1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Mapitio ya matukio ya 2024

29 Desemba 2024

Mohammed Khelef anaongoza Meza ya Duara kuyatathmini matukio makubwa ya mwaka 2024 na athari yake kwa mwaka 2025 na hata mbele yake kwenye siasa za kilimwengu. Ahmed Rajab, Abdulfattah Mussa na Gwappo Mwakatobe ndio wachangiaji.

https://p.dw.com/p/4ofaI