You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mtu na Mazingira: Ongezeko la kina cha maji Ziwa Tanganyika
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika athari za kuongezeka kwa kina cha maji cha Ziwa Tanganyika huko Tanzania.
Makala zetu 23.05.2021
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia
Yajue mambo ya kushangaza kuhusu miti
Miti ni muhimu kwa maisha – inatunza mfumo wa ikolojia na kusafisha hewa. Lakini unajuwa kuwa inaweza pia ‘kuwasiliana’?
Mkenya akamatwa baada ya kuikosoa Qatar
Qatar yadai uchunguzi unafanyika kubaini tuhuma zinazomuhusisha na ukiukaji sheria za usalama za nchi
Ukuzaji wa miti na mazao mengine kaunti ya Trans-Nzoia
Ungana na Bernard Maranga katika makala ya Mtu na Mazingira kuangazia umuhimu wa ukuzaji miti pamoja na mazao mengine.
Biden aupokea mwito wa mazingira wa Putin
Rais Joe Biden ameitisha mkutano wa kilele wa siku mbili ili kutangaza kwamba Marekani imerejea kwenye mkataba wa Paris.
Marekani kupunguza kwa nusu kiwango cha gesi chafu
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kupunguza hadi nusu, kiwango cha gesi chafu kinachozalishwa na nchi yake ifikiapo mw
Macho yote kwenye mkutano wa kilele wa mazingira duniani
Rais wa Marekani Joe Biden ataihutubia dunia kuhusu mazingira Alhamis wakati atakapo zindua dhamira ya Marekani katika m
Umoja wa Ulaya wafikia makubaliano muhimu juu ya tabia nchi
Marekani na China zakusudia kutangaza malengo yao mapya juu ya hatua za kupunguza gesi zinazoharibu mazingira.
Vijana wa Kivu wakumbatia kilimo badala ya madini
Baadhi ya vijana ambao walikuwa katika makundi ya wapiganaji jimboni Kivu ya Kaskazini,hivi sasa wamekumbatia sekta ya kilimo badala ya madini au kujiunga na makundi ya wapiganaji. Huko mkaoni Masisi,vijana hawa wamejishughulisha na kilimo cha mahindi.
Juhudi za utunzaji wa bwawa la Kilombero
Juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kulitunza bwawa la Kilombero huko nchini Tanzania. Kwenye makala hii ya Mtu na mazingira utasikia mengi kuhusu juhudi hizo. Sikiliza hapa.
Hifadhi misitu, hifadhi wanyama pori nchini Uganda
Uhifadhi wa wanyamapori unazidi kuwa changamoto kubwa nchini Uganda hasa pale shughuli za binadamu zinavyozidi kusababisha kutoweka kwa pori na misitu ambayo ni maskani ya aina mbalimbali za wanyama.
Rais Samia: Tuweke mazingira mazuri kwa wawekezaji
Rais Samia ataka watendaji kuhakikisha wanaondoa urasimu katika mchakato wa kutolewa kwa vibali vya kazi kwa wawekezaji
Kutana na wanawake wakulima wa Azolla mjini Mtwara
Christina Mbele na Elizabeth Erick ni wanawake wanaotumia muda wao katika kilimo cha Azolla. Azolla ni mmea ambao ni chakula cha mifugo na rahisi kulimwa, kilimo hiki kinatumia eneo dogo, hukua haraka na kuvunwa kila baada ya siku 2-3 tu.
Samani na mapambo kutokana na matairi makuukuu
Kwa kutumia taka mbalimbali ambazo zingedhuru mazingira, Josephine na kundi lake la wanawake bila shaka wanatoa mchango mwingine katika kuboresha mazingira. Kutokana na matairi makuukuu na taka nyinginezo wanatengeneza mapambo, samani na vitu vingine. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi
Juhudi za kuhifadhi vyanzo vya maji Morogoro
Mkoa wa Morogoro hutegemea mito kama vyanzo vikuu vya maji lakini mara nyingi kumekuwa kukiripotiwa uharibifu wa vyanzo hivyo.
Kampeni ya upandaji miti mkoani Dodoma
Kampeni ya upandaji miti inayolenga kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa Mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi katika vijiji kadhaa mkoani Dodoma.
Shaban: Serikali inajitolea kuboresha mazingira ya biashara
Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Omar Said Shaban anasema amechukua mikoba ya wizara hiyo katika wakati ambapo utawala umeonyesha maono makubwa ya biashara. Katika mahojiano na Mohammed Khelef, waziri Shaban anaeleza faraja yake ya kuongoza wizara hiyo na kuahidi kujitolea kwake kuhakikisha ufanisi wa wizara hiyo muhimu.
