You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
13.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
EU yajitolea kuandaa kikosi cha kulinda amani Ukraine
Umoja wa Ulaya umejitolea kusaidia katika majadiliano ya kuandaa kikosi cha kulinda amani nchini Ukraine.
Mawaziri wa Ulaya kujadili uungaji mkono kwa Ukraine
Mawaziri kadhaa wa Ulaya pamoja na mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya kujadili kuiunga mkono zaidi Ukraine.
Scholz ahimiza kampuni kuwekeza zaidi nchini Ukraine
Scholz anataraji ushirikiano wa kibiashara kati ya Ujerumani na Ukraine utaongezeka hasa katika sekta ya nishati.
Urusi yachukua udhibiti wa vijiji viwili eneo la Kursk
Urusi yatangaza kuvinyakuwa tena vijiji viwili vilivyokuwa mikononi mwa Ukraine
Ujerumani na Ukraine zafanya mkutano wa kiuchumi Berlin
Mkutano wa jukwaa la kiuchumi kati ya Ujerumani na Ukraine unafanyika mjini Berlin
Merz aahidi kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi
Mgombea wa Ukansela wa chama cha CDU cha Ujerumani ameahidi kuisaidia Ukraine katika vita vyake dhidi ya Urusi.
Merz awasili Ukraine kwa mazungumzo
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Ujerumani cha CDU, Friedrich Merz, amewasili nchini Ukraine kwa ajili ya maz
Urusi iko tayari kuanza mazungumzo ya amani
Peskov amesema majadiliano ya amani yanatakiwa kujikita kwenye makubaliano yaliyofikiwa Istanbul mwaka 2022
Trump asema Zelensky ana nia ya kumaliza vita
Tump asema maisha ya wengi yameshaangamia na iwapo hatua za haraka hazitochukuliwa mzozo unaweza kutanuka.
Scholz: Ninao mkakati wa kuisaidia Ukraine na Trump
Hivi karibuni Scholz alifanya ziara ya ghafla mjini Kyiv na kuahidi msaada mpya wa kijeshi kwa Ukraine.
Mashambulizi ya Urusi yauwa 12 Zaporizhzhya
Mashambulizi ya mabomu yanayoongozwa kwa mashine yameuwa watu 12 katika mji wa Zaporizhzhya.
Putin ateuwa gavana mpya wa Kursk
Rais Vladimir Putin wa Urusi amemteuwa gavana mpya wa mkoa wa Kursk, ambao sehemu yake ipo ndani ya Ukraine.
Lavrov: Urusi haitoshindwa vita nchini Ukraine
Mwanadiplomasia huyo wa Urusi ameongeza kuwa Urusi inapigania maslahi ya usalama wake.
Urusi yasema iko tayari kwa lolote vita vya Ukraine
Lavrov amesema Urusi itahakikisha mataifa ya Magharibi hayafanikishi kile yanachokiita "ushindi wa kimkakati".
Viongozi wa OSCE wakutana kwa mazungumzo Malta
Viongozi hao wa OSCE wametupiana lawama hasa kuhusu vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine.
Maandamano nchini Georgia yaendelea kwa siku ya saba
Kufuatia hatua hiyo, Ukraine imemuwekea vikwazo Waziri Mkuu wa Georgia na bilionea Bidzina Ivanishvili,
NATO: Urusi inasaidia mipango ya nyuklia ya Korea Kaskazini
NATO yasema Urusi inasaidia mipango ya nyuklia na makombora ya Korea Kaskazini,
Mkuu wa NATO ahimiza msaada zaidi kutolewa kwa Ukraine
Kwenye mkutano huo yapo masuala mengine kama vile kuimarisha ushirikiano miongoni mwa washirika wa NATO.
Mark Rutte azitaka nchi wanachama kuisaidia Ukraine
Vita hivyo vimetokana na hatua ya Urusi kumvamia kijeshi jirani yake Ukraine.
Ukraine yasisitiza kuwa mwanachama wa NATO
Wanadiplomasia wasema hakuna uwezekano wa mkutano wa Brussels kukubali pendekezo la Ukraine.
Mawaziri wa NATO wakutana Brussels kujadili usalama
Miongoni mwa ajenda za mwanzo ni suala la kuimarisha uungaji mkono kwa Ukraine kabla ya kurudi Donald Trump madarakani.
Urusi imetangaza kuviteka vijiji vingine viwili Ukraine
Ukraine imesema vikosi vyake vilizuia juhudi za Urusi kuvuka mto Oskil kuingia Kaskazini Mashariki mwa nchi yake.
Ujerumani yaitahadharisha China dhidi ya kuisaidia Urusi
Annalena Baerbock amemtahadharisha mwenzake wa China Wang Yi dhidi ya kuisaidia Urusi kivita katika mzozo wa Ukraine
Mauzo ya silaha yaliongezeka duniani mwaka 2023
Ripoti ya shirika la SIPRI yaonesha mapato ya mauzo ya silaha yaliongezeka mwaka uliopita kote ulimwenguni.
