You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani haitoweka sheria kwa lengo la NATO kijeshi
Serikali ya Ujerumani haitaki kuweka sheria kwa ajili ya kufikia lengo la matumizi ya kijeshi la Jumuiya ya NATO.
Wajerumani wenye asili ya Afrika walenga kuvunja vikwazo
Watu zaidi wenye asili ya Afrika wanasherehekea mafanikio ya kitaaluma nchini Ujerumani, kwenye muziki, michezo na siasa
Ujerumani yazindua mswada wa kuhalalisha bangi
Mswada wa sheria ya kuhalalisha matumizi ya bangi utajadiliwa bungeni la Ujerumani, lakini sauti za kupinga ni nyingi.
Waziri wa Ujerumani Baerbock afuta ziara ya Pasifik
Ndege hiyo ya serikali aina ya Airbus chapa 340 ililazimika kukatisha safari mara mbili baada ya kuruka kutoka Abu Dhabi
Waziri wa Ujerumani ametowa mwito kutafutwa njia amani Niger
Waziri wa Ujerumani maendeleo wa Ujerumani, Svenja Schulze mwito kutafutwa njia amani Niger
Waziri wa fedha wa Ujerumani amewasili mjini Keiv.
Waziri wa Fedha wa Ujerumani Christian Lindner amewasili njini Kiev Ukraine kwa ziara ya kisiasa.
Kesi ya udanganyifu wakati wa COVID yasikilizwa Ujerumani
Mahakama ya Cologne nchini Ujerumani, leo imeanza kusikiliza kesi ya udanganyifu wa takribani Euro milioni 16
Chama cha AfD cha Ujerumani chasema EU ni mradi ulioshindwa
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Mbadala kwa Ujerumani AfD kimetangaza Umoja wa Ulaya kuwa "mradi ulioshindwa
Ujerumani yahimiza juhudi za upatanishi Niger
Ujerumani yahimiza kuendelea kwa juhudi za upatanishi Niger.
Kodi za nyumba zazidi kupaa Ujerumani
Nyumba zimekuwa gali zaidi Ujerumani, na vipato havitoshelezi tena.
Jeshi la Ujerumani na ugumu wa kupata askari wapya
Jeshi la Ujerumani linakabiliwa na ugumu wa kupata askari wapya
Ujerumani yaishukuru Ufaransa kwa kuwaondoa raia wake Niger
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameishukuru Ufaransa kwa kusaidia kuwaondoa raia wake Niger.
Vikwazo vya kiuchumi vya ECOWAS kuwaathiri raia wa Niger
Ombi la Niger la mkopo wenye thamani ya dola milioni 51 limetupiliwa mbali na Benki ya ukanda huo kutokana na vikwazo.
AfD chachagua kiongozi wa kampeni uchaguzi wa bunge la Ulaya
Maxmillian Krah ataongoza kampeni za chama cha AfD katika uchaguzi wa mwakani wa bunge la Ulaya
AfD kuamua wagombea wake katika bunge la Ulaya
Chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha Ujerumani AfD kuamua majina ya wagombea uchaguzi ujao wa bunge la Ulaya.
AfD yalenga kuimarisha umaarufu wake Ujerumani, Ulaya
AfD inafanya kongamano Ijumaa kuweka mikakati ya ushindi chaguzi za Ulaya na majimbo mwakani.
Ujerumani yapambana kuwahifadhi wakimbizi
Wakati idadi ya wakimbizi wanaokuja Ujerumani inaongezeka, wengi wa waliofika miaka iliyopita bado hawajapata makao yao.
Mkakati wa Ujerumani kuhusu China wavutia hisia tofauti
China imeukosoa mkakati mpya wa Ujerumani huku Taiwan ikiukaribisha.
Ujerumani yazindua mkakati mpya wa kuamiliana na China
Sera mpya ya Ujerumani kuelekea China inalenga kuweka uwiano kati ya maslahi kinzani ya Ujerumani na China.
Wafuasi wa itikadi kali AfD washika nafasi ya pili Ujerumani
Chama cha AfD kinashika nafasi ya pili endapo uchaguzi ungefanyika leo hii nchini Ujerumani, mbele ya vyama tawala.
Wahariri wa Ujerumani wazungumzia mzozo wa Darfur
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani wamejikita wiki hii juu ya mzozo wa Darfur, kuondoka kwa jeshi la Ujerumani Mali
Ujerumani hatarini kukosa wafanyazi wa kigeni wenye ujuzi
Kuongezeka kwa umaarufu wa chama cha AfD kinachoeneza chuki dhidi ya wageni kunatishia mustakabali wa taifa hilo.
Scholz: Usalama wa Ujerumani ni kipaumbele
Kansela Olaf Scholz amesema usalama wa taifa lake umepewa kipaumbele katika bajeti ya 2024 kutokana na vita vya Ukraine.
