You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vijana wanaolima mbogamboga Mtwara
Wasikilize vijana kutoka Tanzania wakijadili kilimo cha mbogamboga kwenye eneo linalozunguka bwawa katika Manispaa ya Mtwara Mikindani.
Kitisho kinachoukabili Mto wa Mbu
Mto wa Mbu unategemewa kwa asilimia zaidi ya 80 ya shughuli zote za uchumi za wakazi wa mji huo uliopo Arusha kaskazini mwa Tanzania lakini kwa sasa uhai wa mto huo upo mashakani. Makala hii ya Mtu na Mazingira inaangazia sababu hasa zinazofanya mto huo kuwa hatarini. Ungana na Anuary Mkama kujua mengi zaidi.
Corona: Mazingira ya wandishi wa habari hatarini
Baadhi ya wandishi wa habari wamepoteza ajira, kupunguziwa mishahara na wengine kuandamwa na vyombo vya usalama
Ujerumani kuifanyia mageuzi sera ya misaada ya maendeleo
Burundi ni moja kati ya nchi zitakazoondolewa kwenye orodha ya nchi zinazopewa misaada na Ujerumani.
Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW
Miongoni mwa wanaharakati walifunguliwa kesi za kimkakati pamoja na vitendo 71 vya uvunjifu wa haki zao.
Viongozi wataka kuwe na utaratibu mkali kuyalinda mazingira
Kuwepo mwanzo mpya wa kulinda mazingira baina ya jamii na taasisi baada ya janga la virusi vya Corona duniani.
Wanaharakati wa mazingira waitwisha DR Congo mzigo wa lawama
Mikataba hiyo inayohusisha karibu kilomita za mraba 20,000 imetolewa kwa kampuni mbili za China.
Wangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa
Kupitia vuguvugu lake Ukanda wa Kijani, Wangari Maathai alisifiwa sana kwa kujenga jamii yenye amani na iliyo endelevu.
Wangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa
Kupitia vuguvugu lake Ukanda wa Kijani, Wangari Maathai alisifiwa sana kwa kujenga jamii yenye Amani na iliyo endelevu.
Iran: Wanaharakati wa Mazingira wafungwa jela
Ujerumani na Iran zabadilishana wafungwa
Mtoto mmoja kati ya sita wanaishi katika mazingira ya vita
Ripoti ya Save the Children inaonyesha kuwa wavulana wadogo husajiliwa kama majeshi
Panda shuka za kilimo biashara nchini Tanzania
Makala Yetu Leo inaangazia sekta ya kilimo biashara nchini Tanzania hususani eneo la wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Kenya yasema mikakati ipo kukabiliana na nzige wa jangwani
Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri amewataka wananchi kuwa waangalifu na kutoa taarifa kwa mamlaka kuhusu wadudu hao.
UNICEF: unyanyasaji dhidi ya watoto umeongezeka
Watoto wanapitia madhila kama vile utumwa na kufanyishwa biashara ya ngono.
Mkutano mrefu wa mazingira wa UN wamalizika bila makubaliano
Mkutano mrefu kabisa wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wamalizika Madrid bila makubaliano
Roboti linaloweza kusafisha mazingira
Wasichana wawili wabunifu kutoka Tanzania, waunda roboti ya kusafisha mazingira baharini na maeneo ya makaazi.
Wakulima wa Turkana kukabiliana na uhaba wa chakula
Jimbo la Turkana linalofahamika kuwa chimbuko la mwanadamu, lina sura nyingine ambayo mara nyingi hukosa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari. Hizi ni juhudi za wakazi za kujitosheleza kwa chakula pamoja na biashara. Makala yetu leo inasimuliwa na Shisia Wasilwa.
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
Nchi karibu 200 zinashiriki mkutano wa mazingira Madrid
Kauli za kutetea Juhudi za kulinda mazingira bado zinasikika barani Ulaya
Katibu mkuu wa UN, aonya juu ya mabadiliko ya tabia nchi
Wajumbe kutoka kiasi nchi 200 wakutana Madrid kutafuta njia za kupunguza uzalishaji wa hewa chafu inayoharibu mazingira
Afrika kuongoza kwa kilimo cha bangi ya matibabu
Kundi la wanasayansi, watafiti na wajasiriamali limesema bara la Afrika linaweza kufikia kuwa mzalishaji mkubwa wa bangi
Uhaba wa maji na Mazingira Mombasa
Juhudi za kampuni inayosimamia maji eneo zima la Pwani ya Kenya zimeshindwa kukidhi mahitaji ya wakaazi wa Mombasa.
