You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Michezo
Pata habari na uchambuzi wa michezo.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Joshua Kimmich akifunga bao lake la kwanza kwa msimu huu
Joshua Kimmich anaiongoza Bayern Munich kurejea katika njia ya ushindi na hasa baada ya kuichapa RB Leipzig 5-1.
Bayern mabingwa wa mzunguko wa kwanza wa Bundesliga
Bayern walinyeshea RB Leipzig 5 – 1 wakati Bayer Leverkusen wakiwakaanga pia Freiburg 5 - 1
DW Michezo 23.12.2024
Bayern wamaliza mzunguko wa kwanza wa msimu wakiwa kileleni mwa ligi licha ya ushindani kutoka kwa mabingwa watetezi Leverkusen // Mbappe sasa asema ni wakati wa kuonesha umahiri wake baada ya kipindi kigumu katika klabu yake mpya ya Real Madrid // Nchini England, Liverpool yapepea wakati mahasimu wa Manchester wakiendelea kuona vimulimuli
21.12.2024: Matangazo ya Asubuhi
Ungana nasi hapa kusikiliza yaliyomo asubuhi hii kwenye uchambuzi na makala nzuri kabisa tulizokuandalia ikiwa ni pamoja na makala ya Afrika Wiki Hii, ujue yaliyoandikwa zaidi na kupewa kipaumbele kote barani Afrika kwa wiki hii nzima.
Bayern yaonja kichapo cha kwanza Bundeslliga
Mbio za ubingwa wa Bundesliga zapamba moto. Bayern yaonja kichapo cha kwanza msimu huu huku Leverkusen ikipunguza pengo hadi pointi nne. //Jahazi la Manchester City lazidi kuzama huku kocha Pep akikiri kuwa hana mwarubaini wa matatizo yanayowakabili Simba yanguruma katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini italazimika kugharamia uharibifu uliotokea kwa Mkapa
Leverkusen yarejea katika mbio za ubingwa
Bayern Munich watamaliza mzunguko wa kwanza wakiwa kileleni wakifuatiwa na mabingwa watetezi Bayer Leverkusen.
Jamie Gittens kipaji kipya cha Dortmund
Kipaji cha sasa cha Dortmund Mwingereza Jamie Gittens amekuwa na mvuto kwa msimu huu wa Bundesliga na Ligi ya Mabingwa.
Guinea yawaonya watakaochapisha taarifa za uongo
Watu 56 walikufa siku ya Jumapili kwenye mkanyagano.
Kompany atumai Kane atarejea kabla ya mwisho wa mwaka
Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane atasalia nje ya kikosi cha Bayern Munich kutokana na jeraha la msuli wa paja.
Bayern yatanua mwanya kileleni mwa jedwali
Bayern Munich yaendelea kutanua mwanya kileleni mwa jedwali la Bundesliga.
Kane wa Bayern atupia hat trick dhidi ya Augsburg
Ushindi huo umeutanua mwanya wa Bayern kileleni na pointi nane kabla ya kuchezwa mechi nyingine za duru ya 11.
Ghana huenda ikashindwa, fainali ya Kombe la Mataifa Afrika
Ghana wanashika nafasi ya tatu katika Kundi F wakiwa na pointi mbili katika mechi nne.
Dortmund yapata majeruhi kabla ya Ligi ya Mabingwa
Dortmund ilipambana na kumbwaga mpinzani wake wa taji la ligi RB Leipzig 2 – 1 licha ya msururu wa majeruhi kikosini.
Ethiopia na Kenya zashinda New York City Marathon 2024
Katika DW Michezo: Mholanzi Abdi Nageeye na Mkenya Sheila Chepkirui washinda mbio za New York City Marathon// Borussia Dortmund yatikiswa na msururu wa majeruhi kabla ya kushuka dimbani mechi ya Ligi ya Mabingwa//na timu za Afrika Mashariki zakabiliwa na kazi ngumu kutinga michuano ya CHAN 2025
Michezo ya bundesliga kuendelea hii leo
DW Kiswahili itakutangazia mubashara mchezo kati ya Bayern Munich na Union Berlin.
