You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Refarii aliyekiri kufanya makosa Bundesliga apokea vitisho
Karim Adeyemi aliangushwa ndani ya kisanduku japo refarii akapuuza na pia kukataa kutazama tukio hilo kupitia VAR.
Manchester City yachupa kileleni mwa Ligi Kuu ya Premia
Ushindi wa City unaamanisha kuwa ubingwa uko mikononi mwao kwani sasa inahitaji kushinda mechi tano pekee kati ya sita.
Wachezaji wa Urusi waruhusiwa katika mashindano ya Tenisi
Baadhi ya michezo imeanza kuwaruhusu wanariadha wa Urusi na Belarus kushiriki michuano ya kimataifa.
Kenya, Tanzania na Uganda zaomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF limethibitisha kupokea maombi ya nchi hizo tatu pamoja.
Guardiola: Arsenal ya msimu huu ni kitisho
Manchester City inateremka uwanjani Ettihad kuchuana na Arsenal, mechi ambayo huenda ikaamua mustakabali wa ubingwa.
Union Berlin kushiriki Ligi ya Mabingwa?
Sheraldo Becker aliifungia Union Berlin pale klabu hiyo ilipopata ushindi wa 1-0 dhidi ya Borussia Mönchengladbach Jumap
City yaitandika Bayern na kusonga mbele ligi ya mabingwa
City wametinga hatua ya nusu fainali na sasa watakwaana na Real Madrid katika mechi ya kukatana shoka
Mahasimu wa Milan kukutana nusu fainali ya Champions League
Inter watavaana na AC Milan katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.
Michezo: Bundesliga hali ya ubingwa bado ngumu
Borussia Dortmund waitupa nafasi ya kuwawekea shinikizo zaidi Bayern Munich katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Bundesliga, huko England Arsenal watetereka kwa wiki ya pili mfululizo huku Manchester City wakiwanyatia na wekundu wa msimbazi Simba wawaacha mahasimu wao Yanga hoi katika ligi kuu ya Tanzania. Msikilize Jacob Safari.
Mbio za ubingwa wa Ujerumani zashika kasi
Pointi mbili tu ndizo zinazowatenganisha Bayern Munich na Borussia Dortmund katika jedwali la Ligi Kuu ya Ujerumani Bund
Kijana mwenye niqab ashiriki mashindano ya chess ya wanawake
Maafisa wanaosimamia mashindano hayo walianza kumtilia mashaka na kuchukua hatua ambapo waligundua kuwa alikuwa mwanaume
Mabingwa watetezi Real Madrid waishinda Chelsea 2-0
Katika mchezo mwingine AC Milan wameshinda mechi yao ya kwanza 1-0 dhidi ya Napoli ya Italia.
Ancelotti ana imani Benzema na Modric watasalia Real Madrid
Benzema alijiunga na Real Madrid kutoka Lyon mwaka wa 2009
Werner aipeleka Leipzig nusu fainali DFB Pokal
Mabingwa watetezi wa kombe la DFB Pokal, RB Leipzig, wameyaweka hai matumaini yao ya kunyakua tena Kombe hilo.
Bayern Munich yaibuka kidedea katika mechi ya der Klassiker
Der Klassiker ilikuwa mechi ya kwanza kwa Thomas Tuchel kuinoa Bayern Munich dhidi ya klabu yake ya zamani.
Kocha wa timu ya taifa Malawi afutwa kazi
Timu ya taifa ya Malawi imemfuta kazi kocha wake raia wa Romania Mario Marinica baada ya kufungwa mabao 4-0 na Misri.
Vinara wa Seria A wapokea kichapo cha 4-0 mbele ya AC Milan
Ushindi wa AC Milan umeipandisha hadi nafasi ya tatu kwenye jedwali ikiwa na alama 51.
Kiungo wa zamani wa Ujerumani Özil atangaza kustaafu soka
Aliichezea timu ya taifa ya Ujerumani mechi 92 na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Kombe la Dunia mwaka 2014.
Dortmund kileleni mwa Jedwali
Borussia Dortmund iliiduwaza FC Cologne kwa kuitandika mabao 6-1 katika uga wa nyumbani Signal Iduna Park.
Kocha Streich arefusha mkataba na klabu hiyo ya Freiburg
Streich mwenye umri wa miaka 57 sasa ndiye kocha aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Bundesliga
Borussia Dortmund yabanwa Schalke 04
Schalke waliamua heri punda afe lakini mzigo ufike na kulazimisha sare katika uga wa nyumbani Veltis Arena.
