You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani yakabiliwa na mdororo wa kiuchumi
Huku mfumuko wa bei na viwango vya juu vya riba vikipunguza uwezo wa watu kununuwa mahitaji muhimu katika taifa hili.
Uchumi wa Ujerumani waingia katika mdororo
Mfumko wa bei umeathiri uchumi wa Ujerumani, ambapo walaji wamepunguza matumizi ya vitu kama chakula na mavazi.
Baraza la Haki za Binaadamu la UN lalaani ukandamizaji Iran
Baraza hilo limeunda pia tume huru ya kuchunguza madai ya unyanyasaji hasa unaofanywa dhidi ya wanawake na watoto.
Scholz azuru Korea Kusini, baada ya mkutano wa G7 Japan
Scholz alizuru Korea Kusini jana, baada ya kuhudhuria mkutao wa kilele wa G7 mjini Hiroshima.
Berlin yachunguza ripoti za wakosoaji wa Urusi kupewa sumu
Mmoja ni mwandishi habari aliyeondoka Urusi hivi karibuni.
Mataifa ya G7 yadhamiria kuiunga mkono Ukraine
Mataifa ya G7 yadhamiria kuiunga mkono Ukraine
Scholz: Majaribio ya silaha za nyuklia yanatishia usalama
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema majaribio ya makombora ya nyukilia ni kitisho cha usalama Rasi ya Korea
Ujerumani yachunguza madai ya kupewa sumu mwandishi habari
Ujerumani yachunguza madai ya kupewa sumu mwandishi wa habari
Mataifa ya G7 yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Kwenye mkutano wao wa kilele nchini Japan, viongozi wakuu wa G7 wamekubaliana juu ya vikwazo zaidi dhidi ya Urusi.
Ujerumani yataka Umoja wa Mataifa uishughulikie Yemen
Ujerumani inasema Umoja wa Mataifa unapaswa kuwa sehemu thabiti ya juhudi za kuleta amani nchini Yemen.
Baerbock apinga kurejesha uhusiano na Assad bila ya masharti
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani ametahadharisha juu ya kusawazisha uhusiano na rais wa Syria bila ya kumpa masharti.
Zelenskiy aishukuru Ujerumani, Ufaransa na Uingereza
Mataifa ya magharibi yamekuwa yakiisaidia Ukraine kijeshi katika mapambano yake dhidi ya Urusi.
Zelenskiy awasili Ujerumani
Zelenskiy awasili Ujerumani
Ujerumani itaipa Ukraine msaada wa kijeshi euro bilioni 2.7
Ujerumani imesema kuwa itaipatia Ukraine msaada mpya wa kijeshi wenye thamani ya zaidi ya euro bilioni 2.7
Ujerumani kuipa Ukraine msaada wa kijeshi euro bilioni 2.7
Wizara ya Ulinzi ya Ujerumani imesema leo kuwa inajiandaa kupeleka msaada mpya wa vifaa vya kijeshi nchini Ukraine.
DW yatimiza miaka 70 - mizozo ya dunia yaiongezea umuhimu
DW ilianza kama kituo cha utangazaji cha Kijerumani kupitia masafa mafupi, lakini sasa ni shirika kubwa la kimataifa.
Ujerumani haioni sababu ya kurejesha uhusiano na Syria
Wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani imesema hakuna sababu za msingi za kurejesha uhusiano wa kidiplomasia na Syria.
Zelensky: Urusi itashindwa kama Manazi wa Ujerumani
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unakumbushia matukio mabaya ya Wanazi wa Ujerumani.
Waziri wa mambo ya nje wa China kuizuru Ujerumani, Ufaransa
ziara hiyo imefuatia mialiko kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock.
Majimbo ya Ujerumani yadai fedha zaidi za wakimbizi
Wakuu wa majimbo ya Ujerumani wanaishinikiza serikali ya shirikisho iongeze fedha za kuwahifadhi wakimbizi.
Kansela wa Ujerumani amalizia ziara yake nchini Kenya
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amalizia ziara yake katika nchi mbili za Afrika huko nchini Kenya.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz aelekea Ethiopia na Kenya.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz aelekea Ethiopia na Kenya katika ziara yake ya pili barani Afrika.
Ujerumani kuondoa wanajeshi wake Mali kunamaanisha nini ?
Ushirikiano wa baadaye wa Ujerumani katika eneo la Sahel unaonekana kutokuwa na uhakika baada ya tangazo la mpango wa kuondoka kwa wanajeshi wake kutoka Mali. Baadhi ya wachambuzi wanahofia kwamba kujitenga huku kijeshi kunaweza kuathiri mipango mingine ya maendeleo ya raia. Je, mahusiano ya baadaye kati ya Mali na Ujerumani yatakuwaje baada ya kuondoka kwa jeshi la Ujerumani nchini humo?
Iran yathibitisha adhabu ya kifo dhidi ya Jamshid Sharmahd
Sharmahd alikuwa anaishi nchini Marekani kwa miaka mingi hadi alipokamatwa huko Dubai
Nchi kadhaa zaondoa raia wake Sudan
Meli iliyowabeba zaidi ya watu 1,600 kutoka mataifa 50 waliondolewa nchini Sudan kuepuka machafuko imewasili nchini Saudi Arabia leo ikiwa operesheni kubwa zaidi kufanywa na ufalme huo wa Ghuba tangu kuzuka mapigano mjini Khartoum.