"Rumble in the Jungle": Miaka 50 ya Urathi wa Muhammad Ali
Tarehe 30 Oktoba 2024, tunaadhimisha miaka 50 tangu tukio la kihistoria "Rumble in the Jungle," ambapo Muhammad Ali alipambana na George Foreman huko Kinshasa. Tukio hili halikumpandisha tu hadhi Ali na kuwa nyota wa kimataifa lakini pia lilionyesha fahari ya watu wa Kongo. Jiunge nasi tunapochunguza urathi wa kudumu wa siku hiyo ya kihistoria kupitia ushuhuda wa kipekee na picha za kumbukumbu.
Kwanini Lesotho ndio nchi yenye baridi kali Afrika?
Lesotho ndio nchi inayotajwa kuwa na baridi kali Afrika. Kila mwaka theluji huanguka nchini humo, na wakati mwingine mapema kuliko ilivyo kawaida. Tizama vidio ifuatayo kwa ufahamu zaidi. #77asilimia
Vini kushinda Ballon d'Or? Man United kwa Ten Hag: imetosha
Vinicius Junior apigiwa upatu kuinyakua tuzo ya mchezaji bora duniani Ballon d'Or usiku wa leo, Bayern Munich wasahau kipigo cha Barcelona na kuilemaza Bochum katika Bundesliga na Manchester United yamfuta kazi kocha mkuu Erik Ten Hag. Msikilize Jacob Safari katika kipindi cha Michezo.
Bayern yaicharaza Bochum na kurejea kileleni Bundesliga
Ushindi wa Bayern dhidi ya Bochum umewaondoa RB Leipzig kileleni mwa Bundesliga lakini kwa tofauti ya mabao.
Ushirikiano wa Ujerumani na Tanzania kuimarisha michezo
Vijana wa Kitanzania kutoka Mwanza, Zanzibar, Tanga na Moshi ni miongoni mwa wanufaika wa mafunzo yatakayotolewa na wakufunzi wa mchezo wa wavu kutoka Ujerumani. Ushirikiano wa nchi hizo mbili unakusudia kuimarisha sekta ya michezo haswa kwa chipukizi wa Tanzania.
Dana Dana za Bundesliga na Bruce Amani
VfB Stuttgart si imara sana msimu huu kulinganisha na jinsi ilivyocheza msimu uliopita.
Mechi za ligi ya mabingwa Champions kuendelea wiki hii
Bayern Munich watakuwa ugenini kukipiga na Barcelona.
Bayern na Leipzig zakabana koo katika Bundesliga
Aryana Sabalenka na Iga Swiatek wachuana kuwania nafasi ya mchezaji bora wa tenis msimu huu.
Mechi za mzunguko kuwania kufuzu AFCON zaendelea
Mzunguuko wa nne unaanza Jumapili hii ya Oktoba 13, 2024.
Kenya: Juniour Starlets mbioni kusaka Kombe la Dunia
Juniour Starlets yatoa matumaini kwa soka la wanawake Kenya.
Mwanariadha Kipyegon Bett afariki dunia akiwa na miaka 26
Kashfa nyingi za matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini zimeharibu sifa ya Kenya kama kinara wa riadha duniani.
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika yafanyika Cairo
Katika droo ya Ligi ya Mabingwa yako makundi manne yenye timu nne kwenye kila kundi.
Bundesliga: Leverkusen yashindwa kukwea kwenye jedwali
Mabingwa watetezi Bayer Leverkusen pamoja na Bayern Munich walazimishwa sare katika mechi za mzunguko wa 6.
Hoffenheim yaibwaga Dynamo Kyiv 2-0
Hoffenheim imepata ushindi wa 2-0 dhidi ya Dynamo Kyiv katika mechi ya mashindano ya Ligi ya Ulaya.
Marmoush ametameta, Griezmann astaafu
Mshambuliaji wa Misri Omar Marmoush ang'aa kwa mara nyengine baada ya kuiongoza Eintracht Frankfurtkupata ushindi wa mabao 4 katika Bundesliga, mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann astaafu kandanda la kimataifa na michuano ya vilabu bingwa barani Ulaya, kurindima tena kuanzia kesho, huku wawakilishi watatu wa Ujerumani wakiingia uwanjani. Msikilize Jacob Safari michezoni.
Marmoush mwiba kwa Holstein Kiel
Mshambuliaji wa Misri Omar Marmoush aliifungia timu yake ya Eintracht Frankfurt magoli mawili na kuilaza timu iliyopandi
Bondia Anthony Joshua akataa kustaafu baada ya kipigo
Joshua asema safari yake katika ulingo wa ndondi bado ingalipo, akitarajia kukutana na Dubois tena ulingoni.
