You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Biashara ya silaha yapungua duniani, yaongezeka Ulaya
Vita vya Ukraine vyasababisha ongezeko la bishara ya silaha duniani huku Marekani ikishikilia nafasi ya juu kwa uuzaji
Baerbock akamilisha ziara ya siku nne Iraq
Baerbock alitembelea maeneo yalioshuhudia ukatili wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS.
Scholz alaani shambulizi la Hamburg
Watu waliouawa ni saba na takribani watu wengine wanane wamejeruhiwa.
Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi mjini Hamburg
Watu kadhaa wanaripotiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya kutokea shambulio la ufyatuaji risasi kanisani.
Ukraine:Hatuhusiki na hujuma dhidi ya mabomba ya gesi
Hata hivyo Urusi imepuuza ripoti hiyo iliyoitaja kama kampeni makhsusi ya kuficha ukweli, huku Ujerumani ikitahadharisha
Ujerumani kushirikiana zaidi na Iraq dhidi ya IS
Baerbock yuko Iraq kwa ziara ya siku nne kuonesha mshikamano na nchi hiyo
Marekani: Mripuko wa mabomba ya Nord Stream ilikua hujuma
Taarifa za kijasusi zilizotolewa na maafisa wa Marekani zinaonyesha kwamba kundi moja linaloiunga mkono Ukraine, ndilo l
SPD Berlin chagawika kuhusu kuungana na wahafidhina
Giffey kwa sasa anaongoza muungano na vyama vya Kijani na kile cha mrengo mkali wa kushoto cha Die Linke.
Scholz, Biden waapa kuendelea kuisaidia Ukraine
Kansela wa Ujerumani na Rais wa Marekani wameapa kuendeleza ushirikiano wao wa pamoja kuisaidia Ukraine.
Mfalme Charles kuzuru Ujerumani na Ufaransa
Kasri la Buckingham limetangaza Ijumaa kuwa Mfalme Charles wa III wa Uingereza atafanya ziara yake ya kwanza ya kiserika
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Rais Emmanuel Macron ajaribu kujitenga na urithi wa ukoloni wa nchi yake barani Afrika
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Kwenye makala ya Afrika katika magazeti ya Ujerumani leo hii mada zilizotupiwa jicho na wahariri wa magezi hayo ni ziara ya rais wa Ufaransa katika bara la Afrika na sera mpya ya rais Macron katika bara hilo lakini pia uchaguzi wa Nigeria. Msikilize Saumu Mwasimba.
Kansela Scholz awasili Marekani
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amewasili mjini Washington jana usiku, ambapo anapanga kukutana na Rais wa Marekani Joe
Scholz: Magharibi yajadili 'dhamana za usalama' kwa Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema Ujerumani na washirika wake walikuwa kwenye mazungumzo na Ukraine juu ya mustak
Scholz asema Ukraine itahakikishiwa usalama
Kansela Olaf Scholz amehutubia bunge kutoa muelekeo wa serikali yake kuelekea vita vilivyougawa ulimwengu.
Iran yawafukuza wanadiplomasia wa Ujerumani
Serikali ya Iran imewafukuza wanadiplomasia wawili katika ubalozi wa Ujerumani mjini Tehran
Mbunge wa Ujerumani aukosoa mradi wa EACOP
Mbunge wa Ujerumani ukosoa mradi wa EACOP siku moja baada ya Tanzania kuidhinisha rasmi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi.
Ujerumani yaahidi misaada zaidi kwa Uturuki na Syria
Ujerumani yaahidi kuongeza msaada nchini Uturuki na Syria kwa euro milioni 50 kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi.
Mwenyekiti MSC aitaka Ujerumani kuongeza matumizi ya kijeshi
Mwenyekiti wa MSC Christoph Heusgen atoa wito kwa Ulaya na Ujerumani kuongeza matumizi ya kijeshi.
Vita vya Urusi, Ukraine vyatawala sherehe za Carnival
Vita nchini Ukraine na msimamo wa Ujerumani kuhusu kutuma silaha Ukraine ndicho kinachotawala jukwaa la Carnival
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ziarani Sweden, Finland
Baerbock atakutana na viongozi wa nchi hizo zinazosubiri kujiunga na NATO
Chama cha Kansela wa Ujerumani chashindwa uchaguzi wa Berlin
Licha ya ushindi wa CDU, bado wako hatihati kuunda serikali.
CDU yashinda Berlin, lakini iko hatihati kuunda serikali
Hata hivyo haiko wazi iwapo washindi hao wa chama cha Christian Democratic Union, CDU, wataongoza serikali ya Berlin.
Ujerumani yaidhinisha kutumwa vifaru chapa Leopard 1 Ukraine
Viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya wapo Kyiv kuonesha mshikamano wakati huu ikikaribia mwaka mzima tangu uvamizi wa Urusi.
