You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Leverkusen yasalia na mechi moja kuandika historia Ujerumani
Leverkusen imevunja utawala wa Bayern Munich wa kushinda mataji 11 mfululizo ya Bundesliga.
Michuano ya Kombe la EURO 2024 yakaribia
Zikiwa zimesalia wiki chache kuanza kwa mashindano EURO 2024 Juni 14 yatakayofanyika hapa Ujeurmani tayari baadhi ya mataifa yameanza kutangaza vikosi vyao. Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Nancy Faeser amesema vikosi vya usalama vimeajiandaa vyema kwa ajili ya mashindano hayo. Sikiliza mahojiano kati ya Suleman Mwiru na Josephat Charo.
Leverkusen kukamilisha msimu bila kupoteza mechi
Nyota wa tenis raia wa Chile Alejandro Tabilo ampiku Novak Djokovic na kushinda mashindano ya tenis ya Italian Open.
IRC: Mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel
Shirika la kimataifa la International Rescue Committee limesema mamilioni hawana chakula mataifa matatu kanda ya Sahel.
Union Berlin yamtimua kocha Nenad Bjelica
Bjelica alichukua mikoba kutoka kwa kocha wa zamani wa Union Urs Fischer
DW Michezo 29.04.2024
Mabingwa wa Bundesliga Bayer Leverkusen waendeleza rekodi yao ya kutoshindwa, huku zikiwa zimesalia mechi tatu msimu wa ligi kukamilika // Bayern na Dortmund zajiandaa kwa michuano muhimu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwa na msimu usioridhisha katika ligi ya nyumbani //Na utasikia kwa nini ramani iliyochorwa kwenye jezi ilisababisha mechi ya Kombe la SHiriksiho Afrika kufutwa
Ni Leipzig dhidi ya Dortmund Jumamosi hii, Usikose
Ligi Kuu ya Kandanda hapa Ujerumani - Bundesliga inaelekea ukingoni. Baada ya bingwa kujulikana sasa macho yote yamegeuka katika nafasi za kucheza kandanda la Ulaya. Kwa mengi zaidi kuhusu mechi za wikiendi hii Suleman Mwiru amezungumza na Bruce Amani kuhusu michezo ya wikiendi hii na ambao utatangazwa mubashara kupitia ukurasa wa Facebook wa DW Kiswahili na kupitia redio mbalimbali washirika.
TFF; Kinyang'ayiro kinaendelea
Kinyan'gayiro cha ubingwa, ligi kuu ya Tanzania kinaendelea kushika kasi.
Wanawake wenye ulemavu wajiunga na mchezo wa mpira wa mikono
Kutana na wanawake hawa wenye ulemavu waliamua kujiingiza kwenye mchezo wa mpira wa mikono na namna wanavyosakata mchezo huo.
Leverkusen washinda taji la kwanza la Bundesliga
Leverkusen iliifunga Werder Bremen 5 - 0 na kuuwekea kikomo utawala wa Bayern Munich wa miaka 11 mfululizo wa ligi kuu.
Tuchel kuisusa mechi inayoweza kuipa taji Leverkusen
Tuchel amesema atasubiri mechi kati ya timu yake na Arsenal kuwania kombe la mabingwa barani Ulaya.
Umuhimu wa kocha na mkufunzi bora kwa mchezaji
Katika michezo, nafasi ya kwanza inamaanisha ubingwa. Mbali na talanta unahitaji washauri na wakufunzi bora watakao kuongoza kufikia ubingwa. Hawa huchangia ushindi nyuma ya pazia na kumsaidia mchezaji kuvikabili vikwazo na ukiritimba unaojitokeza katika safari ya mashindano. #vijanamubashara
Rudi Völler arefusha mkataba DFB
Rudi Völler arefusha mkataba na shirikisho la soka DFB hadi mwaka 2026.
Bundesliga: Leverkusen wakaribia ubingwa
Bayer Leverkusenyapania kubeba taji lao la kwanza la Bundesliga.
Bayern kuwakosa wachezaji muhimu dhidi ya Heidenheim
Kocha Thomas Tuchel amesema Bayern lazima washinde kama wako tayari kwa mechi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya, Champions.
Alonso asema muda wa Bayer Leverkusen kufurahia ushindi bado
Kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso, amesema ni mapema mno kuanza kusherehekea ushindi wa Ligi Kuu ya Ujerumani.
