You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taifa Stars yalazimishwa sare ya 1-1 na Zambia
Taifa Stars ilianza kampeni ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco.
Vijana Tugutuke: Ufanisi wa soka la pwani ya Kenya
Kwenye Makala ya Vijana Tugutuke, mwenzetu Fathiya Omar alikutana na vijana akazungumza nao juu ya ufanisi wa soka la pwani ya Kenya na namna ya kuliimarusha zaidi. Walisema nini vijana hawa? Karibu sana kwenye makala haya usikilize.
PSG wafungua mwanya wa pointi 8 dhidi ya Nice
Klabu ya Nice iliyoanza vyema msimu wa ligi ya Ufaransa Ligue 1 kwa mechi 13 bila kufungwa
Vinicius aizamisha Barcelona
Winga wa Real Madrid Vinicius Junior aliisaidia Real Madrid kupata ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya Barcelona
Terzic: Tutamsaidia Sancho kurejelea makali yake
Jadon Sancho aliingia kama mchezaji wa akiba na kusaidia kuandaa goli moja Borussia Dortmund walipowalaza Darmstadt.
Leverkusen waendelea kuwaumisha kichwa Bayern
Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga ilianza tena mechi zake za awamu ya pili ya msimu baada ya mapumziko.
Sancho ametameta, Leverkusen waendeleza walipoachia
Goli la sekunde za mwisho za muda wa ziada zaiweka hai ndoto ya Bayer Leverkusen ya kunyakua ubingwa wa Ujerumani, Jadon Sancho asema anajihisi yuko nyumbani katika klabu ya Borussia Dortmund licha ya kuwa hapo kwa mkopo tu na miamba wa kandanda Afrika washangazwa na timu ambazo hazikupewa nafasi katika mashindano ya kuwania ubingwa wa kandanda Afrika, AFCON. Msikilize Jacob Safari.
Je, vibonde wana nafasi AFCON?
Mashindano ya kuwania ufalme wa kandanda barani Afrika AFCON yanaendelea huko Ivory Coast na Jumatatu Cameroon watakuwa wanakwaana na Gambia kisha Algeria wacheze na Angola. Ili kuangazia jinsi mambo yalivyokwenda kufikia sasa katika michuano hii Jacob Safariu anaungana na mchambuzi wa kandanda la Afrika kutoka Dar es Salaam, Master Tindwa, sikiliza.
Michuano ya AFCON 2024 yaanza Ivory Coast
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON inaanza Januari 13 hadi Februari 11. Senegal ndio bingwa mtetezi.
Ivory Coast yafungua dimba kwa ushindi wa mabao mawili
Ivory Coast imefungua dimba kwa ushindi wa mabao mawili kwa bila.
Victor Boniface kuikosa michuano ya AFCON kutokana na jeraha
Mchezaji wa Bundesliga, Victor Boniface, ataikosa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, kutokana na jeraha.
Nguli wa soka wa Ujerumani Franz Beckenbauer afariki dunia
Sababu za kifo chake hazikuwekwa wazi na familia yake iliyotoa taarifa hii.
Bundesliga kurejea Ijumaa
Mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON kuanza Jumamosi, Yanga yatupwa nje ya Kombe la Mapinduzi.
06.01.2024: Matangazo ya Asubuhi
Kwenye matangazo haya utasikia miongoni mwa mengineyo, Hofu imezidi kutanda kwamba vita vya Israel mjini Gaza vinaweza kusambaa katika kanda nzima ya Mashariki ya Kati baada ya mashambulizi mabaya yaliyofanyika Lebanon na Iraq na Korea Kaskazini yaonekana kuchukuwa muelekeo mpya kwenye mahusiano yake na Korea Kusini. Kulikoni? Karibu usikilize.
Bayern yamwinda kiungo wa timu ya England Eric Dier
Bayern Munich inammezea mate kiungo wa timu ya taifa ya England na klabu ya Tottenham Hotspurs Eric Dier.
Timo Schultz ateuliwa kuwa kocha wa klabu ya FC Köln
Köln imeeleza kuwa Schultz ataanza mara moja kuinoa klabu hiyo inayoshikilia nafasi ya 17 katika jedwali la Bundesliga.
