Katika matangazo yetu leo jioni:Himaya za nje za Ufaransa zimeanza zoezi la kupiga kura. Waziri mkuu wa zamani wa kundi la Hamas katika Ukanda wa Gaza Ismael Haneyah achaguliwa kuiongoza Hamas. Tume ya uchaguzi nchini Ufaransa yatoa amri kuwa barua pepe za mgombea wa urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron zilizodukuliwa zisienezwe