Florian Wirtz haondoki Leverkusen msimu ujao
Wirtz amekuwa akiwindwa na vilabu mashuhuri vilivyotaka kumsajili msimu ujao.
Dortmund yaizika nia ya Bayern kushinda ligi
Leverkusen inahitaji alama tisa kutawazwa mabingwa wa Bundesliga bila kujali matokeo watakayoyapata Bayern.
Dana Dana za soka la Ujerumani na Bundesliga
Kurejea katika kikosi cha Ujerumani kwa kiungo Tony Kroos kumesaidia kuimarisha mchezo wa timu.
Wanariadha Urusi, Belarus kutoshiriki ufunguzi wa olimpiki
IOC, imesmea wanariadha wa Urusi na Belarus walioruhusiwa kushiriki gwaride la sherehe ya ufunguzi.
Leverkusen wausogelea ubingwa wa Bundesliga
Dar Young Africans waangukia pua pambano la dabi ya Mzizima, Tanzania. Na Carlos Alcarez atetea taji la Indian Wells.
Bayer Leverkusen, wako imara kweli ama ni povu la soda?
Bayer Leverkusen imeweka rikodi ya kutofungwa mechi 36 katika mashindano yote msimu huu.
Bayern watapindua kipigo na wafuzu robo fainali Champions League?
Bayern Munich wana nafasi ya kuyaweka hai matumaini yao ya kupata angalau taji moja msimu huu watakapotembelewa na Lazio hapo Jumanne katika mechi ya Ligi ya Vilabu Bingwa Ulaya, Champions League. Katika mechi ya raundi ya kwanza iliyochezwa huko Italia, Bayern walifungwa 1-0. Msikilize Bruce Amani akitoa tathmini yake kuhusiana na iwapo Bayern wataweza kukipindua kipigo hicho na wasonge mbele.
Je, wakati umewadia wa Eliud Kipchoge kustaafu?
Nyota wa mbio za masafa marefu za marathon Eliud Kipchoge kutoka Kenya alionyeshwa kivumbi na Wakenya wenzake mwishoni mwa wiki katika mbio za Tokyo Marathon ambapo aliishia kumaliza mbio hizo katika nafasi ya kumi. Sikiliza uchambuzi wa mwandishi wa michezo kutoka Kenya Ali Hassan Kauleni alipozungumza na Jacob Safari.
Kuna mpinzani tena wa Leverkusen katika Bundesliga msimu huu?
Bayer Leverkusen taratibu yaujongelea ubingwa wa Ujerumani baada ya kufungua mwanya wa pointi kumi baina yake na timu iliyo katika nafasi ya pili Bayern Munich. Chini ya jedwali nako FC Cologne wanahaha, hali si nzuri wako katika hatari ya kushuka daraja. Sikiliza uchambuzi kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa kandanda la Ujerumani Sekione Kitojo.
Leverkusen waongeza mwanya baina yao na Bayern
Matumaini ya mashabiki wa kandanda Ujerumani ya kuwa na bingwa mpya msimu huu yameongezeka
Florian Wirtz bado yupo yupo sana Bayer Leverkusen
Vilabu vya Bayern, Barcelona na Real Madrid vimeonesha nia ya kuitaka saini ya mchezaji huyo raia wa Ujerumani.
Dana Dana za Bundesliga na Josephat Charo na Saumu Njama
Kocha Thomas Tuchel ameshinda mechi yake ya kwanza na timu yake ya Bayern Munich tangu ilipotangazwa ataondoka mwishoni mwa msimu. Je hii ina maana gani kwa kikosi cha Bayern na muelekeo wa ligi kwa mechi zilizosalia msimu huu? Borussia Dortmund wapoteza tena nyumbani dhidi ya TSG Hoffenheim. Stuttgart wakwamishwa na Cologne nyumbani.
Bayer Leverkusen yaendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga
Jordan Thompson wa Australia ashinda taji la kwanza la mashindano ya kimataifa ya tenisi Los Cabos Open nchini Mexico.
Dani Alves ahukumiwa miaka 4.5 jela kwa ubakaji
Mahakama ya Uhispania imemuhukumu nyota wa zamani wa kandanda Dani Alves kifungo cha miaka 4.5 jela kwa ubakaji.
Bondia Pacquiao akubali ndoto yake ya Olimpiki imekwisha
Bondia Pacquiao "amehuzunishwa na kukatishwa tamaa" katika ndoto yake ya ndondi ya Olimpiki.
Bayern waduwazwa na Bochum 3-2
Bochum waponyoka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich.