Changamoto za marefa wa kike Pwani ya Kenya
Mabadiliko hayaepukiki, hususan katika ulimwengu wa soka, ambapo waamuzi wa kike, wenye ujasiri na vipaji, wanajitokeza kuingilia fani ya wanaume, wakionyesha kwamba soka ni mchezo wa kila mtu. Pamoja na changamoto nyingi, baadhi yao huko katika kaunti ya Kwale, nchini Kenya, wameonesha kwamba kuwa mwamuzi wa kike ni safari inayowezekana.
Mwanariadha wa Uganda Benjamin Kiplagat auawa nchini Kenya
wito watolewa kuharakishwa kwa uchunguzi
AFCON itaiathiri vipi ligi kuu ya Bundesliga?
Ni vilabu gani vya Ujerumani vitawakilishwa vyema zaidi nchini Ivory Coast?
Stuttgart: Serhou Guirassy hana nia ya kuondoka
Guirassy amefunga mabao 17 msimu huu ambayo yameisaidia klabu hiyo kushikilia nafasi ya tatu kwenye Bundesliga.
Droo ya ligi ya mabingwa yapangwa
Washindi wa makundi wamepangiwa kucheza mechi za mkondo wa pili nyumbani.
Mshambuliaji wa Bayern Harry Kane amaliza ukame wa mabao
Harry Kane anaongoza chati ya ufungaji magoli Bundesliga baada ya mechi 15 kwa kufunga mabao 20.
Man U yatupwa nje michuano ya Champions League
Manchester United ya Uingereza imetupwa nje ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya.
Manchester City yapata ushindi wa tabu dhidi ya Luton Town
Kuelekea mechi dhidi ya Luton, vijana wa Pep Guardiola walikuwa wamecheza mechi nne bila ya kupata ushindi.
Harry Kane akosa kutamba mbele ya Eintracht Frankfurt
Bayern ilifungwa mabao matano kwa mara ya kwanza Bundesliga tangu walipopoteza dhidi ya Frankfurt 5-1 Novemba 2019.
Je, wanasoka wa kike wanapata mikataba inayowafaidi?
Soka la wanawake linatazamiwa kuwa tasnia itakayoleta mabilioni ya dola kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Girona yachupa kileleni La Liga baada ya kuifunga Barcelona
Girona bado haijafungwa wakati inapocheza ugenini msimu huu na inaongoza La Liga ikiwa na alama 41 baada ya mechi 16.
Tuchel: Hatukujiandaa vizuri dhidi ya Frankfurt
Bayern ilifungwa mabao matano kwa mara ya kwanza Bundesliga tangu walipopoteza dhidi ya Frankfurt 5-1 Novemba 2019.
Ten Hag asema mlango bado uko wazi kwa Sancho United
Erik ten Hag amesema kwamba mchezaji Jadon Sancho anajua anachopaswa kufanya ili kusalia ndani ya Old Trafford.
Huenda Pogba akafungiwa kandanda kwa miaka minne
Paul Pogba anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa kucheza kandanda kwa muda mrefu.
Terzic: Tulifanikiwa kuwadhibiti Leverkusen kimbinu
Kwa mara ya pili msimu huu Bayer Leverkusen wamepoteza pointi katika ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga.
Dortmund wawalazimisha sare Leverkusen
Vinara wa Bundesliga Bayer Leverkusen wapoteza pointi kwa mara ya pili msimu huu ila bado wanasalia kutofungwa, kocha wa Manchester City Pep Guardiola amlalamikia muamuzi wa mechi yao dhidi ya Spurs na Kenenisa Bekele aweka rekodi ya kuwa mwanariadha mwenye umri mkubwa zaidi kukimbia marathon chini ya saa mbili na dakika tano.
FC Cologne waondoka kwa muda kutoka eneo la kushushwa daraja
Huu ndio ushindi wa pili wa Cologne katika Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga msimu huu.
Erik ten Hag ajilaumu kwa sare dhidi ya Galatasaray
Manchester United wako mkiani mwa kundi A ikiwa ikiwa na alama 4 baada ya kucheza mechi tano.
Uamuzi wa utata wapelekea kuondolewa kwa afisa wa VAR
Kylian Mbappé alifunga penalti dakika ya nane ya nyongeza baada ya beki wa Newcastle Tino Livramento kuunawa mpira.