Vikosi vya Urusi vyadai kupata mafanikio Ukraine
Vikosi vya Urusi vimedai kupata mafanikio kwenye uwanja wa vita huko mashariki mwa Ukraine
Kansela Scholz aendelea na ziara Amerika Kusini
Brasília ndio kituo cha mwisho cha kansela Scholz katika Amerika Kusini
Ujerumani yawakumbuka wahanga wa mauaji ya kuangamiza
Ujerumani leo inawakumbuka wahanga wa utawala wa Kinazi waliouawa kuelekea mwishoni mwa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Dunia yawakumbuka wahanga wa Mauaji ya Holocaust
Nchini Israel kumbukumbu hii ilianza mapema sana, na katika siku tofauti.
Biden asema kuisaidia Ukraine ni jukumu la ulimwengu mzima
Marekani yaipongeza Ujerumani kwa kutoa vifaa vya kijeshi kwa Ukraine.
Ujerumani yaidhinisha vifaru vya Leopard kwa Ukraine
Ujerumani imeridhia kupelekwa nchini Ukraine vifaru vyake vya kivita aina ya Leopard 2 na kuziruhusu pia nchi wahsirika.
Ujerumani yakubali kuipatia Ukraine vifaru chapa Leopard 2
Uamuzi huo wa Ujerumani unapisha njia kwa nchi nyingine kutuma vifaru vya Leopard
Miaka 60 ya urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa
Jumapili ya Januari 22 mwaka huu, Ujerumani na Ufaransa ziliadhimisha miaka 60 tangu kusainiwa kwa mkataba wa Elysee, ambao ulichora ramani ya ushirikiano baina ya mataifa hayo makubwa ya Ulaya baada ya vita vikuu vya pili, na kuhitimisha uhasama wa kijadi. Makala hii ya Mwangaza wa Ulaya ilioandaliwa na Daniel Gakuba inaangazia miaka 60 ya urafiki huo.
Chama: Kuipa Ukraine vifaru kutakuwa na athari kwa Ujerumani
Mwenyekiti wa chama cha wanajeshi wa Ujerumani asema kuipa Ukraine vifaru kunaweza kudhoofisha operesheni za jeshi lao.
Ujerumani kujibu haraka kuhusu vifaru vya kivita kwa Ukraine
Nchi za Magharibi zimekuwa zikiahidi silaha zaidi za ili kuisaidia Ukraine kupambana na mashambulizi kutoka Urusi.
Marekani kuipelekea Ukraine vifaru chapa M1 Abrams
Katika kile kitakachokuwa kubadilika kwa msimamo, serikali ya rais wa Marekani Joe Biden inatarajiwa kutoa ridhaa ya kut
Scholz na Macron waadhimisha miaka 60 ya mkataba wa Elysee
Mataifa hayo mawili yametimiza miaka 60 tangu kutiwa saini mkataba wa urafiki kati yake.
Ujerumani: Wanasiasa wakosoa kukwama kupeleka vifaru Ukraine
Inakaribia Mwaka mmoja sasa tangu majeshi ya Urusi yalipoivamia Ukraine.
Zelensky:Muhimu ni vifaru chapa Leopard
Zelensky ameyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa washirika wake Magharibi uliokuwa ukijadili msaada zaidi Ukraine
Ujerumani: Bado hakuna mwafaka wa kupeleka vifaru Ukraine
Viongozi wa Ulaya Ijumaa walitoa wito kwa Ujerumani kutoa idhini ya kupelekwa nchini Ukraine vifaru vya Kijerumani chapa
Uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu
Uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu
Bunge la Ujerumani latambua mauaji ya Wayazidi ya mwaka 2014
Bunge la Ujerumani latambua mauaji ya Wayazidi ya mwaka 2014
Waziri mpya wa ulinzi Ujerumani Boris Pistorius aapishwa
Waziri mpya wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius ameapishwa na kuchukua rasmi wadhfa huo hii leo.
Maoni: Putin amepoteza vita vya gesi na Ujerumani
Ujerumani ina hifadhi kubwa ya gesi ndani ya Umoja wa Ulaya inayoweza kusaidia hadi msimu ujao wa baridi
Ujerumani, Ufaransa wataka usaidizi wa Afrika dhidi ya Putin
Ujerumani na Ufaransa wataka kuwepo ushirikiano kati ya Ulaya na Afrika katika kukabiliana na mizozo ulimwenguni.
Ujerumani na Ufaransa zahimiza uwajibikaji Ethiopia
Ujerumani na Ufaransa zahimiza uwajibikaji Ethiopia
Mawaziri wa Ujerumani na Ufaransa waizuri Ethiopia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufaransa wamewasili mjini Addis Ababa, Ethiopia kwa ziara ya siku mbili.
Waziri wa elimu Ujerumani ashtushwa na kifo cha mwalimu
Waziri wa elimu wa Ujerumani Bettina Stark-Watzinger leo ameelezea kushtushwa na kifo cha mwalimu aliyeuwawa kwa kuchomw
Makabiliano yatokea Lüzerath, Ujerumani
Makabiliano yametokea katika kijiji cha Lüzerath wakati maafisa wa polisi wa Ujerumani walipoingia kuwaondoa wanaharakat
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Ukraine yakataa ombi la Putin la kusitisha mapigano kwa muda
Kyiv imetupilia mbali tangazo hilo na kusema hatua hiyo ni hila tu za Urusi, Ujerumani imepanga kuipa Ukraine silaha.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 47
Ukurasa unaofuatia