You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Messi ashinda tuzo ya Ballon d´Or
Messi kwa sasa anaichezea timu ya Inter Miami nchini Marekani.
Bundesliga yashuhudia mvua ya mabao
Mabao 42 yalipachikwa wavuni katika mechi za mzunguko wa 9.
Je, Bayern Munich kuwaondoa Leverkusen kileleni Jumamosi?
Jumapili, Eintratcht Frankfurt watamenyana na Borussia Dortmund huku Bayer Leverkusen wakiwakaribisha SC Freiburg.
Kipa Manuel Neuer asubiri kwa hamu kurudi dimbani
Mlinda mlango wa Bayern Munich Manuel Neuer anasubiri kwa hamu kurejea dimbani.
Fofana awekwa nje kwa kumkosea kocha
Union Berlin imemuweka nje ya kikosi mshambuliaji David Fofana.
Guirassy nje, Vinicius abaguliwa na je, Simba watatamba Misri?
Serhou Guirassy azidi kuweka rekodi katika Bundesliga kwa kufunga goli la 14 katika mechi 8 ila klabu yake ya Stuttgart yapata pigo kwa kuwa mshambuliaji huyo atarajiwa kuwa nje kwa wiki kadhaa sasa, kulikoni? Wingu la matukio ya ubaguzi wa rangi laigubika Ligi kuu ya Uhispania La Liga huku Vinicius Junior akiwa mhanga kwa mara nyengine tena. Msikilize Jacob Safari.
Postecoglou: Kandanda lastahili kuleta watu pamoja
Nchini England usiku wa Jumatatu kutachezwa mechi moja ya ligi ambapo Tottenham Hotspur ambao wameuanza msimu vyema chin
Kane: Bayern itazidi kuimarika msimu unavyosonga
Harry Kane alifunga goli lake la 9 katika Bundesliga msimu huu katika ushindi wa 3-1 wa Bayern Munich dhidi ya Mainz sik
Pigo kwa Stuttgart, Guirassy nje kwa wiki kadhaa
Serhou Guirassy anazidi kuweka rekodi katika Bundesliga kwa kufunga goli la 14 katika mechi 8 ila klabu yake ya Stuttga
Michuano ya African Football League yaanza Tanzania
Hii ni mara ya kwanza ligi hiyo kuanzishwa barani humo ikijumuisha timu nane.
Leverkusen haitikisiki kileleni mwa Bundesliga
Bayer Leverkusen inaendelea kutulia kileleni mwa jedwali kwa jumla ya pointi 19.
Kamati ya kimataifa ya Olimpiki yaisimamisha Urusu
Urusi kupitia Kamati ya Olimpiki ya Kitaifa imejibu ikisema uamuzi huo hauna tija na umechochewa kisiasa.
Tuchel: Tuko pazuri kuelekea mechi za kimataifa
Mabingwa Bayern Munich wao waliridhika na ushindi wa 3-0 walipokuwa wakichuana na Freiburg ingawa mshambuliaji wao mahir
Guirassy avunja rekodi za Bundesliga
Mshambuliaji wa VfB Stuttgart Serhou Guirassy ameweka rekodi kwa kufunga magoli 13 msimu huu na kuandikisha mwanzo mwema
Guirassy aendelea kuitetemesha Bundesliga
Mkenya Kelvin Kiptum aivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathon iliyowekwa na Mkenya mwenzake Eliud Kipchoge ila kocha wake ahofia nyota huyo huenda akawa na taaluma fupi, Serhou Guirassy mshambuliaji wa VfB Stuttgart apepea katika Bundesliga na je, nani atakayemsimamisha mchezaji wa zamani wa Borussia Dortmund Jude Bellingham huko Real Madrid? Msikilize Jacob Safari na kipindi cha michezo.
Thomas Müller kuongezewa mkataba Bayern Munich
Thomas Müller kuongezewa mkataba Bayern Munich
Dana Dana za Bundesliga na Josephat Charo
RB Leipzig watakipiga na Bochum na Stuttgart ambao wako katika nafasi ya tatu kwenye jedwali watawaalika Wolfsburg.
Kurejea kwa Boateng Bayern: Hatua ya kukata tamaa?
Uwezekano wa kurejea Bayern Munich kwa mshindi wa Kombe la Dunia la Ujerumani Jerome Boateng kumezua gumzo.
Nchi 6 kuwa wenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia 2030
Nchi hizo ni Uhispania, Ureno, Morocco, Uruguay, Argentina na Paraguay.
Leverkusen kileleni mwa Bundesliga
Bayer Leverkusen imetulia kileleni mwa jedwali la ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga.
Dortmund kileleni mwa Ligi baada ya kuifunga Hoffenheim 3-1
Mshambuliaji mpya wa Dortmund Nicklas Fullkrug alifunga bao lake la kwanza la klabu hiyo kunako dakika ya 18 ya mchezo.
Mechi za mzunguko wa sita wa Bundesliga
Mechi za mzunguko wa sita za ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, zinaendelea mwishomi mwa juma hili, huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakiwa na miadi na RB Leipzig katika mechi ya mwisho ya siku. Sikiliza uchambuzi wa Josephat Charo kutoka dawati la michezo.
Harry Kane, moto wa kuotea mbali Bundesliga
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya England alijiunga na Bayern Munich kwa uhamisho wa pauni milioni 100 akitokea Spurs.
Al Hilal Benghazi yatoka sare 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda
Bao la dakika za mwisho la Ezzeddin El Maremi liliinyima ushindi Rayon Sports katika mechi iliyochezwa ugani Pele.
