You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
UNICEF
UNICEF ni shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto na wanawake katika mataifa yanayoendelea.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UNICEF Migogoro imewafanya watoto wateseka zaidi hivi sasa
UNICEF Migogoro imewafanya watoto waishi uhamishoni zaidi kuliko wakati mwingine
Wito watolewa kuwasaidia watoto wanaotumika vitani
Baada ya ziara hiyo, Beah alisema imekuwa vigumu kuona kile alichokipitia miaka mingi iliyopita bado kinatokea kwa watu.
UNICEF yasaka dola bilioni 9.9 kwa watoto maeneo ya vita
UNICEF imetangaza kampeni ya kusaka dola bilioni 9.9 kwa ajili ya mamilioni ya watoto walioathirika kwa vita.
Watoto wanaosajiliwa na magenge ya silaha waongezeka Haiti
Watoto wamenasa katika mzunguko wa kusajiliwa kwenye magenge yaliyojihami na silaha yanayowasababisha masaibu.
UNICEF: Hali itakavyokuwa kwa watoto katika mwaka 2050
UNICEF yaonya mabadiliko ya idadi ya watu, hali ya hewa na teknolojia yanatishia mustakabali wa vijana.
Iran yalaani vikwazo vipya dhidi yake
Umoja wa Mataifa wasema hali mbaya sana inawakabili watoto katika Ukanda wa Gaza
UNICEF: Mamilioni ya wasichana wadhalilishwa kingono
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limeripoti kwamba zaidi ya wasichana milioni 370 na wanawake
Hezbollah yadai kushambulia kambi ya jeshi ya Israel
Hezbollah imedai kushambulia kwa ndege zisizo na rubani kambi ya kijeshi ya Israel.
Idadi ya waliouwawa Lebanon yazidi kuongezeka
Mashambulizi ya siku mbili ya Israel nchini Lebanon hadi sasa yameshasababisha vifo vya zadi ya watu 550.
Australia kutoa msaada wa dola bilioni 10 kwa ajili ya Gaza
Zaidi ya 41,450 wameuawa na wengine zaidi ya 95,870 wamejeruhiwa tangu kuanza kwa vita hivyo Oktoba 7 mwaka jana.
Watoto milioni sita waathiriwa na Kimbunga Yagi
UNICEF inasema Kimbunga Yagi kimewaathiri karibu watoto milioni sita katika eneo la kusini mashariki mwa Asia.
UN: Mizozo yawazuia mamilioni ya watoto kusoma, Afrika
Mataifa mengi ya Afrika yanakabiliwa na mizozo ya wenyewe kwa wenyewe inayosababisha mazingira magumu ya kijamii.
WHO yatoa idhini kwa Gavi na Unicef kununua chanjo ya Mpox
Wizara ya afya nchini Gabon imeripoti kisa chake cha kwanza cha mpox kwa mtu ambaye alikuwa amerejea kutoka Uganda.
WHO: Ruksa kwa washirika wetu kuanza kununua chanjo za mpox
Ulimwengu umeanza kupambana kuhakikisha wanadhibiti maambukizi zaidi ya homa ya nyani ama mpox.
UNICEF yasikitishwa na adhabu ya kunyongwa nchini Somalia
Vijana hao walinyongwa katika jimbo lenye utawala wake wa ndani la Puntland mwishoni mwa juma.
Tanzania: Vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake vikomeshwe
Visa vya dhuluma za kijinsia zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara na wakati mwingine wanaharakati wa haki za binadamu wanashinikiza hatua zaidi kwa vitendo vya dhuluma hasa kwa makundi ya wanawake wasichana na watoto. Baadhi ya vijana wanasema malaka hazijafanya vya kutosha kukomesha vitendo hivyo.
Gambia yashikilia uamuzi wa kupiga marufuku ukeketaji
Mashirika yamesema hatua hiyo inathibitisha kwa mara nyingine ahadi za Gambia katika masuala ya haki za binadamu.
UNICEF: Ghasia za Haiti zasababisha watoto kuhama makazi
Haiti, taifa la kisiwa limekumbwa na machafuko yanayosababishwa na magenge ya uhalifu yanayozozania mamlaka.
Mahakama Israel: Wanaume wa Kiorthodox waandikishwe jeshini
Mahakama ya Israel imetoa uamuzi jeshi lianze kuwaandikisha wanaume wa madhehebu ya Kiorthodox kulitumikia jeshi.
Unicef : Watoto milioni 400 wanakabiliwa na adhabu za vipigo
Shirika la UNICEF lasema watoto wapatao milioni 400 wakabiliwa na adhabu ya kupigwa pamoja na matatizo ya kisaikolojia.
UNICEF: Watoto mil 400 duniani wanapitia ukatili majumbani
UNICEF imesema karibu watoto milioni 400 wanakabiliwa na ukatili majumbani, kati yao asilimia 60 wapo chini ya miaka 5.
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika majumbani
UNICEF: Karibu watoto milioni 400 wananyanyasika kwa kisingizio cha kuwajenga kinidhamu majumbani
Robo ya watoto chini ya miaka 5 wana uhaba mkubwa wa chakula
Ripoti ya UNICEF imebainisha kuwa robo ya watoto chini ya miaka mitano wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula
UNICEF: Mtoto 1 kati ya 4 anakabiliwa na ukosefu wa chakula
Watoto katika kaya zenye kipato cha chini katika mataifa tajiri pia wanakabiliwa na upungufu wa lishe.
