You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: DW
Picha: DW
Vidio zetu
Tazama vidio zetu hapa
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maajabu ya Koblenz
Mji wa Koblenz unafahamika kuwa moja ya miji ya kitalii nchini Ujerumani kutokana na uwepo wa vigari vya kuning'inia.
Ufahamu ugonjwa wa Dyslexie ambao huwapata watoto
Dyslexia ni tatizo la afya linalowapata baadhi ya watoto ambao hupata changamoto kutambua herufi zinazounda maneno na baadhi ya namba, baadhi ya wazazi hufikiri watoto hawana kumbukumbu nzuri.
Barabara kuu na kasi nchini Ujerumani
Kuna nchi kadhaa duniani ambazo hazina ukomo wa mwendo kasi barabarani, Ujerumani ni mojawapo ya hizo nchi. Mwandishi wa
Mtetezi wa sokwe Tanzania
Mfahamu mwanamama au shoshi au kikongwe mwanaharakati wa kumtetea sokwe na mazingira aliejikita kumtafiti sokwe na kuleta ustawi wa mnyama huyo aliehatarini na maradhi na kuvamiwa na shighuli za binadamu huko katika msitu wa gombe kigoma.
Maandalizi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake
Michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake 2023 inayoandaliwa Australia na New Zealand inaingia hatua ya nusu fainali.
Konokono ana faida jamani!
Mwanamama huyu anasema anafaidika kwelikweli na ufugaji wa konokono. Anawatumiaje? Mimi sisemi mengi, tizama video hii umsikie mfugaji huyu wa konokono. #kurunzi
Tanzania yafanya tamasha la kwanza la muziki wa Jazz
Ni tamasha la Kwanza la muziki wa Afro Jazz Tanzania lililopewa jina Evergreen Afro Jazz ambalo limewakusanya wasanii vijana wanaowika katika muziki huu, dhamira ikiwa kuuhuisha baada ya muziki huu kuonekana kana kwamba unatoweka. Tizama muziki mtamu kabisa wenye mahadhi ya Kiafrika. #kurunzi
Msichana Jasiri: Binti mwandishi wa vitabu
Ni binti mdogo sana, lakini tayari anaandika vitabu vyake anapokwenda safari mbalimbali. Ni nani huyu hasa? Ungana na Hadija Halifa aliyemtembelea binti huyu. Utafurahi kumsikiliza. #msichanajasiri
Mji wa Ujerumani ulioachwa wageuzwa makaazi ya wahamiaji
Kuzibua mishipa ya damu miguuni
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, asilimia 20 ambayo ni sawa na watu milioni 230 ulimwenguni kote, hupata tatizo la kuziba kwa mishipa ya damu ya miguu. Je chanzo, dalili ni zipi? Na matibabu? Kurunzi Afya inaangazia tatizo hilo la kiafya.
Tamasha kubwa duniani la muziki wa Rock laanza mjini Wacken Ujerumani
Tamasha kubwa zaidi la muziki wa Rock limeanza nchini Ujerumani. Ni tamasha linalohudhuriwa na zaidi ya watu 80,000 ila mwaka huu, hali mbaya ya hewa imepelekea idadi kudhibitiwa. Je, uko radhi kucheza matopeni ili umuone mwanamuziki unayempenda? Hebu watazame hawa Wajerumani.
Usafirishaji haramu wa binaadamu watishia watoto wa Afrika
Usafirishaji haramu wa watoto na unyonyaji unazidi kuongezeka katika njia ambayo hutumiwa na wahamiaji wasio na vibali wanapitia kutoka Pembe ya Afrika hadi Saudi Arabia. Umoja wa Mataifa umesema wavulana na wasichana wenye umri wa miaka 13 hadi 17 wako hatarini zaidi. #IOM
Msichana Jasiri, aliyerejea shule baada ya kujifungua
Huyu ndio tunamuita msichana jasiri. Hakutaka kuacha ndoto yake ipeperuke, akatumia fursa iliyotolewa na serikali ya Tanzania na kuamua kurudu shuleni baada ya kujifungua. Ni nani hasa msichana huyu? Sikiliza makala ya Msichana Jasiri kujua zaidi.
Dora jasiri anaetumia tamthilia kuelimisha juu ya unyanyapaa
Baada ya kutengwa na kunyanyapaliwa na jamii kutokana na maumbile yake, Dora ameamua kutumia filamu kuelimisha jamii kwa njia ya Filamu na tamthilia nchini Tanzania.
Fahamu jinsi maji ya ´dripu´ yanavyotumika kama tiba
Fahamu jinsi maji ya ´dripu´ yanavyotumika kama tiba
Msichana Jasiri: Binti Mwandishi wa Vitabu
Katika umri wa miaka nane tu anaandika, vitabu kuhusu utalii wa Tanzania pamoja na utunzaji wa Mazingira
Muwekezaji kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala
Uganda imeungana na nchi jirani za Kenya na Tanzania katika kutafuta kibali cha pamoja cha kuwa wenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027. Suala la miundombinu bado pasua kichwa, lakini kuna tajiri kijana anayejenga uwanja wa michezo Kampala.
