wanalengwa katika vurugu za nchini Uingereza?
Bakari Ubena amezungumza na Ahmed Rajab mchambuzi wa kimataifa kujua chanzo cha vurugu dhidi ya wageni Uingereza.
Germany kuwafukuza wanaotoa machapisho ya chuki
Mageuzi hayo ya serikali kuu ya Ujerumani yanalenga kukabiliana na kuenea kwa chuki ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Ujerumani: Chuki kwa waislamu iliongezeka maradufu 2023
Uchunguzi unaonesha mitizamo ya chuki dhidi ya waislamu uliongezeka zaidi ya mara mbili nchini Ujerumani mwaka uliopita.
Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu
Scholz amechukizwa na tabia ya watu waliopewa hifadhi nchini Ujerumani kujihusisha na uhalifu.
Wafuasi wa chama cha siasa BSW Ujerumani waipinga AFD
Mwanasiasa mkongwe Sahra Wagenknecht, anaendesha chama kipya cha siasa BSW, ambacho kinachotazamwa kama tishio kwa AFD.
Macron aonya dhidi ya kuenea siasa za misimamo mikali Ulaya
Rais huyo wa Ufaransa amesema utawala wa kimabavu unaweka kitisho kikubwa kwa mustakabali wa Ulaya.
Macron awakumbuka Wayahudi waliouawa na Manazi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia.
Rais Macron awakumbuka wahanga wa Holocaust
Ziara ya Macron ni ya kwanza ya kitaifa kufanywa na rais wa Ufaransa katika kipindi cha takriban miaka 25.
Malaysia: Vita vya Gaza vyazidisha chuki dhidi ya Magharibi
Malaysia inazishutumu nchi za Ulaya kwa "unafiki" kutokana na uungwaji wao mkono kwa Israel katika vita vyake huko Gaza.
AfD cha Ujerumani kutajwa kama kundi la itikadi kali?
Kwa muda mrefu AfD kimekuwa kikivutana na idara za upelelezi nchini Ujerumani kutokana na misimamo mikali.
Mahakama Kanada yamfunga maisha alieuwa familia ya Kiislamu
Nathaniel Veltman, 23, alitiwa hatiani mwezi Novemba kwa makosa manne ya mauaji ya kukusudia na moja la kujaribu kuua.
Scholz ataka jamii kujizuia na chuki dhidi Wayahudi
Ulaya imekabiliwa na ongezeko la visa vya chuki dhidi ya Wayahudi katika siku za karibuni.
Manusura wa "Holocaust" wawakumbuka wahanga wa mauaji
Kwenye maadhimisho haya wanawakumbuka karibu wahanga milioni 1.1, wengi wao wakiwa ni Wayahudi.
Maelfu ya Watu kuandamana Ujerumani kupinga itikadi kali
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema zaidi ya watu 900,000 waliandamana mwishoni mwa wiki iliyopita.
Bunge la Ujerumani laidhinisha sheria ya kurahisisha uraia
Sheria hiyo inalenga kuifanya Ujerumani kuwavutia wafanyakazi wengi wenye ujuzi wa kimataifa.
Umoja wa Mataifa waonya kukithiri kwa matamshi ya chuki DRC
Turk amesisitiza kuwa: "Maneno ya chuki, yasiyo na utu na ya uchochezi hayafai na yanaweza tu kuongeza mvutano na vurugu
Ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu kutokana na vita vya Gaza
Vita huko Gaza vimekuwa na athari hadi nje ya mipaka ya eneo la Mashariki ya Kati. Miongoni mwa athari hizo ni chuki dhidi ya Waislamu sehemu mbalimbali duniani hususan barani Ulaya. Waislamu wamekuwa wakiishi kwa hofu kutokana na vitendo vya chuki dhidi yao kuongezeka.
Ujerumani yafungua Sinagogi jipya Magdeburg
Ujerumani imefungua Sinagogi jipya katika mji wa Magdeburg huko Mashariki mwa Ujerumani.
Vijana sita wakutwa na hatia ya mauaji ya mwalimu Ufaransa
Mahakama nchini Ufaransa imewakuta na hatia vijana sita waliohusishwa na mauaji ya mwalimu mnamo mwaka 2020.
Scholz atoa wito wa mshikamano na Wayahudi
Wapalestina takribani 350 wameuawa na wengine 1,900 wamejeruhiwa ndani ya saa 24 zilizopita huko Ukanda wa Gaza.
HRW yataka DRC kuzuwia chuki dhidi ya Watutsi
HRW imeitaka serikali ya Kongo kuchukuwa hatua dhidi ya matukio ya chuki baada ya mwanajeshi wa Kitutsi kuuawa.