Cecafa Challenge kwa wachezaji wasiozidi miaka 18
Timu ya taifa ya Rwanda wachezaji wenye umri wa miaka 18 wanaume, imeanza vizuri katika mashindano ya CECAFA challenge, kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka kumi na nane. Msikilize Christopher Karenzi.
Leverkusen haishikiki katika Bundesliga
Bayer Leverkusen mwishoni mwa wiki walirudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga baada ya kupata ush
Yanga waangukia pua, Simba walazimishwa sare Ligi ya Mabingwa
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Vilabu Bingwa Afrika Simba na Yanga wameanza kwa mguu mbaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga akichapwa 3-0 huku Simba akilazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na ASEC Mimosas. Msikilize Mindi Joseph.
Mtunisha misuli wa Tanzania anaetetea jinsia yake.
Mtazame mtunisha misuli aliyejizolea umaarufu mitandanoni nchini Tanzania baada ya kuzuka hoja na dhihaka kuhusu jinsia yake, Loveness Tarimo akitoa hakikisho la hali aliyonayo. Kwa majibu ya uhakika kuhusu jinsia yake tazama vidio ya Tatu Yahya wa Dar es Salaam.
Taifa Stars yaangukia pua mbele ya Morocco jijini Dar
Ziyech aliifungia Simba wa Atlas bao la kwanza kabla ya mchezaji wa Tanzania Lusajo Elukanga kujifunga mwenyewe.
Kenya itatamba mbele ya Ushelisheli na Tanzania itakiweza kishindo cha Morocco?
Kunachezwa mechi za kuwania kufuzu katika mashindano ya Kombe la Dunia Afrika, Kenya ikiwa mgeni wa Ushelisheli kisha Jumanne Tanzania itacheza na Morocco na Somalia dhidi ya Uganda. Ili kupata tathmini kamili ya hali ya timu za Afrika Mashariki katika mchakato huu wa kuwania kushiriki mashindano hayo, Jacob Safari amezungumza na mwandishi wa michezo kutoka Mombasa, huko Kenya, Anthony Aroshee.
Kombe la Dunia Qatar liliongeza majeraha kwa wachezaji Bundesliga
Utafiti mmoja umefichua Kombe la Dunia lililochezwa katikati ya misimu ya kandanda ya vilabu, liliwapelekea wachezaji katika ligi tano kuu za Ulaya, kujeruhiwa kwa wastani wa siku 8 zaidi. Kampuni ya bima ya Howden imechapisha faharasa yake ya majeraha katika kandanda la Ulaya kwa msimu uliopita, mwaka mmoja baada ya Kombe la Dunia. Isikilize tathmini ya Bruce Amani kuhusiana na sual hili.
Union kufanya mazoezi ya faragha ili kujiondoa mkiani
Union Berlin itaendelea na mazoezi wakati huu wa mapumziko ya kimataifa katika jitihada za kujaribu kujiondoa mkiani.
Leverkusen yaweka rekodi ya mwanzo bora wa msimu
Bayer Leverkusen chini ya kocha Xabi Alonso inaendeleza mwanzo bora zaidi wa msimu wa Bundesliga.
11.11.2023: Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza hapa matangazo ya Asubuhi yanayojumuisha upembuzi wa ripoti pamoja na makala
Real Madrid, Bayern na Inter zapeta ligi ya mabingwa Ulaya
Timu za Ujerumani Bayern Munich na RB Leipzig zafuzu raundi ya 16 bora, Dortmund bado sana huku Union Berlin ikiwa hoi.
Ligi ya mabingwa kutimua vumbi tena wiki hii
Kocha wa Dortmund awahimiza wachezaji wake kwamba yaliopita si ndwele
Bundesliga; Stuttgart yapokea kipigo cha pili mfulizo
Mwanzo mzuri wa VfB Stuttgart kwenye Bundesliga msimu huu umekwama.
Messi ashinda tuzo ya nane ya Ballon d'Or
Messi sasa anamzidi mpinzani wake Cristiano Ronaldo na tofauti ya mataji matatu ya Ballon d'Or.
Messi ashinda tuzo ya Ballon d´Or
Messi kwa sasa anaichezea timu ya Inter Miami nchini Marekani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 10
Ukurasa unaofuatia