Mwakinyo kuzipiga na Rayton Okwiri katika pambano la IBA
Mwakinyo anajivunia taji la kimataifa la UBO aliloshinda mwaka 2018, WBF Intercontinental super welterweight na la ABU.
Kipchoge atamba kwenye mbio za Berlin Marathon
Kipchoge mwenye umri wa miaka 38 ameshinda kwa mara ya tano mbio za Berlin katika makala sita aliyoshiriki.
Yapi yatarajiwe kwa kocha mpya wa Ujerumani?
Julian Nagelsmann athibitishwa kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36 ataiongoza timu hiyo kwenye michuano ya Euro 2024. Sikiliza uchambuzi wa Sekione Kitojo.
Nagelsmann kocha mpya wa Ujerumani kuelekea Euro 24
Nagelsmann amechukua nafasi ya Hansi Flick, aliyetimuliwa baada ya matokeo mabaya mfululizo katika mechi za kirafiki.
Mechi za hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya kuanza leo
Manchester City imepangwa kwenye kundi G pamoja na RB Leipzig, Red Star Belgrade na Young Boys.
Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu bila ya Messi na Ronaldo
Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia huku Messi akitimkia Ligi ya Marekani MLS.
City kuanza kampeni ya kutetea taji la Ligi ya Mabingwa
Manchester City wamepewa nafasi kubwa ya kutetea ubingwa msimu huu, mbele ya Real Madrid, Bayern Munich na Barcelona.
Klabu ya APR yatoka sare 0-0 na Pyramids Ligi ya Mabingwa
Ni mara ya kwanza kwa Pyramid kucheza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Yanga mguu mmoja hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Mabao ya Yanga yametiwa kambani na washambuliaji Kennedy Musonda na Clement Mzize dhidi ya Al Merrikh ya Sudan.
Shirikisho la DFB lawasiliana na wakala wa Nagelsmann
Nchini Uhispania wachezaji wanawake wamesitisha mgomo baada ya makubaliano ya kuongezewa kima cha chini cha mshahara.
Dawa za kusisimua misuli: Paul Pogba asimamishwa kwa muda
Pogba alikutwa na viwango vya juu vya homoni ya "testosterone".
Jürgen Klopp apigiwa upatu kuinoa timu ya taifa ya Ujerumani
Jürgen Klopp ameiongoza Liverpool kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Premia na Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mwaka 2019.
Baada ya Flick, ni Nagelsmann ama Klopp?
Uamuzi huu unajiri ikiwa imesalia miezi 9 kabla ya kuanza michuano ya kuwania kombe la Ulaya hapa nchini Ujerumani.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 11.09.2023
Tetemeko la ardhi Morocco: Mamia waachwa bila makazi
Rais wa Shirikisho la Soka la Uhispania Rubiales ajiuzulu
Mwezi Agosti, Shirikisho la soka duniani FIFA lilimsimamisha Rubiales.
Ujerumani yamfuta kazi Kocha Hansi Flick
Kulingana na Gazeti la Bild Julian Nagelsmann ndiye anatazamiwa zaidi kuchukua nafasi hiyo.
Madai ya kumshambulia mpenzi yamponza winga wa United
Madai ya kumshambulia mpenzi yamponza winga wa United
Mfahamu msichana bingwa wa mchezo wa judo Msumbiji
Katika umri wa miaka 16, mwanariadha Shénidy Tsemane tayari ni bingwa mara mbili wa mchezo wa judo wa Kiafrika katika kitengo cha kilo 57. Matarajio yake makubwa sasa ni kwenda kwenye Michezo ya Olimpiki ya mwakani nchini Ufaransa na kushinda medali ya dhahabu.
Tanzania yafuzu kushiriki fainali za michuano ya AFCON, 2024
DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya michezo Master Tindwa.
Union Berlin wapokea kipigo cha 3-0 nyumbani
Union Berlin imepoteza mechi yake ya kwanza nyumbani, kwa kipigo cha 3-0 dhidi ya RB Leipzig.
Siku ya mwisho ya uhamisho
Ijumaa mosi ni siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho wa wachezaji barani Ulaya, timu katika Ligi Kuu ya Ujerumani Bundes
Rais wa UEFA aitaja tabia ya Rubiales kama "isiyofaa"
FIFA ilimzuia Rubiales kujihusisha na masuala yote yanayohusu soka kwa muda wa miezi mitatu.
Kurejea kwa mchezo wa ndondi Zanzibar
Baada ya Nusu karne kufungiwa kwa mchezo wa masumbwi zanzibar, mchezo huo sasa umeruhusiwa kuchezwa tena visiwani humo huku baadhi ya mabondia vijana wakitakiwa kutumia fursa hiyo kwa manufaa na kuibua vipaji na ajira zaidi.
Haaland ashinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka PFA
Haaland alihimili ushindani kutoka kwa John Stones, Kevin De Bruyne, Bukayo Saka, Martin Odegaard na Harry Kane.
Shirikisho la kandanda Uhispania lamtaka Rubiales ajiuzulu
Wawakilishi wa shirikisho la soka nchini Uhispania wamemtaka mkuu wa bodi hiyo, Luis Rubiales ajiuzulu mara moja .
Dortmund na VfL Bochum mubashara DW Kiswahili Jumamosi hii
Bayern Munich kuwakaribisha Augsburg nyumbani Allianz Arena huku Freiburg ikichuana na Werder Bremen.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 10
Ukurasa unaofuatia