Bundesliga; Dortmund yadondosha pointi mbili
Borussia Dortmund imedondosha pointi mbili nyuma ya vinara wa ligi kuu ya Ujerumani Bayern Munich
Flick: Hatufikiri sana kuhusu ubingwa wa mashindano ya EURO
Flick ameeleza kuwa mjadala juu ya "One Love" ulikuwa na athari hasi kwenye maandalizi ya kikosi hicho nchini Qatar.
Dortmund yabanwa na Schalke, wafifishwa matumaini ya ubingwa
Kocha wa Borussia Dortmund, Edin Terzic, amesema kuwa waliiruhusu Schalke kurudi mchezoni katika kipindi cha pili.
Ligi ya Europa: Leverkusen na Man U watoka na alama tatu
Dura ya kwanza ya mechi za raundi ya 16 bora imechezwa ambapo jumla ya mechi 8 ziliunguruma
Bundesliga; Bayern yaendelea kutawala jedwali
Kinyanganyiro bado ni kigumu katika Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.
Bundesliga; Bayern kileleni pointi sawa na Dortmund
Kinyanganyiro bado ni kigumu katika Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga.
Matangazo ya Asubuhi 04.03.2023
Shirika la Human Rights Watch limewataka maraisa wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Ufaransa kujadili juu ya suala la haki za binadamu//Viongozi wa mataifa yanayoandamwa na umaskini kuomba usaidizi katika mkutano unaopigania tahadhari ya ulimwengu dhidi ya majanga yanayowakabili//Tangu Taliban inyakue madaraka Afghanistan nchi hiyo imekumbwa na ukiukaji wa haki za wanawake na umasikini
Taarifa ya Habari Asubuhi 04.03.2023
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz na Rais wa Marekani Joe Biden, wameapa kuendeleza ushirikiano wao wa pamoja kuisaidia Ukraine//Burundi leo inatarajia kupeleka wanajeshi 100 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo//Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Matumizi ya Nishati ya Nyuklia, IAEA, Rafael Grossi amekutana na mkuu wa mpango wa nyuklia wa Iran, Mohammad Eslami
Leipzig yamsajili Seiwald kutoka Salzburg
Timu inayoishikilia nafasi ya nne katika msimamo RB Leipzig imefanya usajili wa mapema. Leipzig imemsaini Nicolas Seiwal
Mane atarajiwa kurudi dimbani baada ya jeraha
Sadio Mane anatarajiwa kurudi dimbani katika mechi dhidi ya Union Berlin siku ya Jumapili.
Mbio za Bundesliga ni za farasi watatu
Borussia Dortmund na Union Berlin zilikigeuza kipigo cha Bayern Munich mwishoni mwa wiki hii kuwa faida kwao kwa kutoshana pointi na miamba hao wa Bavaria kileleni mwa msimamo wa Bundesliga. Hicho ndicho kinyang’anyiro kikali zaidi cha ubingwa kuwahi kushuhudiwa Ujerumani kwa miaka mingi. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi Sekione Kitojo
Liverpool, Madrid kuumana Ligi ya Mabingwa
Mchuano huo ni marudio ya fainali ya 2022 mjini Paris ambapo Real Madrid ilibeba taji la 14 la Ligi ya Mabingwa Ulaya
20.02.2023 DW Michezo
Kinyang’anyiro cha ubingwa wa Bundesliga sasa chageuka kuwa mbio za farasi watatu // Mwili wa mchezaji soka wa Ghana Christian Atsu aliyekufa katika tetemeko la ardhi nchini Uturuki wawasili Accra //Na ni kilio kwa Simba na furaha kwa Yanga katika mechi za Kiafrika zilizochezwa mwishoni mwa wiki
Champions League: Dortmund yaishinda Chelsea 1-0
Champions League: Dortmund yaishinda Chelsea 1-0
Union Berlin waibana Bayern kileleni mwa Bundesliga
Wu Yibing ashinda mashindano ya tenis ya Dallas Open na kuwa mwanamume wa kwanza wa China kushinda taji la ATP.
Timu ya kandanda ya Kenya kucheza na Burundi
Mechi hizo ni mwanzo mzuri kwa timu ya Kenya.