Chuki dhidi ya Wayahudi yameongezeka Ujerumani
Matukio 994 ya chuki dhidi ya Wayahudi yameripotiwa Ujerumani katika mwezi wa kwanza wa vita kati ya Israel na Hamas.
Aliyewapiga risasi wanafunzi wa Kipalestina Marekani asakwa
Polisi inamsaka mtu mmoja mwenye bunduki aliyewapiga risasi wanafunzi wa Kipalestina Marekani.
Jeshi la Mali ladai kukuta kaburi la pamoja, Kidal
Jeshi hilo liliuerejesha mji huo wa kimkakati na kuahidi kuhakikisha usalama wa raia baada ya kuwa chini ya waasi hao.
Mwangaza wa Ulaya: Ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi
Makala ya Mwangaza wa Ulaya inamulika ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi kwenye mataifa ya magharibi, hususani Ulaya.
Ulaya yakabiliwa na ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi
Baadhi ya washiriki wa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina wameonekana kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi.
Wafaransa waandamana kupinga matukio ya kuwaandama Wayahudi
Viongozi mbali mbali wa kisiasa washiriki maandamano ya Paris
Scholz aahidi kuwalinda Wayahudi dhidi ya vitendo vya chuki
Maadhimisho hayo yamefanyika kwenye sinagogi moja mjini Berlin ambalo lililengwa na washambuliaji mnamo mwezi uliopita.
Mashambulizi dhidi ya wageni kuongezeka Afrika Kusini?
Kampeni za kizalendo zinashika kasi Afrika Kusini na kuleta hofu, wachambuzi wanaonya chuki dhidi ya wageni zitaongezeka
Scholz ahimiza ujasiri wa kiraia kuwalinda Wayahudi
Kauli ya Scholz ameitoa wakati kukiwa na wimbi la maandamno ya kuwaunga mkono Wapalestina nchini Ujerumani.
Putin aitisha mkutano kufuatia uvamizi wa uwanja wa ndege
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameitisha mkutano wa maafisa wakuu wa usalama Jumatatu.
Urusi yawakamata 60 uvamizi wa uwanja wa ndege Dagestan
Polisi nchini Urusi imesema imewatia nguvuni watu 60 wanaotuhumiwa kuvamia uwanja wa ndege wa jimbo la Dagestan.
Watu 60 wakamatwa baada ya uvamizi wa uwanja wa ndege Urusi
Polisi ya Urusi imesema Jumatatu kuwa imewakamata watu 60 wanaoshukiwa kuuvamia uwanja wa ndege.
Von der Leyen: Chuki dhidi ya Wayahudi haina nafasi Ulaya
Von der Leyen: Vitendo hivyo havina nafasi barani Ulaya na vinatakiwa kupigwa vita.
Maandamano ya kuunga mkono, kupinga Israel yazagaa duniani
Maelfu wamekusanyika London a Berlin kupinga chuki dhidi ya Wayahudi, huku maandamano ya mshikamano na Gaza yakisambaa.
Scholz asikitishwa na kuenea visa vya chuki kwa Wayahudi
Scholz amesema visa vya chuki dhidi ya Wayahudi vinasambaa hadi Ujerumani kwa vita kati ya Hamas na Israel vikiendelea.
Olaf Scholz aapa kufanya kazi na Israel kupeleka msaada Gaza
Kansela wa Ujerumani amesisitiza kwamba Israel ina haki ya kujilinda.
Faeser: Wafuasi wa Hamas wanapaswa kufurushwa Ujerumani
Faeser asema watatumia njia zote za kisheria kuwafurusha wafuasi wa Hamas
Waziri wa Israel atembelea makumbusho ya Holocaust, Berlin
Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant ametembelea kituo cha makumbusho ya mauaji ya Wayahudi, Holocaust, mjini Berlin.
Canada yaomba radhi baada ya kumsifu aliyehudumu na Nazi
Spika wa bunge la Canada tayari amejiuzulu kutokana na kisa hicho na kuomba radhi kutokana na kosa hilo.
Spika wa bunge la Canada ajiuzulu
Mamilioni ya Wayahudi waliuawa chini ya utawala wa Nazi nchini Ujerumani.
UN yaridhia azimio la kupinga chuki za kidini duniani
Pendekezo hilo lililowasilishwa na Pakistan baada ya kisa cha kuchomwa hadharani kwa kitakatifu Qur'an.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 5
Ukurasa unaofuatia