UNICEF yalaani ongezeko la ukatili dhidi ya watoto, Sahel
Mataifa hayo matatu yanakumbwa na vurugu za makundi ya itikadi kali na mengine yenye silaha.
Israel kuendeleza vita Gaza hadi mwishoni mwa mwaka 2024
Hadi sasa zaidi ya watu 36,000 wameuawa, hii ikiwa ni kulingana na mamlaka zinazodhibitiwa na Hamas.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya inayoendelea Haiti
Catherine Russell amesema theluthi mbili ya watoto wa Haiti wanahitaji misaada.
UN: Vita vya Gaza vimewaathiri mno wanawake na watoto
Wanawake wengine wanaokadiriwa 8,000 wamekuwa wajane kutokana na vita hivyo kulingana na ripoti yxa Umoja wa Mataifa.
Watu milioni 55 wakabiliwa na njaa Afrika Magharibi na Kati
Changamoto za kiuchumi ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei na kudorora kwa uzalishaji wa ndani, vimechangia hali kuwa mbaya.
Mwaka 2024 unakaribia kuwa wenye joto zaidi kuwahi kutokea
UNICEF: Watoto wako katika hatari zaidi kuliko watu wazima kwani hawana uwezo wa kudhibiti joto la miili yao.
Utapiamlo watishia kizazi kijacho cha Afghanistan
Kupungua kwa misaada ya kimataifa na uhaba wa madaktari nchini humo kumedhoofisha mfumo mzima wa afya.
Baraza la mpito Haiti laahidi utulivu na demokrasia
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya Wahaiti 360,000 wamegeuka kuwa wakimbizi wa ndani na maelfu wameuawa.
Umoja wa Mataaifa waonya juu ya hali mbaya nchini Haiti
Mkurugenzi mtendaji wa shirika la UNICEF ametoa tathmini ya kutisha kuhusu hali ya machafuko nchini Haiti.
Haiti: Polisi waendelea kukabiliana na magenge ya wahalifu
Shirika la kikanda CARICOM, Umoja wa Mataifa na Marekani wanaunga mkono kuanzishwa kwa baraza la mpito.
UN: Watu milioni 5 wakabiliwa na baa la njaa Sudan
Umoja wa Mataifa wasema watu milioni 5 wakabiliwa na baa la njaa Sudan.
UN: Vifo vya watoto vimepungua, athari bado ipo
Idadi ya watoto walioaga dunia kabla ya umri wa miaka mitano ilipungua, 2022.
UNICEF: Ukeketaji wanawake waathiri wanawake milioni 230
Ufaransa yaidhinisha uaviaji mimba.
UNICEF: Wanawake milioni 230 ni manusura wa ukeketaji
Lakini ripoti hiyo pia iliangazia maendeleo yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwenye maeneo mengine.
Umoja wa Mataifa waahidi ufadhili kukabiliana na saratani
Ufadhili huo utatumika kupanua upatikanaji wa chanjo, uchunguzi wa ugonjwa huo wa Saratani na matibabu duniani kote.
UNICEF: Watoto 68,000 wanahitaji msaada wa kiutu Nepal
Watoto 68,000 Nepal wahitaji msaada
Watoto 700,000 hatarini kupata utapiamlo hatarini - UNICEF
UNICEF imesema watoto 700,000 nchini Sudan wapo hatarini kukumbwa na utapiamlo mbaya zaidi mwaka huu,
Ufafanuzi: Hali ya ukeketaji barani Afrika
Umoja wa Mataifa una lengo la kukomesha kabisa mila ya ukeketaji mwishoni mwa muongo huu. Lakini je, Afrika inasonga mbele katika kumaliza aina hii ya ukatili, ambao unaathiri wanawake takriban milioni 200 duniani kote?
UNCEF yasema watoto 17,000 Gaza hawana ndugu wa karibu
Shirika la UNICEF lasema watoto 17,000 Gaza hawako na wazazi au ndugu zao wanaodhaniwa kuuawa, kujeruhiwa au kuhama.
Wajawazito Ukraine wahofia kujifungua kabla ya wakati
Wanawake nchini Ukraine wanahofia kujifungua watoto kabla ya wakati kutokana na matatizo ya muda mrefu.
UN: Watoto huzaliwa katika mazingira hatari huko Gaza
UNICEF: "Wanawake wajawazito huvuja damu hadi kufa wakati wakifanyiwa upasuaji wa dharura."
Mashirika ya UN yasema Gaza yahitaji msaada zaidi wa dharura
Wakuu wa mashirika ya UN wameonya kuwa Gaza inahitaji msaada la sivyo wakaazi watakumbwa na baa la njaa na magonjwa.
Zaidi ya watu 30 wauawa katika mashambulizi ya Sudan
Kundi la mawakili wa Sudan wanaounga mkono demokrasia limesema kuwa mapigano baina ya makamanda wawili hasimu.
UNICEF "Gaza eneo hatari zaidi kwa watoto"
Israel imeendeleza mashambulizi katika Ukanda wa gaza tangu shambulizi la kwanza la Hamas nchini humo, Oktoba 7, 2023.
UNICEF yaomba dola bilioni 9.3 za kusaidia watoto 2024
UNICEF limetoa ombi la ufadhili wa dola bilioni 9.3 ili wafikie watoto waliokumbwa na majanga ya kibinadamu ifikapo 2024
Jeshi la Israel laanzisha operesheni kubwa ya ardhini Gaza
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba haiwezekani kuunda kile kinachoitwa "maeneo salama" kwa raia katika Ukanda wa Gaza
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 4
Ukurasa unaofuatia