Israel: Watu wanane wajeruhiwa mjini Tel Aviv
Israel: Watu wanane wajeruhiwa katika shambulio la gari katika mji wa Tel Aviv
Hungary, Poland zapinga mabadiliko ya sheria za Uhamiaji EU
Poland imeiunga mkono Hungary katika kupinga makubaliano ya mabadiliko ya sheria za uhamiaji.
Ujerumani na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano
Ujerumani imekosoa hasa msimamo wa Afrika Kusini wa kutokemea uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Ujerumani kuharakisha uondoaji wa wanajeshi wake Mali
Ujerumani ina wanajeshi wapatao 1,000 nchini Mali, na tayari ilianza mchakato wa kuondoa vikosi vyake.
Ujerumani na Afrika Kusini zaujadili mzozo wa Ukraine
Vita vya Ukraine na tofauti za nchi hizo kuhusu Urusi vimejitokeza katika ziara ya waziri Baerbock nchini Afrika Kusini.
Ujerumani na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao
Ujerumani na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao licha ya kuwa na maoni tofauti juu ya vita vya Ukraine.
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wakutana Luxemburg
Mawaziri hao pamoja na nchi washirika wameamua kuiongezea Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa dola bilioni 3.82.
Baerbock na washirika wa G7, wajadili yanayoendelea Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock amezungumza na mawaziri wenzake wa kundi la G7
Harakati za kijasusi za Urusi kuongezeka nchini Ujerumani
BfV imesema Urusi imekuwa ikionyesha nia ya kuzidisha kampeni za upotoshaji.
Ujerumani kuisaidia Ukraine kukabiliana na vita vya Urusi
Ujerumani kuisaidia Ukraine kukabiliana na vita vya Urusi
Scholz azungumza na China kutumia ushawishi wake kwa Urusi
Kansela Olaf Scholz amesema amezungumza na waziri mkuu wa China ili kufikisha mwisho vita nchini Ukraine.
Misimamo mikali ya mrengo wa kulia yaongezeka Ujerumani
Afd kiliainishwa kama chama kinachoshukiwa kuwa na itikadi kali za mrengo wa kulia
Ujerumani, China zafanya mazungumzo ya ngazi ya juu
Li Qiang yuko katika ziara yake ya kwanza ya kigeni mjini Berlin tangu alipoingia madarakani
China yasema Beijing inapendelea ushirikiano na Ujerumani
Waziri Mkuu wa China asema China yataka kutanua ushirikiano na kutatua tofauti zilizopo baina yake na Ujerumani.
Waziri Mkuu wa China ziarani katika mataifa mawili ya Ulaya
Ziara ya Li inafanyika wakati waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken naye akikamilisha ziara huko Beijing.
Magazeti ya Ujerumani yazungumzia mpango wa kuinusuru Sudan
Kuna mpango wa kujaribu kuinusuru Sudan kutokana na machafuko ya vita
Ujerumani kukabiliana na historia ya utawala wake Afrika
Ila bado inashindwa kuangazia masuala kadhaa, kama vile ilivyowaangamiza kikatili wapiganaji wa Maji Maji Tanzania.
Ujerumani yazindua mkakati mkubwa zaidi wa usalama
Lengo la mkakati huo ni kuhakikisha kuwa njia na zana zote zinafanya kazi pamoja ili kuimarisha usalama wa Ujerumani.
Macron kukutana na Scholz na Andrzej Duda kuijadili Ukraine
Macron kukutana na Scholz na Andrzej Duda kuijadili Ukraine
NATO yaanza mazoezi makubwa ya kijeshi kuonyesha nguvu zake
Wanajeshi zaidi ya 10,000 watajiunga na mazoezi hayo ya kuimarisha mshikamano na utayarifu wa kujilinda dhidi ya uvamizi
NATO kufanya mazoezi makubwa kabisa Ujerumani
Maeneo matatu yatafungwa kwa muda. Safari za ndege za kiraia hazitaruhusiwa katika anga ambazo yatafanika mazoeizi hayo
Scholz anapanga kuzungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin
Scholz anapanga kuzungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin
NATO kufanya luteka kubwa ya angani nchini Ujerumani
Jumuiya ya Kujihami ya NATO itafanya mazoezi makubwa kabisa ya kijeshi ya angani kuwahi kufanywa nchini Ujerumani.
Scholz kukutana na waziri mkuu wa Italia Giorgia Meloni
Scholz kukutana na waziri mkuu wa Italia Giorgia Meloni
Kwanini Marekani iliingia katika mkwamo wa madeni?
Marekani bado inakabiliwa na matumizi makubwa katika huduma za afya na pensheni kwa idadi kubwa ya wazee
Scholz ataka Ukraine ipewe hakikisho la usalama
Kansela Scholz amesema hakikisho la usalama linahitajika kwa Ukraine, kuipa uwezo kukabili kitisho kinachoweza kutokea.
Silaha za Ujerumani zisitumike kufanya mashambulizi Urusi
Kansela Sholz: Silaha zinazotolewa na Ujerumani kwa Ukraine hazipaswi za kufanya mashambulizi kwenye ardhi ya Urusi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 47
Ukurasa unaofuatia