You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Merkel na Hollande waadhimisha miaka 50 tangu hotuba ya de Gaulle
Tarehe 22 mwezi wa Septemba kiongozi mkongwe wa Ufaransa Charles de Gaulle alifunguwa ukurasa mpya katika uhusiano wa Ufaransa na Ujerumani kwa hotuba yenye hamasa.
Umoja wa Ulaya wakutana na China
Mkutano baina ya Waziri mkuu wa China Wen Jiabao na viongozi wa juu wa Umoja wa Ulaya umefunguliwa hii leo (20.09.2012) mjini Brussels huku ajenda kubwa ikiwa ni mahusiano ya kibiashara baina ya pande hizo mbili.
Mahakama ya Ujerumani yaifungulia njia Euro
Mahakama Kuu ya Katiba imefungua njia ya kuidhinishwa mpango wa kudhamini utulivu wa sarafu ya Euro na kuondowa hofu zilizokuwepo kuhusu namna ya kushughulikiwa mgogoro wa madeni miongoni mwa nchi za kanda ya Euro.
Merkel atetea uamuzi wa benki ya Ulaya, ECB
Kansela Angela Merkel ameitetea benki kuu ya Ulaya Ijumaa (07.09.2012) baada ya mpango wake wa kununua madeni ya mataifa ya eneo la euro kuzusha malalamiko nchini Ujerumani .Nakitisho cha kuzuwia mpango huo.
Waziri Mkuu wa Ugiriki Samaras kukutana na Kansela Merkel Berlin
Kabla ya mkutano wake na waziri mkuu wa Ugiriki Antonis Samaras ,kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo (24.08.2012), maafisa wa serikali mjini Berlin wanajaribu kupooza hamasa za matarajio ya mkutano huo.
Uchumi wa Ujerumani waja juu, wa Ufaransa waporomoka
Licha ya matatizo makubwa ya kiuchumi katika kanda ya euro, uchumi wa Ujerumani unaripotiwa kukua katika robo ya pili ya mwaka huu, lakini ule wa Ufaransa unaendelea kudumaa na matarajio ya kanda nzima si mazuri.
Juncker ataka Euro iokolewe haraka
Mkuu wa nchi zinazounda kanda ya sarafu ya Euro, Jean-Claude Juncker, ameonya juu ya uwezekano wa kuvunjika kwa kanda ya sarafu ya Euro, na amesama kwamba ni lazima hatua za haraka zichukuliwe ili kuiokoa sarafu hiyo.
Maoni ya wahariri juu ya tathmini ya Moody's
Wahariri wa magazeti leo wanatoa maoni juu ya Shirika la kupima uwezo wa nchi wa kifedha na kiuchumi Moody's. Shirika hilo limeyateremsha matarajio ya kiuchumi ya Ujerumani.
Maoni ya wahariri juu ya Ugiriki
Wahariri wa magazeti karibu wote leo wanazungumzia juu ya Ugiriki. Lakini pia wanatoa maoni juu ya mgogoro wa Syria baada ya mawaziri wa Umoja wa Ulaya kukutana.
Wahispania waandamana, mawaziri wa euro wakutana
Watu kadhaa wamekamatwa na wengine kujeruhiwa mjini Madrid, ambako waandamanaji wanapinga hatua za kubana matumizi, huku mawaziri wa fedha wa kanda ya euro wakitarajiwa kupitisha mpango wa uokozi kwa nchi hiyo.
Mahakama Kuu ya Ujerumani yaamua wakimbizi wapewe fedha zaidi
Mahakama ya juu nchini Ujerumani imeamua kwamba fedha wanazopewa watu wanaoomba hifadhi ziongezwe kwani kiwango wanachopokea sasa ni kidogo mno kuwakimu kimaisha.
Wizi wa nyaya za umeme, simu waongezeka Ujerumani
Leo magazeti ya Ujerumani yanazungumzia kuogezeka kwa uhalifu wa wizi wa nyaya za umeme, mgogoro wa ndani wa kisiasa linapohusika suala la muelekeo wa serikali kwenye sarafu ya euro na sera ya nishati ya Ujerumani.
Umoja wa Ulaya waipatia Uhispania Euro bilioni 30
Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya euro wamekubaliana kuipatia Uhispania mkopo wa euro bilioni 30, kusaidia mabenki ya nchi hiyo ambayo kwa sasa yanakumbwa na mgogoro mkubwa wa kifedha.
Uhusiano kati ya Ujerumani na Ufaransa ni imara
Miaka 50 ya uhusiano kati ya Ujerumani na Ufaransa,uchaguzi nchini Libya na jinsi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa fedha barani Ulaya ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani hii leo
Uhispania kutawala soka kwa miaka ijayo
Uhispania iliingia katika kinyang'anyiro cha UEFA EURO 2012 kama timu bora ulimwenguni. Wiki tatu baadaye imeshinda kombe hilo na kudhihirisha hilo.
UEFA EURO 2012: Uhispania Bingwa
Uhispania imeandika historia miongoni mwa vigogo vya soka barani Ulaya kwa kuikandika Italia mabao 4-0 na kufanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa mataifa ya Ulaya, UEFA EURO 2012, Jumapili (01.07.2012).