Ivory Coast wafalme wa kandanda barani Afrika
Ivory Coast sasa imejiunga na Nigeria kuwa timu zilizobeba ubingwa wa AFCON mara tatu.
Thomas Tuchel abeba lawama kufuatia kipigo cha 3-0
Kuna wasiwasi juu ya nafasi ya Thomas Tuchel iwapo Bayern Munich itashindwa kuchukua ubingwa msimu huu.
Emerse Fae: Safari ya ushindi wa Ivory Coast ni kama miujiza
Ivory Coast ilimfuta kazi Jean-Louis Gasset baada ya kumaliza wa tatu kwenye kundi A na kumteua Fae kama kocha wa muda.
Kenya yaomboleza kifo cha mwanariadha Kelvin Kiptum
Kpitum alipata ajali eneo la bonde la Ufa baada ya kushindwa kulidhibiti gari alilokuwa akiendesha na kuacha barabara.
Cote d'Ivoire wabeba ubingwa wa Afrika
Timu ya Cote d'Ivoire imeandika historia baada ya kujinyakulia taji la ubingwa wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kuitwanga Super Eagles ya Nigeria mabao 2-1, katika mchuano wa fainali uliopigwa katika ndimba la Olimpiki wa Ebimpe mjini Abidjan. Lakini safari yao imekuwa hadithi ya muujiza kama anavyosimulia Bruce Amani
Baver Leverkusen yapipanga kuikwaa Bayern Munich
Alonso alisema wanahitaji kuwa imara kuweza kuishinda Bayern Munich, licha ya wasiwasi kuhusu majeruhi.
Semenya ataka kugharamikia mapambano yake ya kisheria
Semenya anajiandaa na usikilizaji wa shauri lake katika Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya (ECHR) tarehe 15 Mei.
Nigeria yakwaaa na Afrika Kusini nusu fainali AFCON
Michuano ya AFCON inaingia hatua ya nusu fainali huku mabingwa mara tatu, Nigeria, wakipambana na Afrika Kusini leo.
AFCON: Timu ya Kongo yaahidi "kuwaburudisha" mashabiki wake
Kocha wa Kongo: " Mechi hii ni maalum kwa DRC na pia ni kazi yetu kuwapa watu furaha na kuwafanya watabasamu."
Shirikisho la Soka Cameroon lapinga hatua ya Eto'o kujiuzulu
Eto'o amekuwa akikabiliwa na tuhuma za mienendo isiyofaa, upangaji matokeo na rushwa.
Misri yamfuta kazi kocha wa timu ya taifa ya kandanda
Siku ya Jumatano Februari 7,2024 ni hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON
Vijana Tugutuke: Ufanisi wa soka pwani ya Kenya
Fathiya Omar anajadiliana na vijana wa pwani ya Kenya juu ya maendeleo ya soka kwenye eneo hilo.
AFCON: Hatua ya robo fainali nani mkali?
Kocha wa muda wa Ivory Coast Emerse Fae amekiri kwamba timu yake ina "jukumu la kufanya kila iwezalo" katika mechi ya kufuzu hatua ya robo fainali katika Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya mabingwa watetezi Senegal baada ya kuponea chupuchupu katika hatua ya makundi. Amri Massare akiwa nchini Ivory Coast ana tathmini zaidi.
Harry Kane aendelea kutamba Ujerumani
Harry Kane alifunga bao lake la 23 msimu huu wakati Bayern ikipata ushindi muhimu wa 3-2 dhidi ya Augsburg.
Timu za Tanzania na DR Kongo zikiwa mazoezini
Taifa Stars ina kibarua kigumu cha mwisho katika mchuano wa kundi, F ikipigania ushindi kwa nguvu kubwa.
Kameruni yatinga hatua ya mtoano baada ya kuilaza Gambia 3-2
Kameruni sasa itachuana na Super Eagles Nigeria katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny mjini Abdijan siku ya Jumamosi.
Ivory Coast ukingoni mwa kutolewa nje ya michuano ya AFCON
Ivory Coast ilipokezwa kichapo cha 4-0 na Guinea ya Ikweta na kuiweka nafasi yake kufuzu raundi ya 16 bora kuwa finyu.
Bremen yaishangaza Bayern katika Bundesliga
Na nyota wa tenis raia wa Urusi Daniil Medvedev afuzu kwa robo fainali ya mashindano ya tenisi ya Australian Open
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 10
Ukurasa unaofuatia