Kurunzi Ujerumani - Wajerumani na baiskeli zao
Katika Kurunzi Ujerumani Lennart Attenberger anakupitisha katika mitaa mbalimbali akimulika usafiri wa baiskeli katika maisha ya kila siku. Andamana naye kujua mengi zaidi
Je, maandamano ndio suluhu ya matatizo yanayoizonga nchi?
Upinzani Kenya umeitisha maandamano ya siku tatu mfululizo yanayoanza kesho ili kupinga kupanda kwa gharama ya maisha.
Kisukari chaleta hatari kwa Watanzania
Licha ya hatari ya ugonjwa huu, nusu ya watu walio na ugonjwa wa kisukari hawajui.
Unaifahamu huduma ya M-Mama?
Mfumo wa usafirishaji wa dharura wa wajawazito na watoto wachanga wa M-MAMA.
Wanawake wa Afghanistan waelezea maisha yao kupitia uchoraji
Wanawake wa Afghanistan waelezea maisha yao kupitia uchoraji
Mpiganaji Vita II Dunia, anahisi kutelekezwa na Ufaransa
Moussa Yakite kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati alipigana Vita vya Pili vya Dunia, akiwa upande wa Ufaransa. Miaka 78 baadae hana msaada hata bima ya afya kwa ajili ya matibabu, anahisi kutelekezwa na nchi ya Ufaransa na taifa lake.
Tofauti ya mifumo ya usafiri wa umma Ujerumani.
Unapango wa kuja ama unaishi Ujerumani lakini bado unatatizika na mifumo ya usafiri wa umma? Leo katika Kurunzi Ujerumani tunakupitisha katika mifumo ya usafiri wa umma na tofauti zake kutoka katika miji mikubwa na yenye shughuli nyingi.
Nakshi za kudarizi zainua pato la wanawake Kongo
Huko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutengeneza na kushona darizi za nakshi husaidia wanawake walio katika mazingira magumu kupata kipato na kusaidia familia zao. Washonaji wote ni waathirika wa kutetereka kwa hali ya usalama katika taifa hilo la Afrika ya kati.
Soko la kimataifa la samaki Feri na nishati mbadala
Soko la kimataifa la samaki Dar es salaam limekuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia nishati ya gesi, hatua inayotajwa na wataalamu wa mazingira kuwa inazingazia utunzani wa mazingira. Hata hivyo kuna changamoto chini ya mpango huo.
Unaweza kutembea katika daraja la kutisha huko kenya?
Msanii wa vioo wa Uholanzi anamiliki studio ya sanaa nchini Kenya, ambayo huvutia wageni wanaotamani kuona ubunifu wake wa kipekee kupitia vioo chakavu. Lakini daraja la linaloning'inia linalokufikisha hadi eneo la Nani Croze huko Kitengela karibu na Nairobi lina sifa ya kutisha.
Wakati wa mapumziko ya likizo bado unakwenda kusalimu ndugu?
Utamaduni wa kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki sasa unaonekana kupungua kutokana na utandawazi uliotamalaki kwenye dunia ya sasa,baadhi ya wazazi pia wanahofia baadhi ya tabia zisizofaa kutoka kwa baadhi ya wanafamilia. Je bado unakwenda likizo?
Unajua kutumia lugha ya ishara?
Je unajua kuwasilisha ujumbe kwa ishara bila kupotosha maana?
Waathiriwa wa mauaji Uganda kutambuliwa kwa DNA
Wazazi wa wanafunzi wa Uganda wawasilisha sampuli za DNA ili kutambua waathiriwa wa mauaji.
Je umewahi kuona ufugaji wa nzi chuma?
Mwanamke anayefuga nzi chuma kulisha mifugo pamoja na kuchakata mbolea.
Mchakato wa utungishaji mimba kwa wanawake- IVF
Watu wanaokabiliwa na tatizo la kupata ujauzito baadhi hutumia njia ya maabara ya kupandikiza mimba, katika video ya Kurunzi afya leo tunaangalia mchakato huu namna ulivyowanufaisha baadhi ya wanawake kadhalika changamoto zake kwa watumiaji.
Mpira wa kikapu kwa wasichana wageuka fursa
Licha ya kuwa na changamoto katika michezo na jamii kuwa na mtazamo mbaya juu yao, lakini si sababu ya wao kutokuziishi
Kwanini Waafrika wengi hawachangii damu?
Licha ya maendeleo ya kadri katika sekta ya afya, Afrika ina viwango vya chini vya uchangiaji damu duniani.
Changamoto za watu wanaoishi na ualbino
Je, changamoto kubwa ni ipi katika kundi hili na hata baadhi yao kushindwa kujitokeza katika hadhira ?
