You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Cuba
Taifa la visiwa kwenye Bahari ya Karibiani linaloongozwa kwa mfumo wa kisoshalisti.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mamilioni ya watu hawana umeme Cuba
Cuba imetangaza kwamba ina uwezo wa kusambaza sehemu ndogo kabisa ya umeme kwa raia.
Watu sita wafariki kutokana na kimbunga Oscar huko Cuba
Watu sita wafariki kutokana na kimbunga Oscar huko Cuba
Watu 6 wafariki Cuba kutokana na kimbunga Oscar
Hayo yanajiri wakati visiwa hivyo vikiendelea kukabilia na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme.
Kimbunga Oscar chapiga Cuba na kuzidisha matatizo ya umeme
Kimbunga Oscar kilipiga kwenye pwani ya Cuba katika jimbo la Guantanamo.
Cuba gizani baada ya umeme kukatika nchi nzima
Kukatika kwa umeme kulikuwa tayari kumechangia serikali kufuta huduma zote zisizo muhimu za serikali siku ya Ijumaa.
Meli nne za kivita za Urusi kuwasili Havana wiki ijayo
Marekani imesema inafuatilia kwa karibu tangazo hilo na kuwasilia kwa manowari hizo za kijeshi za Urusi.
Balozi wa zamani wa Marekani na jasusi wa Cuba afungwa jela
Mbali na adhabu hiyo, atatakiwa kulipa faini ya Dola 500,000 na kufichua taarifa za kijasusi alizoshirikiana na Cuba.
Maandamano kutaka umeme na chakula nchini Cuba
Maandamano ya raia siku ya Jumapili kupinga ukosefu wa umeme huko Santiago de Cuba jiji la pili kwa ukubwa nchini humo.
Mshirika wa Putin, Castro wajadili ushirikiano wa usalama
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi Nikolai Patrushev amekutana na rais wa zamani wa Cuba Raul Castro kujadili usalama.
Spika wa bunge la Cuba yuko ziarani Kenya
Esteban anatafuta ufafanuzi juu ya taarifa zilizoonyesha kuwepo uwezekano kwamba madaktari hao wamefariki.
Kundi la G77+China lataka mageuzi mfumo wa ulimwengu
Kundi linaloundwa na mataifa yanayoendelea la G77 pamoja na China limeanza mkutano wake wa kilele nchini Cuba .
Nchi za G77 na China zinakutana nchini Cuba leo
Kundi la G77 lilianzishwa mwaka 1964 na mataifa 77 kutoka nchi zinazoendelea ili kueleza na kukuza maslahi ya pamoja.
Kimbunga Idalia chatarajiwa kuikumba Florida nchini Marekani
Watabiri wa hewa Marekani wanatarajia dhoruba kali itageuka kuwa kimbunga kikubwa kitakacholikumba jimbo la Florida
China yasema Marekani yaeneza uvumi kuhusu kituo cha ujasusi
China yasema Marekani yaeneza uvumi kuhusu kituo cha ujasusi
EU Kutuma ujumbe wa Haki za Binadamu Cuba
Umoja wa Ulaya utatuma ujumbe maalum wa haki za binadamu nchini Cuba kujadili athari za maandamano ya mwaka uliopita
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 19.10.2022
Korea Kaskazini yarusha mamia ya makombora karibu na mpaka na jirani yake Korea Kusini. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy asema Urusi imefilisika kijeshi. Shirika la Human Rights watch lasema Jeshi la Kongo lilishirikiana na kundi la waasi wa kihutu la FDLR.
Marekani yaonya kuhusu tishio la nyuklia la Urusi
Mamlaka za kijeshi nchini Urusi zinakabiliwa pia na upinzani wa ndani kutokana na vita vyake na Ukraine.
Kimbunga Ian chapiga Cuba
Kimbunga Ian chapiga Cuba
20.08.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
20.08.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
17.03.2022 Taarifa ya habari ya Asubuhi
Mahakama Kuu nchini Cuba imesema kundi la raia 128 wa taifa hilo ambalo lilishiriki maandamano ya kuipinga serikali yao Julai mwaka jana, wamehukumiwa kifungo cha kati ya miaka 6 hadi 30 gerezani.
Gereza la Guantanamo latimiza miaka 20
Inaelezwa kwamba miaka 20 ya kuwazuia wafungwa bila ya kuwafungulia mashtaka na kuwatesa ni jambo lisilokubalika.
Amnesty yamtaka Biden kulifunga gereza la Guantanamo
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limetoa wito kwa Rais wa Marekani Joe Biden kuiti
Maduro asema Venezuela haitasalimu amri kutokana na vitisho
Marekani yasema utawala wa Maduro unalazimika kushiriki kwa dhati kwenye mazungumzo na wapinzani.
Maandamano huko yarindima Cuba
Serikali ya Cuba yasema Marekani inaendeleza sera za kuibana kiuchumi
Taarifa ya Habari Asubuhi 14.07.2021
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ghasia nchini Afrika Kusini imefikia 72//Umoja wa Ulaya umeidhinisha mpango wa kuufufua uchumi kwa ajili ya nchi 12 wanachama zilizoathiriwa na janga la virusi vya corona// Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji limesema idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliokufa wakati wakijaribu kuingia Ulaya kupitia baharini imeongezeka mara mbili mwaka huu
Biden awania kulifunga gereza la Guantanamo Bay
Serikali ya Marekani kupitia idara ya usalama wa taifa inatathmini mikakati ya kulifunga gereza la Giantanamo Bay.