Uhispania yalenga kuandikisha historia
Uhispania inadhamiria kuandikisha historia katika dimba la UEFA EURO 2012 katika fainali ya kesho Jumapili, lakini itapambana na kikosi cha Italia ambacho hakina lolote la kujuta.
Viongozi wa Ulaya wakubaliana mpango wa madeni
Viongozi wa mataifa 17 wanachama wa sarafu ya euro wamefikia makubaliano ya kuelekeza hatua za haraka na za dharura kwenye mataifa ya Uhispania na Italia ambayo yako kwenye hali ngumu kwa sasa kutokana na madeni.
Kwa heri Ujerumani Uefa Euro 2012
Hayawi hayawi hatimaye yalikuwa, moto uliwaka usiku wa jana mjini Warsaw kufuatia mchuano mkali baina ya Ujerumani na Italia. Italia ili ndiyo ilikuwa mbabe zaidi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1.
Merkel kama Thatcher
Magazeti ya Ujerumani leo (28.06.2012) yanazungumzia taswira ya Kansela Angela Merkel duniani kutokana na ushiriki wake kwenye mgogoro wa sarafu ya euro na pia siasa za ndani za Ujerumani.
UEFA EURO 2012: Uhispania fainali
Uhispania imefanikiwa kutinga kwa mara ya tatu katika fainali ya mashindano makubwa duniani katika kipindi cha miaka sita,baada ya kuwashinda majirani zao Ureno kwa mikwaju ya kwa penalti 4-2 katika nusu fainali.
Madeni ya Ulaya: Merkel agoma kulegeza msimamo
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amekataa shinikizo la kujumuisha deni la Ulaya kupitia hati za dhamana na kusema kuwa hatua hiyo ni hatari kabla serikali hazijaonyesha kuwa zinaweza kuheshimu sheria za bajeti.
UEFA EURO 2012: Uhispania ndani ya nusu fainali
Mabingwa watetezi Uhispania watakutana na mahasimu wao Ureno Jumatano (27.06.2012) katika nusu fainali ya dimba la UEFA EURO 2012 baada ya ushindi wao wa magoli mawili kwa sifuri dhidi ya Ufaransa.
Uefa Euro 2012; Ugiriki haina lake kwa Ujerumani
Ujerumani imefanikiwa kuingia katika nusu fainali ya mashindano ya kombe la mataifa ya ulaya Uefa , Euro 2012 kwa kuifungisha virago Ugiriki na kuweka miadi na ama Uingereza ama Italia.
Ureno yatinga nusu fainali
Kocha wa jamhuri ya Czech Michal Bilek aliwasifu wachezaji wake na kusema wameyaaga mashindano haya ya Euro 2012 kifua mbele lakini ameongeza kuwa Ureno ilikuwa timu bora zaidi katika mchezo wa Alhamis (21.06.2012)
Uefa Euro 2012 : sasa ni robo fainali
Wachezaji, maafisa na mashabiki wamepata mapumziko mafupi katika fainali za ubingwa wa Ulaya,Jumatano ,(20.06.2012), lakini manung'uniko ya Ukraine ambayo ni mwenyeji mwenza wa mashindano haya yanaendelea.
Uhispania, Italia zatinga robo fainali UEFA Euro 2012
Kivumbi kilichotimka jana nchini Poland kwenye mechi za kundi C matokeo yake ni kwamba Uhispania na Italia zimefanikiwa kuingia robo fainali ya Uefa Euro 2012.
Ujerumani na Ureno zaingia robo fainali UEFA EURO 2012
Ujerumani iliendeleza mbinu yao ya ushindi katika dimba hilo na kujikatia tiketi ya kuingia robo fainali baada ya ushindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya Denmark nayo Ureno ikawabandua nje Uholanzi
Syriza yashindwa lakini Ugiriki bado i mashakani
Vyama vinavyopendelea Ugiriki kusalia kwenye Kanda ya Euro vimefanikiwa kupata wingi wa kutosha bungeni kuunda serikali na kukitenga chama cha mrengo mkali (SYRIZA) ambacho kilishaapa kuitoa nchi hiyo kwenye Euro.
Ugiriki yapiga kura, euro mashakani
Wakati Wagiriki wakipiga kura leo (17.06.2012) katika uchaguzi unaoweza kuamua hatima ya taifa hilo katika sarafu ya euro, kushindwa kwa vyama vya kisiasa kutafuta msimamo wa pamoja kunaonyesha hali ya mtafaruku.
Ujerumani yahitaji tu sare dhidi ya Denmark
Mabingwa mara tatu Ujerumani wanaingia katika mechi ya mwisho ya kundi B Jumapili (17.06.2012) dhidi ya Denmark wakifahamu fika kuwa sare itatosha kuwapa tiketi ya kufuzu katika robo fainali
Uefa, Euro 2012; Uingereza na Ufaransa zapeta
Vigogo vya soka katika bara la Ulaya vilitoka jasho na kutumia ujuzi wao wote kuweza kufuzu katika michezo ya kundi D.Ufaransa iliizibua Ukraine kwa mabao 2-0,wakati Uingereza ikairarua Sweden kwa mabao 3-2.
