You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
COP15: Bado hakujafikiwa mafanikio makubwa
Mada muhimu ni: Ufadhili wa mataifa yanayoendelea na ahadi ya kulinda asilimia 30 ya ardhi na bahari duniani kote.
COP15: Kampuni zatakiwa kutangaza madhara yao kwa mazingira
Kampuni na biashara zahimizwa kuweka wazi viwango vyao vya uharibifu na madhara kwa kwa mazingira.
Wanaharakati wataka miito yao kulinda bayoanuwai isikizwe
Mashirika yanahamasisha kuhusu haja ya kulinda bayoanuwai na yanataka miito yao isikizwe katika mkutano wa COP15.
Ujerumani na India kushirikiana kulinda mazingira
India ni taifa la pili kwa idadi ya watu ikitanguliwa na China inashika nafasi ya nne katika uzalishaji wa hewa ya ukaa.
Jinsi ya kuulinda udongo dhidi ya ukame
Udongo wenye rutuba ni muhimu kwa upatikanaji wa chakula duniani pamoja na maelfu ya spishi zinazoishi ardhini
Kutana na wanamazingira wa kesho nchini Rwanda
Ili kuongeza uhamasishaji kuhusuutunzaji mazingira Rwanda, shirika la uhifadhi wa viumbe limeanzisha mradi kwa watoto ambao ndio walinzi wa kesho wa pori katika eneo hilo. Mradi huo unawalenga wanafunzi wa shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu. Vijana Mubashara inaangazia juhudi zao.
UN yaonya kuhusu vyombo vya majini kuharibu mazingira
Umoja wa mataifa watahadharisha kuwa gesi ya Carbon inayochafua mazingira inayotoka kwenye vyombo vya majini inaongezeka
Tanzania: App ya KM360 inayowaunganisha wakulima na mabenki
Leo katika makala Sema Uvume ya DW Kiswahili Utawasikia vijana watatu wa kitanzania waliobuni Teknolojia inayotumia Mobile Application(Mobile App) inayofahamika kama ´KM360´ ambayo inasaidia kumuunganisha mkulima hasa wa kipato cha chini na mifumo ya kibenki na kumwezesha kupata huduma za kifedha ili kulihudumia shamba lake.
Wajumbe wa COP27 wakubaliana kuzisaidia nchi maskini
Wajumbe katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wa COP27 wamekubaliana kuzisaidia nchi masikini.
Mtu na Mazingira
Katika kipindi hiki leo, tunaangazia changamoto katika msitu wa Rondo. Jiunge na Salma Mkalibala akusimulie athari ya mabadiliko ya Tabia nchi.
COP27: Guterres atoa wito wa kufikia makubaliano
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kufikia makubaliano kabla ya kumalizika mkutano huo.
Juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Mtwara
Wanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi wamebuni mradi wa kilimo cha Bustani Hai ambao una uwezo wa kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa kinachotumia mifuko aina ya viroba vinavyozalishwa viwandani, mbolea za asili zinazotokana na mabaki ya mimea na mkojo wa sungura ili kuzuia wadudu katika kilimo hicho. #Kurunzi
Mkutano wa Mazingira COP 27 waelekea ukingoni
Mkutano huo wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira, maarufu kama COP27 unafanyika nchini Misri.
COP27: Kiwango cha uzalishaji gesi chafu kiko juu kabisa
Hayo yamo kwenye ripoti ya wanasayansi wa Umoja wa Mataifa kwenye mkutano wa COP27 mjini Sharm Al Sheikh, Misri.
COP27: Ukataji miti waongezeka Bonde la Kongo
Wataalamu wa mazingira wamesema ukataji miti katika msitu mkubwa wa Bonde la Kongo umeongezeka kwa asilimia tano 2021.
Kenya kushirikiana na Israel kiteknolojia katika kilimo
Serikali ya Kenya inafikiria namna ya kuimarisha uzalishaji wa chakula mnamo wakati ukame unazidi kuiathiri.
Mkutano wa COP27 waanza kwa onyo Misri
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua zinahitajika kulinda mazingira.