Bundesliga: Bayern wataendeleza ubabe mbele ya Bremen?
Mechi za ligi kuu ya Kandanda Ujerumani Bundesliga zinaendelea tena leo katika viwanja tofauti. Bayern Munich wanaongoza kileleni mwa Bundesliga wakifuatiwa na Borussia Dortmund katika nafasi ya pili na RB Leipzig wanafuata katika nafasi ya tatu. Josephat Charo kutoka dawati la michezo anatupa ulipofika msimamo wa ligi ya Bundesliga na mechi za wikiendi hii.
Leverkusen yaishushia kichapo cha 4-0 Feyenoord
Bayer Leverkusen yaanza vyema kampeni yao ya ligi ya mabingwa chini ya kocha Xabi Alonso kwa kuizaba Feyenoord 4-0.
Dortmund yaanza kampeni ya ligi ya mabingwa kwa ushindi
Muingereza Jamie Gittens aliingia kama mchezaji wa akiba na kufunga mabao mawili katika dakika 15 za mwisho.
Michuano ya 8 ya Mataifa ya Afrika kuanza Februari Mosi
Mechi za kufuzu kushiriki michuano hiyo itakayoshirikisha timu 19 zitaanza Oktoba 25 na kumalizika mwezi Disemba.
Machester city ipo kikaangoni tena!
Manchester City yapambana kuepuka uwezekano wa kuondolewa kushiriki Ligi Kuu ya Premia.
Aishi Manula apigwa na polisi baada ya mechi nchini Libya
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili kati ya Simba na Al Ahly ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Waganda watoa heshima za mwisho kwa mwanariadha Cheptegei
Shambulio hilo la kikatili lilishtua ukanda mzima mashariki mwa Afrika na kuibua hisia kali duniani kote.
China yatamba katika michezo ya Olimpiki kwa walemavu Paris
Rais wa kamati ya kimataifa ya michezo ya Olimpiki kwa wanariadha walemavu ameisifu Ufaransa kwa kuweka mfano bora.
Ujerumani yaanza maisha vizuri bila ya Toni Kroos na Neuer
Kikazi kipya cha Ujerumani chaanza vizuri kwa kuitandika Hungary 5-0 katika mechi ya kundi A3 UEFA Nations League.
Michezo ya Olimpiki kwa walemavu yakamilika mjini Paris
China ilimaliza ya kwanza kwenye msimamo wa nishani kwa kuzoa medali 220 kwa ujumla.
Mwanariadha wa olimpiki Mganda afariki baada ya kuunguzwa
Rebecca Cheptegei alimuagiwa petroli na mpenzi na kisha kumuasha moto, kutokana na mzozo juu ya kipande cha ardhi.
Mwanariadha wa Uganda afariki baada ya mpenzi kumchoma moto
Madaktari na maafisa wa riadha wamesema Rebecca Cheptegei, amefariki siku nne baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake.
Bundesliga: Rekodi ya Leverkusen yavunjwa
Mabingwa watetezi wa Bundesliga, Bayer Leverkusen walipokea kichapo cha mabao 3-2 na rekodi yao ya kutoshindwa kuvunjwa.
Mashindano ya kuogelea yameahirishwa Paris kwa saa 24
Mashindano ya kuogelea yameakhirishwa Paris
Michezo ya Olimpiki kwa wenye Ulemavu yafungua pazia Paris
Jumla ya wanariadha 4,400 kutoka mataifa 168 watashiriki michezo hiyo hadi Septemba 8, 2024.
Msimu mpya wa Bundesliga waanza
Na nyota wa tenis raia wa Serbia Novak Djokovic na Mmarekani Coco Gauf kuanza kuwinda mataji ya mashindano ya US Open.
Leverkusen waufungua msimu wa Bundesliga kwa ushindi
Msimu uliopita Leverkusen ilishangaza kwa namna ilivyofunga mabao kadhaa ya dakika za lala salama na muhimu.
Leverkusen waufungua msimu wa Bundesliga kwa ushindi
Msimu uliopita Leverkusen ilishangaza kwa namna ilivyofunga mabao kadhaa ya dakika za lala salama na muhimu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 10
Ukurasa unaofuatia