150612 G20 Vorbericht
Mnamo siku ambayo wapiga kura wa Ugiriki wanateremka vituoni kulichagua bunge jipya,viongozi wa taifa na serikali wa mataifa 20 makubwa kiviwanda na yale yanayoinukia,wanakutana katika mji wa pwani wa Los Cabos .
Ujerumani yailaza Uholanzi 2-1
Katika fainali za kugombea kombe la mataifa ya Ulaya, Uefa Euro 2012, Ujerumani imeshajiweka katika njia iliyonyooka ya kueleka katika robo fainali.
UEFA-2012-Makadirio ya mechi za kundi B
Homa ya dimba ikoje kabla ya michuano ya kundi B, kwanza kati ya Danemark na Ureno, na baadae kati ya mafahali wawili wa jadi, Ujerumani na Uholanzi.
Urusi itaendelea kupeta ? Czech katika mbinyo
In der Gruppe A spielt Polen gegen Russland. Griechenland trifft auf Tschechien.
UEFA EURO 2012
Sheva aipa ushindi Ukraine huku Ufaransa ikitoka sare na England. Ushindi wa Ukraine unaiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele katika robo fainali.
Uholanzi na Ujerumani kuumana
Siku ya Jumatano (13.06.2012) ndiyo inasoyubiriwa na wengi katika dimba la mataifa ya bara la Ulaya - UEFA EURO 2012 linaloendelea kule Poland na Ukraine. Mchuano wa Uholanzi dhidi ya Ujerumani.
UEFA-EURO 2012
Kundi C.Kundi la mabingwa wa dunia,zikiwemo mabingwa watetezi Hispania,na mabingwa wa zamani Italy.Hata hivyo kuna Croatia ambayo haitaki mchezo.
Uhispania hatimaye yapata msaada
Hispania imepata msaada kutoka umoja wa Ulaya wenye thamani ya euro bilioni 100 kuzinusuru benki zake zinazokumbwa na matatizo , baada ya mazungumzo ya dharura na washirika wake wa eneo la sarafu ya euro.
Ujerumani yashinda, Uholanzi yakwama
Ujerumani ilianza kampeni yake ya kutafuta kombe la UEFA EURO 2012 kwa ushindi muhimu wa goli moja kwa sifuri dhidi ya Ureno. Nayo Denmark iliiduwaza Uholanzi kwa kuifunga hilo hilo goli moja kwa sifuri.
UEFA-EURO 2012
Ujerumani kuumana na Ureno katika mechi ya kwamza ya fainali za kombe la mataifa ya Ulaya .
Poland yatekwa, Urusi yapepea
Kinyang'anyiro cha UEFA EURO 2012 kiling'oa nanga huku kukishuhudiwa matukio chungu nzima katika mecho zote mbili zilizosakatwa. Katika mechi za kundi A, Poland ilitekwa nayo Urusi ikang'ara.
UEFA EURO 2012 yaanza
Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu hatimaye pazia la kinyang'anyiro cha kombe la mataifa ya bara la Ulaya yaani UEFA EURO 2012, linapandishwa leo (08.06.2012) huko Ukraine na Poland.
Poland yaota kufanya makubwa Uefa, Euro 2012
Ijumaa (08.06.2012) ni siku ya ufunguzi rasmi wa mashindano haya yanayosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki kote duniani, ya Uefa,Euro 2012, Poland na Ukraine zikiwa wenyeji wenza.
Favoriten auf Augenhöhe
Kama ni deni basi timu ya taifa ya Ujerumani inadaiwa mara mbili na timu ya taifa ya Uhispania.Vipigo mara mbili kwa bao1- kwa bila katika mashindano makubwa mawili duniani,vinasababisha haja ya kutaka kulipiza kisasi.
Mashabiki wa soka waingia Poland na Ukraine
Kinyang'anyiro cha soka la mataifa ya bara ulaya - UEFA EURO 2012, kinaanza 8.6.2012 na nchi ya pili itakayokuwa mwenyeji wa dimba hilo Poland, itawakaribisha takribani mashabiki wa kigeni wa soka milioni moja.
Timu zaanza matayarisho Uefa Euro 2012
Vikosi vya mataifa yanayoshiriki katika fainali za kombe la mataifa ya Ulaya vimo mbioni katika viwanja mbali mbali kujaribu vikosi vyao kwa ajili ya fainali za kombe la mataifa ya Ulaya.
Uefa Euro 2012: Timu zafanya maandalizi ya mwisho
Uingereza inafanya jaribio la mwisho hii leo kabla ya kuingia dimbani katika fainali za kombe la mataifa ya Ulaya, Euro 2012, wakati kocha wa Ujerumani Joachim Loew asema kikosi chake kinahitaji marekebisho makubwa.
Wahariri wataka hatua dhidi ya ukosefu wa ajira
Wahariri wa magazeti wanatoa maoni juu ya ripoti ya Shirika la Kazi Duniani, ILO kuhusu ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana kusini mwa Ulaya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 10
Ukurasa unaofuatia