Tatizo la Kibiongo na Matibabu yake
Bado hakuna sababu za moja kwa moja za kisayansi ambazo zinaonesha chanzo cha tatizo hili, lakini mabadiliko ya vichocheo vya mwili, ukuaji hasa kwa wasichana ni miongoni mwa nadharia zinazotajwa kuchangiwa kwa mtu kupata tatizo la kibiongo.
Kundi la wasichana na sanaa ya uoni
Hii ni sanaa ya kufikirika kwa kutumia picha halisia na zile za kubuni na rangi. Kundi hili linatumia sanaa hiyo ngumu k
Unaweza kula wadudu?
Nchini Kongo wadudu hawa na mabuu yake huliwa na ni miongoni mwa mlo mashuhuri, ukienda sokoni na kwenye mgahawa huezi kukosa mlo huu pendwa. Kwa sasa wataalamu katika chuo kikuu Kisangani wanawafuga katika mfumo ambao ni rafiki na mazingira. Tazama video
Gari la kwanza la mbio za magari Nigeria
Limetengezwa na mhandisi mzawa ambae ana mapenzi makubwa na mchezo wa mbio za magari, gari hilo linatumia nishati ya umeme na linaweza kwenda hadi umbali wa km 140 kwa saa.
Mabaki ya vifungashio hadi mapambo ya ndani
Modesta Oguda hutumia visoda, mabaki ya chupa na hata vifuu vya nazi kutengeneza mapambo na bidhaa nyengine. Modesta anatamani kuwa na kiwanda kikubwa ili kutoa ajira zaidi kando na kutangaza utamaduni wa kiafrika duniani.Ungana na Hadija Halifa
Museveni aitetea sheria ya kupinga ushoga
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameutetea uamuzi wake wa kutia saini na kuufanya kuwa sheria, muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Museveni serikali yake iko tayari kunyimwa misaada na vikwazo kutoka kwa mataifa ya Magharibi.
Maisha ya watoto wenye ugonjwa wa Hydrocephalus
Watoto wenye tatizo la kuvimba kichwa wanaweza kutibika na kuishi katika maisha ya kawaida. Zaidi Tazama vidio iliyondaliwa na Ibrahim Swaibu akiwa Kampala.#kurunziafya
Msichana Jasiri: Sharon Ringo Balozi wa Utalii Afrika Mashariki
Msichama Jasiri: Sharon Ringo Balozi wa Utalii Afrika Mashariki
Mwanamke wa Kibra atengeneza matofali ya kipekee
Mwanamke mmoja wa Kibra, Nairobi Kenya ambaye amepata suluhisho ya kujenga nyumba za bei nafuu kwenye mitaa duni.
Wajinasua kutoka mtego wa madawa ya kulevya Zanzibar
Mara tu mtu akishangia kwenye madawa ya kulevya, uamuzi wa kutoka unakuwa si rahisi na unataka ujasiri mkubwa.
Mwanadada aliyepika kwa zaidi ya saa 100 bila kupumzika
Kurunzi Wanawake leo inamulika rekodi iliyowekwa na mwanadada na mpishi wa Nigeria Hilda Baci aliyepika vyakula kwa zaidi ya saa 100 na kuipita rekodi ya 2019. Hakuwa anashindana na mtu bali dhamira yake ilikuwa ni kuvunja rekodi ya dunia #kurunziwanawake.
Mchango wa viongozi wa dini katika kujenga na kukuza maadili
Viongozi wa dini wana jukumu kubwa la kuisaidia jamii katika kujenga na kuimarisha maadili mema kama vile upendo, huruma, heshima na maelewano, kwa kutoa mafundisho sahihi na endelevu ya dini ili kuiwezesha jamii kutambua na kufuata yote yaliyo mema.
Tiba kwa akina mama waliopoteza watoto wao
Kwa akina mama, kupoteza mtoto baada ya kuzaliwa ni uzoefu wa kutisha. Sasa, shirika lisilo la kiserikali la Kenya linasaidia akina mama kukabiliana na uchungu wa kihisia wa vifo vya watoto wachanga. Vifo vya watoto wachanga katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwa sasa vinafikia vifo 21 kwa kila watoto 1,000 wanaozaliwa, kulingana na utafiti wa hivi karibuni. #KurunziWanawake
Afya Yako: Maambukizo ya Ukimwi kwa vijana wadogo Kenya
Idadi ya maambukizo ya Ukimwi kwa vijana walio na umri mdogo nchini Kenya yako juu.
MSICHANA JASIRI: Msichana aliyeachana na fani ya Sayansi na kugeukia ufundi wa viatu
Taaluma aliyoichagua na kuisomea chuoni ni ukemia, lakini changamoto ya ajira imempa sababu ya kugeukia ubunifu wa viatu na kuachana na sayansi. Je kwa kiwango gani anafurahia tasnia hiyo na kuwa kioo kwa wasichana wengine? Makala ya Msichana Jasiri inamuangazia Amina Mohammed.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 6
Ukurasa unaofuatia