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Biden ayafuta maagizo ya Trump juu ya mazingira na uhamiaji
Rais Biden ameyasaini maagizo ya kiutendaji yanayopinduwa yaliyokuwa yamewekwa na mtangulizi wake Donald Trump.
Kunusuru mazingira kutumia kipande cha sabuni
Mwekezaji na mwanaharakati wa mazingira kutoka Cape Verde Carlos Silva anataka kusaidia katika utunzaji wa mazingira kwa kutengeneza bidhaa za mapambo zisizokuwa na kemikali wala vihifadhi visivyo vya asilia
Kilimo 'kichuguu' kwa upanzi wa mboga
Kilimo 'kichuguu' ni aina ya kilimo kinachowafaa wale ambao hawana mashamba makubwa. Katika eneo lako dogo, unajitengenezea kijishamba na kupanda mboga kama ambavyo Veronica Anavyosimulia.
Utajiri uliofichika kwenye kilimo cha nyanya
Reginald Awe mkazi wa wilaya ya Karatu mkoa wa Arsuha Tanzania, alianza kujishughulisha na kilimo cha nyanya miaka mitatu iliyopita baada ya kutambua manufaa na utajiri mkubwa unaopatikana katika zao hili. Veronica Natalis amemtembelea na kuandaa vidio hii kuhusu utajiri aliogundua katika kilimo hicho cha nyanya.
Wauzaji wa miche wanavyochangia kutunza mazingira
Mtu na Mazingira inaangazia mchango wa wauza miche katika suala la kuhifadhi mazingira nchini Kenya.
Bei ya chakula ulimwenguni imepanda wakati wa janga la COVID
Ripoti imesema janga la virusi vya corona limekuwa kichochezi kikubwa cha ukosefu wa usawa wa chakula ulimwenguni.
Makala zetu 29.11.2020
Sikiliza baadhi ya makala tuliyokuandalia
Uokozi wa rasilmali ya maji katika ziwa Nakuru
Maziwa na mito mbalimbali inaendelea kuathirika kutokana na uchafuzi na changamoto nyinginezo za kimazingira. Katika makala ya Mtu na Mazingira, Wakio Mbogo anaangazia juhudi za kuokoa pwani ya za maziwa ya Baringo, Bogoria, 94, Nakuru, Elementaita na Naivasha ambazo zinapoteza taswira zao nzuri, kutokana na changamoto ya kimazingira inayotishia makaazi pamoja na mazingira.
Usalama wa chakula na matumizi ya dawa katika kilimo Kenya
Bunge nchini Kenya linataka mashirika matatu ya serikali kufanya ukaguzi wa dawa zote zinazotumika kwenye kilimo na kupiga marufu zinazoaminika kuwa na viungo vinavyochangia kusababisha saratani. Haya yanajiri wakati ambapo kura mpya ya maoni imebaini kuwa 83% wana wasiwasi kuwa matumizi ya kupindukia ya dawa za kutibu mifugo za antibiotiki.
Magari yaliotumika yanaathiri mazingira Afrika
Magari yaliotumika yanachafua hali ya hewa katika mataifa yanayoendelea
Wahudumu wa afya Nakuru walalamikia mazingira duni ya kazi
Wahudumu wanalalamikia wagonjwa wa COVID 19 kuchanganywa na wagonjwa wengine na kutozingatiwa maslahi yao.
Watu milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula Congo
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo limesema uhaba wa chakula umezidishwa na janga la COVID-19
Mwanamke mwendesha trekta na pia mtangazaji wa redio Ghana
Kilimo ndiyo kitega uchumi kikuu kwa wakaazi wengi kaskazini mwa Ghana. Hikimitu Kediri ni mtangazaji wa Habari katika redio na pia mkulima wa kwanza wa kike kupata leseni ya kuendesha trekta kaskazini mwa Ghana. Anawahimiza wanawake wengine kama yeye kufanya kilimo.
Tamasha la teknolojia za kijani mjini Berlin
Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inaangazia tamasha la teknolojia za kijani ambapo bidhaa mbalimbali zinazozingatia utunzaji wa mazingira huonyeshwa mjini Berlin. Harrison Mwilima anakujuza mengi zaidi. Sikiliza
Vijana washiriki maadamano siku ya mazingira duniani
Maandamano hayo ''Ijumaa kwa ajili ya mustakabali'' ni ya kwanza kufanyika tangu ulimengu kukumbwa na COVID-19
Oxfam: Matajiri wachache wanachafua mazingira
Oxfam: Matajiri wachache wanaathiri masikini kwa uchafuzi wa hali ya hewa
Mpango wa kuwasambazia wakulima mbolea kidijitali Kenya
Katika mataifa mengi barani Afrika, kilimo ni uti wa mgongo. Aidha wakulima wanatumia teknolojia kukiimarisha kilimo chao. Mathalan, nchini Kenya, kuna mpango ambao ni wa kusambaza mbolea kidijitali. Thelma Mwadzaya na mengi zaidi kuhusu mpango huo kwenye makala Sema Uvume.