Trump airudisha Cuba kati ya nchi zinazofadhili ugaidi
Utawala wa Trump waiweka Cuba kuwa nchi zinazofadhili ugaidi
Taarifa ya habari za Asubuhi 12.01.2021
VIDOKEZO: Wademocrat wafungua rasmi mashtaka bungeni kumuondoa Trump madarakani.// FBI wakionya kuhusu mipango ya maandamano. // Uganda yaishutumu Facebook kwa kuingilia uchaguzi wa rais, baada ya kampuni hiyo kufunga akaunti kadhaa zinazohusishwa na serikali kwa kampeni.// Shirika la Afya Duniani laonya kuwa huenda kinga imara dhidi ya COVID-19 isipatikane mwaka huu licha ya chanjo
China, Urusi na Cuba zapata viti Baraza la Haki za Binadamu
lakini Saudi Arabia ilishindwa kuchaguliwa tena kwenye baraza hilo
Cuba na Marekani: Marafiki walio na nyuso mbili
Na rais Donald Trump ameonesha azma yake ya kurejesha enzi za uhasama.
Matangazo ya Asubuhi - 29.09.2019
Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi.
Taarifa ya Habari za Asubuhi - 29.09.2019
Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi.
Taarifa ya habari ya asubuhi: 20.09.2019
Pendekezo la waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu la serikali ya muungano lakataliwa, Marekani yatangaza kuwafurusha wajumbe wawili wa Cuba na shirika la UNICEF lasema zaidi ya watoto milioni 29 walizaliwa katika maeneo yaliokuwa na mizozo mwaka jana.
Cuba yaadhimisha miaka 60 ya mapinduzi
Cuba yaadhimisha miaka 60 ya mapinduzi tangu ilipompindua kiongozi wa kiimla, Fulgencio Batista
Uturuki na Mageuzi ya katiba Cuba Magazetini
Uturuki na Mageuzi ya katiba Cuba Magazetini
Cuba waanza kujadili Katiba
Raia wa Cuba wameanza kujadili katiba mpya ambayo inaondoa kipengele kinachoitaja Cuba kuwa taifa la kikomunisti.
Matangazo ya asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)
Taarifa ya Habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Cuba imeahidi kufanya uchunguzi kubaini sababu ya ajali
Watu watatu walionusurika ajali hiyo bado wako mahtuti
Magazetini: Ziara ya Macron Marekani
Ziara ya Macron Washington , chuki dhidi ya Wayahudi na rais mpya wa Cuba
Diaz-Canel ni Rais Mpya wa Cuba
Cuba imempata rais mpya, Miguel Diaz-Canel. Rais huyu anachukua nafasi ya Raoul Castro, ambaye yeye na kaka yake Fidel wameiongoza Cuba kwa miongo sita. Diaz-Canel ameahidi kuendeleza siasa za kisoshalisti zilizoasisiwa na Castro. Papo kwa Papo.
Maoni: Mwanzo mpya kwa Cuba?
Diaz-Canel Bermudez ni kada wa chama tawala cha kikomunisti na mtu wa karibu sana na familia ya akina Castro.
Cuba kupata rais mpya
Diaz-Canel, mwenye umri wa miaka 57, anaonekana kama kada wa Chama cha Kikomunisti, ambacho kikatiba kiko pekee.
Muuaji wa Las Vegas alikuwa na bunduki 47
Muuaji wa watu 59 Las Vegas alikuwa na bunduki 47 na wapinzani Togo waandamana kumtaka Rais Faure Gnassingbe kuondoka.
Matangazo ya jioni 17.06.2017
Bendera zapepea nusu mlingoti huku Ujerumani ikiomboleza kifo cha kansela wa zamani Helmut Kohl. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akutana na Papa Francis mjini Vatican kuelekea mkutano wa kielele wa kundi la G20. Na, Umoja wa Afrika wazisihi Dhibouti na Eritrea kujizuia katika mvutano unaohusu ardhi ya Dumeira.
Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba
Trump arudisha nyuma baadhi ya sera za Obama kwa Cuba
Matangazo ya mchana 17.06.2017
Viongozi wa dunia waomboleza kifo cha Kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl. Hasira yatokota jijini London huku idadi ya vifo yafikia 30 baada ya jengo kuwaka moto. Cuba yapinga hatua ya Rais Donald Trump kuimarisha vikwazo vya biashara na usafiri dhidi ya nchi hiyo.
Trump kutangaza sera mpya dhidi ya Cuba
Rais wa Marekani, Donald Trump leo anatarajiwa kutangaza mabadiliko ya sera kuhusu Cuba.
04.12.2016 Matangazo ya jioni
Mazishi ya Fidel Castrol yawa ya kawaida
Castro azikwa, Cuba yaingia kipindi baada ya Fidel
Wacuba walianza hatua za mazishi ya kiongozi wao wa mapinduzi Fidel Castro Jumapili(04.12.2016)
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 3
Ukurasa unaofuatia