You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
AFCON
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Madagascar yatumai kuweka historia zaidi katika AFCON
Baada ya kuweka historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza katika AFCON, Madagascar wanatumaini kuweka historia zaidi kwa kushinda michuano yao nchini Misri.
Je unafikiri ni timu zipi zitang'aa zaidi katika AFCON?
Michuano mikubwa ya soka barani Afrika inafanyika Cairo Misri huku timu 24 zikishiriki. Je unafikiri, ni timu zipi zitaweza kusonga mbele kutoka awamu ya makundi
Wachezaji wa Bundesliga watakaong'ara AFCON 2019
Kutakuwa na uhusiano mkubwa katika michuano ya 32 ya kombe la mataifa ya afrika.
Michuano ya kuwania taifa bingwa Afrika katika soka (AFCON) kuanza Misri
Michuano ya kuwania kombe la taifa bingwa Afrika, itaanza leo nchini Misri. Kwa mara ya kwanza timu 24 zitashiriki michuano hiyo. Mechi ya ufunguzi ni kati ya wenyeji Misri dhidi ya Zimbabwe. nchi nne za Afrika mashariki zinashiriki nazo ni Kenya, Tanzania, Uganda na Burundi.
Serikali ya Misri imesema wako imara dhidi ya mashambulizi
Raia nchini Misri wanalalamikia ongezeko la kiingilio cha kutazama dimba hilo.
Tanzania, Kenya na Uganda zatinga fainali za Afcon
Mataifa matatu ya Afrika mashariki Kenya , Uganda na Tanzania kucheza fainali za Afcon
Cameroon na Burundi zatinga fainali za Afcon
fainali ya Afcon Burundi yaandika historia
Misri yaanza maandalizi ya AFCON 2019
Wizara ya michezo ya Misri pamoja na shirikisho la soka wametangaza kuwa tayari kwa tamasha hilo maarufu Afrika
Mauritania yafuzu kucheza fainali za AFCON
Taifa Stars yateleza dhidi ya Lesotho, lakini nafasi bado ipo dhidi ya Uganda kucheza AFCON
Taarifa ya habari za asubuhi 18.11.2018
Marekani kutoa ripoti ya mwisho juu ya mauaji ya Jamal Khashoggi wiki ijayo. 'Rambo' wa Afrika ya Kati afikishwa ICC. Nigeria, Uganda, Mali, Morocco zafanikiwa kushiriki AFCON.
Timu za Afrika kushuka dimbani kwa mechi za AFCON
Aliyekuwa nyota wa Uholanzi Clarence Seedorf ni miongoni mwa makocha watakaoanza safari ya kufuzu dimba la AFCON
Dimba la AFCON kuzishirikisha timu 24
Uamuzi huo lazima lakini uidhinishwe na kamati kuu ya Shirikisho la Kandanda Afrika – CAF
Cameroon bingwa AFCON
Nderemo, vifijo na vigelegele nchini Cameroon, Rais Trump ataka ukaguzi makini viwanja vya ndege na vyama vya kihafidhina vyamteua Angela Merkel kugombea ukansela katika uchaguzi wa Septemba 24.
Cameroon ndio mabingwa wa Afrika
The Indomitable Lions waliwafunga Misri mabao mawili kwa moja mjini Libreville
05.02.2017-Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)
AFCON: Cameroon, Misri kuumana katika fainali
Cameroon na Misri zinapambana katika fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika mjini Libreville Jumapili
AFCON: Cameroon yaingia fainali
Cameroon itakuwa inawania ubingwa kwa mara ya tano itakapopambana na Misri Jumapili mjini Libreville, Gabon.
Cameroon na Ghana kuumana nusu fainali
Cameroon na Ghana zinakutana katika mchezo wa nusu fainali mjini Libreville leo (02.02.2017)
Misri yatinga fainali AFCON
Mafarao wa Misri wameingia katika fainali kwa kuitoa nje ya mashindano hayo Burkina Faso kwa penalti.
Burkina Faso na Misri kupambana nusu fainali AFCON
Jumatano usiku Burkina Faso itamenyana na Misri mjini Libreville, Gabon. Nusu fainali Kombe la mataifa ya Afrika
Dimba la AFCON laingia nusu fainali
Sikiliza uchambuzi wa michuano ya AFCON kati ya Bruce Amani na mwanaspoti David Kwalimwa
28.01.2017 Matangazo ya Asubuhi
Viongozi wa mataifa ya Kusini mwa Ulaya wakutana Ureno, Umoja wa Afrika kujadili nia ya Morocco kutaka kujiunga tena na umoja huo na utasikia kuhusu mchuano wa AFCON.