Ubora wa mbegu za kiasili ni upi?
Nchini Uganda, wakulima wanapenda kutumia mbegu za asili kuliko za dukani. Je ni kwa nini? Ili kuweza kuwa na mbegu zinazotosheleza mahitaji yao, wakulima wadogo vijijini wamebuni vyama vyao vya akiba ya mbegu. Lubega Emmanuel na mengi zaidi kwenye vidio hii ya Kurunzi.
Kwagala Uganda: Kilimo mjini
Kila sehemu katika bustani la nyumbani la ‘Kwagala farm’ imetumiwa kwa namna moja au nyingine kuzalisha mboga au matunda na pia ufugaji…… Hata kwenye paa kuna shamba la vitunguu. Kisha nje ya bustani kuna shamba darasa kwa wanafunzi wa shule na makundi ya watu wanaozuru.
Mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kunadhifisha miji
Idadi kubwa ya watu barani Afrika, imechangia uchafuzi wa Mazingira kutokana na utupaji wa taka kiholela mijini na hata vijiijini. Lakini nchini Kenya, yapo matumaini kuwa hali hiyo itabadilika. Hii ni kutokana na hatua ya serikali ya Kenya kutangaza mpango uitwao KAZI MTAANI, wa ajira kwa vijana kunadhifisha mazingira ya miji. Mengi zaidi na Michael Kwena kwenye makala ya Mtu na Mazingira.
Afungwa miaka 11 kwa kumuua sokwe Uganda
Sokwe huyo aliyeitwa Rafiki na aliyekuwa kiongozi, alitoweka na siku tatu baadaye mzoga wake ulipatikana.
Njaa inayohusiana na Covid-19 huua watoto 10,000 kwa mwezi
Hata kabla ya covid-19, kulikuwepo na watoto milioni 47 wa chini ya miaka mitano waliodhoofika kutokana utapimlo.
Mazingira ya siasa yabuni nafasi za ajira Tanzania
Wanamitindo, wabunifu na washonaji nguo ni miongoni tu mwa wale wanaonufaika kutokana na mazingira ya siasa nchini Tanzania kwa kushona sare za kisiasa. Kwenye Kurunzi, Ahmad Juma anaangazia juhudi za washonaji nguo na namna ambavyo soko la bidhaa zao limetanuka kutokana na mazingira ya siasa.
Uvamizi wa nzige ni kitisho kwa upatikanaji wa chakula Kenya
Huenda mabadiliko ya tabia nchi yanachangia pakubwa uvamizi wa nzige Afrika Mashariki. Uvamizi huo ndio mkubwa zaidi katika miaka 70 iliyopita.
Ufugaji vipepeo Tanzania
Zaidi ya kaya kumi zimeachana na ukataji miti na kilimo hatarishi kwa mazingiara na kuingia katika ufugaji wa vipepeo na kusafirisha nje ya nchi ambako soko lipo kwa wingi
Ethiopia yadhamiria kupanda idadi kubwa ya miti
Waziri Mkuu Abiy Ahmed bado amedhamiria kufikia lengo la mwaka huu la kupanda miti bilioni 5.
Tanzania: Kitisho cha maambukizi Ilala kutokana na uchafuzi wa mazingira
Wakaazi wa mtaa wa Mji Mpya wilaya ya Ilala nchini Tanzania wameelezea wasiwasi wao wa uwezekano wa kuambukizwa maradhi mbalimbali kutokana na maji taka kutapakaa katika mtaa wao. Wanataka hatua zichukuliwe ili kuwaepusha na tatizo hilo. Ahmad Juma anasimulia zaidi.
UN yazindua mkakati mpya wa tabianchi
Mpango huo mpya unanuwia kufanikisha lengo la kukomesha utoaji wa gesi ya ukaa kufikia 2050.
Jinsi ya kuzuia tembo kwenye mazingira
Kumekuwa na ripoti za mashamba ya watu Afrika Mashariki kuvamiwa na tembo. Lakini kuna mbinu mbalimbali za kuwazuia.
Upandaji wa miti ya mpwani ya Kenya
Miti ya kiasili imekuwa ikipundua kutokana na kukatwa mbao kwa ajili ya ujenzi. Asilimia 80 ya chakula inatokana na miti hivyo kuna haja ya watu kuifahamu miti hiyo ya kiasili na kupanda japo mmoja. Ungana na Faiz Musa kutoka Mombasa, Kenya kuelewa zaidi.
Vijana wanaolima mbogamboga Mtwara
Wasikilize vijana kutoka Tanzania wakijadili kilimo cha mbogamboga kwenye eneo linalozunguka bwawa katika Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 15
Ukurasa unaofuatia