Kampeni ya Biden ya kugombea Urais 2024 na changamoto zake
Miongoni mwa changamoto zinazomkabili Biden ni athari za janga la Covid-19, uchumi na mfumuko wa bei.
Viongozi wa Ulaya wanajadiili njia za kuzalisha nishati
Viongozi wa Ulaya wanajadili njia za kuzalisha nishati
Jeshi la Ujerumani limewaondoa watu 101 kutoka Sudan.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ahimiza mazungumzo kumaliza mzozto wa Sudan
Washirika wa Ukraine wakutana Ramstein kujadili msaada zaidi
Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameitaka jumuiya hiyo kuendeleza mazungumzo ya kuipatia Ukraine ndege za kisasa.
Katibu Mkuu wa NATO na Rais wa Ukraine wakutana mjini Kyiv
Stoltenberg na Zelensky wamekutana siku moja kabla ya mkutano wa Ramstein wa wakuu wa ulinzi wa nchi za Magharibi.
Migomo yavuruga huduma katika viwanja vya ndege Ujerumani
Wafanyakazi katika viwanja kadhaa vya ndege Ujerumani wanafanya mgomo leo kama sehemu ya migogoro ya mishahara inayoende
Ujerumani ina ushahidi wa uhalifu wa kivita Ukraine
Ujerumani ina ushahidi wa uhalifu wa kivita Ukraine
Baerbock aionya Ulaya kuhusu mvutano wa China na Taiwan
Ziara ya Baerbock inatazamwa kwa karibu
Baerbock ziarani China
Ziara ya Baerbock inajiri siku chache baada ya afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen kuwa Beijing
Ndege iliyowabeba Mawaziri wa Ujerumani yapata tatizo
Ziara hiyo ambayo haikutangazwa kabla kwa sababu za kiusalama
Ujerumani yatoa wito wa kupunguzwa mivutano ya China, Taiwan
Serikali za Ulaya zinazidi kuhofia shinikizo la China kwa Taiwan.
Ujerumani yanuwia kudhibiti uhalifu wa kutumia visu
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani anasema atachukua hatua kali zaidi kukabiliana na uhalifu wa kutumia visu.
Ujerumani yayaonya makampuni yanayokwepa vikwazo vya Urusi
Ulaya imekuwa ikitangaza awamu za vikwazo dhidi ya Urusi tangu taifa hilo lilipoivamia Ukraine Februari mwaka uliopita.
Ujerumani yamfumkuza balozi wa Chad
Balozi wa Ujerumani nchini humo, Gordon Kricke, alifukuzwa kutokana na kauli zake tete juu ya hali ya kisiasa Chad
Wakristo kote ulimwenguni waadhimisha Ijumaa Kuu
Ijumaa Kuu ni siku maalum kwa ajili ya kuadhimisha kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo.
Balozi wa Ujerumani Chad atakiwa kuondoka
Balozi wa Ujerumani Chad atakiwa kuondoka
Moto mkubwa wazuka kwenye maghala mawili mjini Hamburg.
Polisi mjini Hamburg watahadharisha juu ya uwezekano wa kusambaa hewa ya sumu kutokana na moto. watu 140 wamehamishwa.
Sweden yasema bado haijulikani aliyehujumu Nord Stream 2
Bomba la Nord Stream 2 linalosafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ujerumani liliharibiwa mnamo mwezi Septemba mwaka jana.
Trump ajitetea, adai Wademocrat waihujumu azma yake ya urais
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amejitetea vikali katika matamshi yake ya kwanza kwa umma tangu kufikishwa kizim
Wademocrat wazungumzia kushitakiwa rais wa zamani Trump
WaDemocrat akiwemo spika wa zamani wa bunge la Marekani Nancy Pelosi wametoa maoni yao juu ya Baraza Kuu la mahakama ya New York kuidhinisha rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ashitakiwe kufuatia madai kuwa alimlipa muigizaji filamu za ngono Storym Daniel ili ayaweke siri mahusiano kati yao. Profesa David Monda anachambua
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara nchini Ujerumani
Mfalme wa Uingereza Charles lll aanza ziara ya siku tatu nchini Ujerumani
Mfalme Charles III wa Uingereza kufanya ziara Ujerumani
Uamuzi wa kuwatembelea kwanza majirani wa karibu unachukuliwa kama jaribio la kufufua uhusiano baada ya Brexit.
Ujerumani yatikiswa na mgomo mkubwa wa sekta ya usafiri
Wafanyakazi wa sekta ya usafiri wa umma wadai nyongeza kubwa ya mshahara- kutokana na ongezeko la mfumko wa bei
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakutana na wamualika Guterres
Viongozi hao wa Umoja wa Ulaya walitarajiwa pia kuidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha na makombora zaidi.
Ujerumani: Safari za ndege zafutwa kutokana na migomo.
Ujerumani: Safari za ndege zafutwa kutokana na migomo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 47
Ukurasa unaofuatia