Gabon yaaga mashindano ya Afcon
Gabon yaaga mashindano ya Afcon, Tunisia ina matumaini
Taarifa ya Habari Asubuhi 19.01.2017
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imetangaza kuwa inajiandaa kupeleka majeshi yake nchini Gambia kama Rais Yahya Jammeh atakataa kuondoka madarakani//Rais wa Marekani, Barack Obama amekutana kwa mara ya mwisho na waandishi wa habari katika Ikulu ya White House//Urusi na Uturuki zimeunganisha majeshi yake na kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo nchini Syria
AFCON yaanza na ukame wa mabao
Mabingwa watetezi waanza na ukame wa mabao kwenye michuano ya AFCON
Taarifa ya Habari Asubuhi 17.01.2017
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel apuuzia ukosoaji uliotolewa na rais mteule wa Marekani, Donald Trump kuhusu sera yake ya wakimbizi//Mshukiwa wa shambulizi katika klabu ya usiku mjini Istanbul, Uturuki wakati wa sherehe za Mwaka Mpya amekamatwa//Jaji Mkuu wa Gambia amejitoa kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Rais Yahya Jammeh ya kuzuia sherehe za kuapishwa rais mteule, Adama Barrow
Zimbabwe yaikaba koo Algeria
Mchezaji bora wa mwaka barani Afrika Riyad Mahrez aliifungia Algeria mabao mawili
Michuano ya kombe la Afrika kuanza Libreville
Timu za mataifa 16 ya Afrika zinakutaka kuanza kinyang'anyiro cha kombe la Afrika, Afcon mjini Libreville
Sing'oki ng'o madarakani! Asema Jammeh
Rais Jammeh akatalia madarakani, Rais Mteule wa Marekani Trump akanusha Urusi kuwa na taarifa zake binafsi na Gabon yajiandaa kwa michuano ya AFCON
Gabon yajiandaa kwa AFCON
Dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON linakaribia kuanza
Dimba la Afrika latarajiwa Gabon lakini hakuna msisimko
Baadhi ya raia wanahofia taharuki za kisiasa zinaweza kujipenyeza na kuathiri mechi hizo.
Maandalizi ya dimba la Kombe la Afrika yaendelea
Wenyeji Gabon watafungua dimba dhidi ya Guinea-Bissau watakaoshiriki kwa mara yao ya kwanza
Droo ya AFCON 2017 yaandaliwa
Herve Renard atashuka dimbani na timu yake ya zamani Cote d'Ivoire katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika 2017
Safari ya dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika yaanza
Safari ya kufuzu katika dimba la mataifa ya Afrika – AFCON mwaka wa 2017 imeng'oa nanga mwishoni mwa wiki ambapo mechi kadhaa zilichezwa. Ghana iliisambaratisha Mauritius magoli 7-1
FIFA:Vilabu vya Ulaya havitalipwa fidia
Shirikisho la soka duniani FIFA limetunisha misuli yake tena leo (25.02.2015) kwa kutangaza vilabu vya soka havitalipwa fidia kwa kuwapoteza wachezaji na kuvurugika kwa ligi kutokana na kuahirisha kombe la dunia 2022.
AFCON: Nani mbabe Cote D'Ivoire na Ghana
AFCON: Nani mbabe Cote D'Ivoire na Ghana
Tunisia kidedea , Cape Verde na Congo sare
Tunisia kidedea , Cape Verde na Congo sare
AFCON: Congo Brazzaville yapata ushindi
AFCON: Congo Brazzaville yapata ushindi
AFCON: Cameroon na Cote D'Ivoire katika tathmini
AFCON: Cameroon na Cote D'Ivoire katika tathmini
AFCON:Algeria yanusurika,Senegal yaanza vizuri kundi la kifo
AFCON: Algeria yanusurika, Senegal yaanza vizuri kundi la kifo
Ghana na Senegal nani mbabe?
Ghana na Senegal nani mbabe?
Bafana Bafana yajiwinda kunyakua taji la Afcon
Bafana Bafana yajiwinda kunyakua taji la Afcon
Matayarisho ya michuano ya AFCON yakamilika
Matayarisho ya michuano ya AFCON yakamilika
Timu zaendelea na maandalizi ya AFCON
Maandalizi katika kombe la mataifa ya Afrika yanaendelea, ambapo timu mbali mbali zinazoshiriki mashindano hayo ya timu 16 nchini Guinea ya Ikweta yatakayoanza tarehe 17 mwezi huu zinatangaza vikosi vyake
Guinea ya Ikweta yamtimua kocha wa taifa
Wenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Guinea ya Ikweta wamemtimua kocha Andoni Goikoetxea ikiwa ni wiki tatu tu kabla ya kuanza dimba hilo, hali inayoyatumbukiza maandalizi yao katika mparaganyiko
Dimba la AFCON kuendelea kama ilivyopangwa
Shirikisho la Soka Barani Africa CAF limesema michuano ya Kombe la Soka la Mataifa itaendelea kama ilivyopangwa licha ya kuwepo kitisho cha maradhi ya Ebola
Sintofahamu yatanda kuhusu AFCON
Je, ni nchi gani itakayoandaa dimba la Kombe la Mataifa ya Bara Afrika – AFCON mwaka ujao? Ikiwa imesalia miezi mitatu tu kwa kinyang'anyiro hicho kung'oa nanga, bado kuna hali ya sintofahamu kutokana na Ebola
Mechi za AFCON zaendelea licha ya kitisho cha Ebola
Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola, ulaghai na udanganyifu, mchezaji kupigwa na kuuawa na mashabiki wake..ni kama soka la Afrika haliwezi kujiondolea sifa mbaya ya kukumbwa na matukio ya vurugu.
Sierra Leone kuendelea na mechi yake ya AFCON
Kutokana na kitisho cha Ebola, Sierra Leone imelazimika kuwatumia wachezaji wote wanaocheza soka lao nje ya nchi hiyo katika mechi za kufuzu katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kenya na Tanzania hazitacheza dimba la AFCON
Kenya na Tanzania zimebanduliwa nje ya kempeni ya kufuzu katika dimba la Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON litakaloandaliwa hapo mwakani nchini Morocco.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 5
Ukurasa unaofuatia