Marekani yaanza rasmi mchakato kujitoa mkataba wa Mazingira
Marekani yaanza mchakato wa kujitoa kutoka makubaliano ya Paris ya Mazingira
Maabara ya kilimo yazinduliwa nchini DRC
Rais Félix Tshisekedi amezindua maabara ya utafiti wa kilimo ili kupambana na njaa na umaskini mashariki ya DRC.
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Uganda yatakiwa kutoa kipaumbele kwa masuala ya Mazingira
Matangazo ya Asubuhi 08.09.2019
Aina za samaki 204 wanaathirika kwa kumeza plastiki. Pamoja na mambo mengine sikiliza ripoti mpya kuhusu athari ya zitokanazo na uchafuzi wa mazingira katika kipindi cha mtu na mazingira.
Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili
Je, unajua kama simu yako inaweza kuwa inachangia migogoro na kuchafua mazingira?
Uwepo wa wakimbizi Tanzania waharibu mazingira
Tanzania kuboresha mazingira yaliyoharibiwa kutokana na uwepo wa kambi za Wakimbizi.
Afrobarometer: Afrika ina ufahamu mdogo kuhusu tabianchi
Afrika ndiyo inaathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi, lakini waafrika wengine hawana ufahamu kuhusu suala hili.
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Afrika kuanza kutumia satalaiti kwa mazingira, tabianchi
Waziri wa Ulinzi wa Kenya Rachel Omamo anasema hatua hiyo itawafaidisha wakulima na kusaidia kutunza vyanzo vya maji.
IPCC - Kuna uhusiano kati ya matumizi ya ardhi na Tabia Nchi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kisayansi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi IPCC katika ripoti yake mpya linaonyesha.
Von der Leyen kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Ursula Von der Leyen aahidi kushughulika mabadiliko ya hali ya hewa, kuongeza makamishna wa kike na Brexit.
Maandamano Nairobi kupinga mradi wa mkaa wa mawe Lamu
Wataalamu wanaonya kuwa iwapo serikali itaendelea kutekeleza mradi huo huenda ukawa na matokeo hasi
Usafi ndiyo adui wa Kipindupindu
null
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Maelfu ya wanafunzi waandamana duniani dhidi ya tabia nchi
Wanasayansi waonya dunia huenda ikawa sayari ambayo binadamu hawezi kuishi.
Guterres azindua kampeni kabambe ya utunzaji wa mazingira
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ziarani Pasifiki Kusini, kuzindua kampeni ya utunzaji wa mazingira
Kitisho cha kutoweka viumbehai Magazetini
Kitisho cha kutoweka viumbehai Magazetini
Kigoma: Zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi
Tunaelekea magharibi mwa Tanzania, ambako tunaelezwa kuwa zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi ikiwemo kutumikishwa kingono katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Ungana na mwandishi wetu wa huko, Prosper Kwigize kwenye ripoti hii.
Makala Zetu 17.03.2019
Sikiliza baadhi ya makala tulizokuandalia
Maandamano yanafanyika sehemu mbali mbali Ulimwenguni
Wanafunzi hao wanashinikiza viongozi kuchukua hatua za kupunguza gesi chafu
Kenyatta na Macron wafungua mkutano wa mazingira Nairobi
Ziara ya Macron Afrika Mashariki
Kupungua kwa uhai anuai kunahatarisha upatikanaji wa chakula
FAO imesema shughuli za kilimo na uvuvi zinaweza kufanyiwa mabadiliko na hivyo kuweza kuongeza aina mpya za mimea.
Mzozo wa Ukuta na kumbukumbu za Holocaust Magazetini
Mzozo wa Ukuta na kumbukumbu za Holocaust Magazetini
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Muongozo wa kutekeleza makubaliano ya Paris wafikiwa
Nchi zinazoendela bado hazijaridhika kwa kukosa ufafanuzi kuhusu ufadhili wa mipango ya kudbiti athari za tabianchi.
Mkutano wa mazingira Katowice wakaribia kufikia tamati
Mkutano wa mazingira mjini Katowice unafikia katika hatua za mwisho
Magazeti: kutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza
Wahariri wa Magazeti ya Ujerumani wamezungumzia mkutano wa Umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 15
Ukurasa unaofuatia