Mtu na Mazingira - Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Makala ya Mtu na Mazingira inangazia athari za Mabadiliko ya Tabianchi. Mtayarishaji ni Bakari Ubena.
Baada ya miaka sita mkutano wa mazingira warejea Afrika
Mkutano wa kilele wa tabianchi chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Mataifa unafanyika tena barani Afrika
Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Alizeti Babati
Makala ya wanawake na Maendeleo hii leo inaumulika umoja wa vikundi vya kinamama wanaolima zao la Alizeti kutoka wilaya ya Hanang; Mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania, umoja ulioanzishwa takribani miaka mitano iliyopita, je ni yapi mafanikio ya umoja huo, ungana mani Veronica Natalis katika Makala hii.
Mikakati ya Rais William Ruto kuimarisha kilimo Kenya
Makala Yetu Leo yanajikita juu ya mikakati aliyoiweka Rais Ruto ili kuimarisha kilimo, baadhi ikiwa kufufua miradi ya umwagiliaji wa maji, utoaji wa mbolea kwa bei nafuu, kilimo kwenye misitu na hatua ya hivi punde ya uzalishaji wa mazao yaliyobadilishwa vinasaba. Mtayarishi wa kipindi ni Wakio Mbogho.
Matangazo ya Asubuhi: 17.10.2022
Idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote yapungua kwa 69%
idadi ya wanyama pori ulimwenguni kote imepungua kwa theluthi mbili tangu mwaka 1970.
Nusu ya nchi duniani hazina mifumo ya tahadhari ya majanga
Umoja wa Mataifa umesema nusu ya nchi ulimwenguni hazina mifumo ya kutoa tahadhari kuhusu majanga ili kuepusha maafa.
Matangazo ya Asubuhi: 09.10.2022
Mtu na Mazingira: Ethiopia yashuhudia Ukame na Mafuriko
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia hali ya ukame na mafuriko yanayohusiana na mabadiliko ya tabianchi Ethiopia.
Vijana Tugutuke: Vijana wanaomaliza Stashahada ya Kilimo
Makala ya Vijana Tugutuke wiki hii imewakusanya mezani vijana waliomaliza stashahada ya kilimo huko Dodoma, Tanzania.
Mtu na Mazingira: Kenya na juhudi za kuongeza miti na misitu
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika juhudi za kuiongeza idadi ya miti nchini Kenya na misitu kwa jumla.
Tamasha la kuhimiza utunzaji wa mazingira, DRC
Vijana wapewe kipaumbele katika utunzaji wa misitu ambayo ni njia ya kulinda mazingira.
Cameroon: Kilimo cha kitalu nyumba kukabili uhaba wa chakula
Barani Afrika, kilimo aina ya vitalu nyumba kimeanza kutumiwa kama njia mbadala ya kusuluhisha ukosefu wa upatikanaji wa chakula unaosababishwa na vita Ukraine. Hususan nchini Kamerun, aina hiyo ya kilimo ambapo mimea hukuzwa kwenye vitalu nyumba sasa inaweza kusaidia kaya nyingi kumudu bei ya vyakula. Mengi zaidi ni kwenye video hii ya Kurunzi.
Mnada wa vitalu DRC wakinzana na malengo ya hali ya hewa
Eneo hilo maarufu la msitu katika Bonde la Kongo lina jukumu muhimu katika mfumo wa hali ya hewa.
Ruto: Nitaelekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo
Naibu rais wa Kenya na mgombea urais, William Ruto, anasema atalekeza nguvu kubwa kwenye sekta ya kilimo ili kuhakikisha kuwa hakuna raia anayekufa kwa njaa, katika wakati ambapo ripoti za baa la njaa zikijiri kwenye maeneo ya kaskazini na mashariki wiki chache kabla ya uchaguzi wa Agosti 9. Ameyasema hayo kwenye mahojiano na waandishi wa habari wa kimataifa. Sikiliza ripoti ya Mohammed Khelef.
UN: Hatua ya kwanza yafikiwa juu ya usafirishaji wa nafaka.
Takriban tani milioni 22 za nafaka zimezuiliwa nchini Ukraine tangu vita kuanza nchini humo.
