MichezoTanzaniaKurejea kwa mchezo wa ndondi ZanzibarTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezoTanzania30.08.202330 Agosti 2023Baada ya Nusu karne kufungiwa kwa mchezo wa masumbwi zanzibar, mchezo huo sasa umeruhusiwa kuchezwa tena visiwani humo huku baadhi ya mabondia vijana wakitakiwa kutumia fursa hiyo kwa manufaa na kuibua vipaji na ajira zaidi. https://p.dw.com/p/4Vl13Matangazo