Bundesliga: Bayern Munich kuwakaribisha nyumbani Bochum
Mechi za mzunguko wa 20 wa ligi kuu ya kandanda ya Ujrumani Bundesliga zinaendelea mwishoni mwa juma
Tadesco amwaga wino Ubelgiji
Shirikisho la Soka la Ubelgiji limemteua Domenico Tedesco kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa.
Union wapunguza mwanya na Bayern
Bayern walazimishwa sare kwa mara ya tatu mfululizo. Liverpool yatolewa nje ya mashindano ya kombe la FA. Yanga watinga hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho Tanzania. Na nyota wa tenis raia wa Serbia Novak Djokovic ashinda taji la kumi la mashindano ya tenis ya Australian Open.
Mechi za mzunguko wa 18 za Bundesliga
Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga inaendelea leo kwa mechi za mzunguko wa 18. Wakati huo huo wikiendi hii ni fainali ya mashindano makubwa ya tenis ya Australian Open huko Melbourne Park. Ungana na Sylvia Mwehozi na Josephat Charo wakichambua mechi za wikiendi hii.
Freiburg kukwaana na Frankfurt Jumatano
Mechi za mzunguko wa 17 za ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundsliga zinaendelea Jumatano (25.01.2023) katika kile kinachojulikana kama "Englische Woche" ambapo mechi huchezwa pia katikati ya wiki. Wakati huo huo Viktoria Azarenka ameingia nusu fainali ya mashindano Australian Open. Msikilize Josephat Charo akihojiwa na Zainab Aziz.
Bayern wapepea kileleni mwa Bundesliga
Nyota nambari moja wa zamani wa tenis Viktoria Azarenka aingia robo fainali ya Australian Open huko Melbourne Park.
Bundesliga kutimua vumbi mwisho wa juma
Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga inaendelea kutifua vumbi Jumamosi huku rais wa shirikisho la soka humu nchini DFB, Bernd Neuendorf, akielezea matumaini yake makubwa kwamba duru ya pili ya msimu huu wa sitini, itakuwa ya kusisimua. Kuzungumzia yanayoendelea katika Bundesliga ungana na Josephat Charo anayeanza na ratiba ya mechi.
Dani Alves atuhumiwa kwa kumnyanyasa kingono mwanamke
Mwanamke huyo aliwasilisha madai hayo kituoni mnamo Januari 2, akisema Alves alimpapasa bila ya idhini yake.
Bayern Munich hatimaye wamnasa kipa Yann Sommer
Hatimaye Bayern wamefanikiwa kumnasa mlinda mlango Yann Sommer kujaza pengo la Manuel Neuer wakati watakapokaribishwa na RB Leipzig. Josephat Charo kwanza anaanza kwa kutueleza mpambano wa leo wa Bayern na Leipzig na vilevile mashindano ya tenisi ya Australian Open.
Gladbach yakataa ofa ya Bayern kuhusu Yann
Borrusia Mönchengladbach imeikataa ofa ya Bayern Munich ili wamruhusu mlindalango wao raia wa uswisi Yann Sommer kuhamia Allianz Arena. Mjerumani Alexander Zverev ashinda kwa tabu na kusonga mbele duru ya pili ya mashindano ya tenisi ya Australian Open. Sikiliza mahojiano kati ya Sylvia Mwehozi na Josephat Charo.
Bayern wamnyatia mlindalango Yann Sommer
Bayern Munich wawameanza mazungumzo na Borussia Mönchengladbach kwa lengo la kumsajili mlindalango wa klabu hiyo Yann Sommer. Kocha wa Bayern anampendelea Sommer ajaze pengo la mlindalango nambari moja wa Bayern Manuel Neuer ambaye atakosekana hadi mwisho wa msimu baada ya kuvunjika guu.
Bayern Munich kukwaana na Leipzig Ijumaa
Yousufa Mukoko ashinikizwa na klabu yake Borussia Dortmund asaini mkataba au aondoke. Arsenal watanua mwanya wa alama nane kileleni mwa ligi ya Premier. Na Wamarekani Jessica Pegula na Coco Gauf wasonga mbele katika Australian Open.
DFB yazungumzia wafanyakazi wahamiaji Qatar kulipwa fidia
Rais wa Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA Gianni Infantino aliwahakikishia kuwa malipo ya aina hiyo yanapaswa kutolewa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 10
Ukurasa unaofuatia