Matangazo ya asubuhi 03.07.2022
Katika matangazo haya utasikia makala za Mtu na Mazingira, yaliyotowala barani afrika kwa wiki nzima katika afrika wiki hii. Tumekuandalia pia Sura ya Ujerumani na je umeipata hiyo? Bofya hapo juu kusikiliza yote hayo.
Marufuku ya matumizi ya bidhaa za plastiki nchini India
Maelfu ya bidhaa zingine za plastiki kama chupa za maji, soda na mifuko ya chakula, haijajumuishwa kwenye katazo hilo
Madrid: Viongozi waadhimisha siku ya kupambana na ukame
Wanasiasa mbalimbali pamoja na wataalamu wa mazingira wamekutana Madrid, kujadili njia za kukabili ukame ulimwenguni.
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 5.06.2022
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Wajumbe wa kimataifa wakutana kujadili Mazingira Stolkholm
Ulimwengu wasisitizwa kwamba hakuna muda wa kufikiria tena kuhusu nini cha kufanya juu ya kuokoa mazingira
Kilimo kiganjani
Hebu fikiria kama ungeweza kuvuna pilipili, nyanya na mazao yako mengine shambani kwa kuibofya tu simu yako ya mkononi! Mhitimu wa Sayansi ya tarakilishi Rebecca Amoo anafanya hali hiyo kuwa rahisi kwa kila mmoja kuweza kupata faida za kilimo.
Athari za tumbaku ni tele kwenye mazingira: ripoti ya WHO
Ripoti mpya ya shirika la Afya Duniani, WHO, imetahadharisha kwamba mbali tumbaku ina madhara makubwa pia kimazingira.
Bwala lililotelekezwa Zanzibar lageuka kitisho kwa mazingira
Mtu na Mazingira inaliangazia bwawa kubwa lililokusudiwa kuwa kivutio kwa watalii ambalo limeachwa kwa zaidi ya miongo mitatu bila ya kuendelezwa na kugeuka kuwa hatarishi kwa mazingira ya Zanzibar.
Umoja wa Afrika kutafuta mikakati ya kupambana na ugaidi
Bara la Afrika linakabiliwa na machafuko yanayofanywa na makundi ya itikadi kali katika baadhi ya mataifa barani humo.
Umoja wa Afrika leo waanza mikutano miwili ya kilele
Mikutano hiyo inafanyika wakati bara hilo linakabiliwa na mizozo, ugaidi na mapinduzi ya kijeshi
Uchafuzi wa mazingira wasababisha vifo milioni 9 duniani.
Hewa chafu kutoka kwenye malori, magari na ongezeko la asilimia 55 la viwanda tangu mwaka 2000
Je, unajua ni kwanini binadamu hupenda kula nyama?
Watafiti wanasema kuepuka nyama na bidhaa za maziwa ndiyo njia kuu ya kupunguza athari za mazingira.
Zimbabwe kupitisha sheria mpya ya ujenzi
Ujenzi wa nyumba za kisasa itasaidia jamii za vijijini kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayoleta mafuriko.
Athari za ukame kwa watoto wa Kaunti ya Turkana
Katika eneo hilo, tatizo la ukame pia ni watoto wenye utapiamlo. Takriban zaidi ya nusu ya watoto wanaoishi katika jamii za vijijini wanakabiliwa na utapiamlo mkali kulingana na mashirika ya kibinadamu. Na hiyo inatia wasiwasi mamlaka za mitaa.
Urusi: NATO yaandaa mazingira ya Vita vya Tatu vya Dunia
Urusi imeutuhumu muungano wa kujihami wa NATO kwa kile inachosema ni kuweka mazingira ya kuanza kwa vita vya nyuklia kwa
24.04.2022 Matangazo ya Asubuhi
Ukame watishia mifugo na kilimo nchini Kenya
Ripoti ya hivi karibuni ya mamlaka ya kupambana na ukame NDMA inaeleza kuwa wafugaji wasiopungua laki sita katika kaunti ya Turkana wanahangaishwa na ukame.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 15
Ukurasa unaofuatia