SIPRI: Mapato ya silaha duniani kwa mwaka 2023 yaliongezeka
Ripoti ya SIPRI imebainisha kwamba makampuni makubwa 100 ya silaha duniani yaliongeza mauzo ya silaha mwaka 2023
Kansela Scholz afanya ziara ya kushtukiza mjini Kyiv
Scholz amefanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine kuthibitisha uungaji mkono wa Berlin kwa Kyiv katika vita na Urusi.
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz azuru Ukraine
Ujerumani imekuwa taifa kinara wa Ulaya kuisaidia kijeshi na kiuchumi Ukraine tangu ilipovamiwa na Urusi Februari 2022.
Rais Zelensky ataka Marekani iipigie chapuo kuingia NATO
Rais Zelensky aitaka Marekani iushawishi Umoja wa Ulaya ukubali kuikaribisha Ukraine NATO
Urusi yatangaza bajeti kubwa ya ulinzi kwa mwaka 2025
Urusi yatangaza bajeti kubwa ya ulinzi kwa mwaka 2025
Mkuu mpya wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya azuru Kyiv leo
Mkuu mpya wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya awasili Kyiv leo
Zelensky aiomba NATO kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yake
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana, wakati Ukraine ikiruhusiwa kutumia silaha za magharibi.
Kim Jong Un aahidi kuendelea kuisaidia Urusi kivita
Kim ameikosoa hatua ya mataifa ya magharibi yakiongozwa na Marekani kwa kuiruhusu Ukraine kuyashambulia maeneo ya Urusi.
Zelenskiy apendekeza ulinzi wa NATO kustisha vita na Urusi
Rais Volodymyr Zelenskiy amesema Ukraine inaweza kukubali kusitisha vita ikiwa NATO itaipa ulinzi.
Biden: Ukraine inahitaji kuendelea kusaidiwa kwa udharura
Biden ameonekana kupigia debe uungwaji mkono mkubwa kabla ya Rais mteule Donald Trump kuchukua madaraka mwezi Januari.
Putin aitishia Kyiv kwa makombora mapya ya masafa ya kati
Rais Vladimir Putin, ametishia kutumia makombora mapya ya masafa ya kati dhidi ya maeneo zaidi nchini Ukraine.
Putin: Mashambulizi ya Ukraine ni ujumbe mkali kwa Magharibi
Zelensky amedai mabomu ya kutawanyika yalirushwa katika kile alichokiita "kuongezeka kwa kuchukiza kwa mgogoro.
Mashambulizi ya Urusi yawaacha watu milioni bila umeme
Urusi imefanya mashambulizi ya pili kwa ukubwa mwezi huu katika miundo mbinu ya nishati ya Ukraine Alhamis na kusababish
Mashambulizi ya Urusi yawaacha wengi bila umeme, Ukraine
Shambulizi la pamoja la kombora na droni lilikata umeme na kuathiri zaidi ya wateja milioni moja magharibi mwa Ukraine.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 28.11.2024
Biden aandaa msaada wa silaha wa dola mil. 725 kwa Ukraine
Rais Biden anataka kuiimarisha Ukraine katika wiki zake za mwisho kabla ya kuondoka madarakani mwezi Januari.
Makamishna wapya wa Halmashauri kuu ya Ulaya waidhinishwa
von der Leyen aonya kwamba hakuna muda wa kupoteza wa kuimarisha ulinzi na ushindani wa Umoja wa Ulaya.
Ukraine yarusha makombora ya ATACMS kuelekea Urusi
Ukraine kwa mara ya kwanza imeishambulia Urusi kwa kutumia silaha za Marekani baada ya Marekani kuidhinisha matumizi ya silaha hizo katika eneo la Urusi. Lengo ni kupunguza uwezo wa Moscow wa kuendeleza. Urusi imeelezea shambulio hilo kama kichochea kinachoashiria awamu mpya ya vita. #Kurunzi
Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada
Nchi za magharibi zimejibu kwa kujiamini Jumanne vitisho vya mashambulizi ya makombora na matumizi ya silaha za nyuklia.
27.11.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jumuiya ya kujihami NATO yasisitiza kuendelea kuisaidia Ukraine. Nchi za G7 zamuunga mkono kiongozi wa upinzani wa Venezuela. Na Serikali ya Somalia yakataa matokeo ya uchaguzi wa eneo la kusini la Jubaland
Urusi yaapa kulipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Ukraine
Marekani iliipa Ukraine ruhusa ya kutumia silaha hizo kushambulia eneo la Urusi mapema mwezi huu.
NATO yajadili kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amesema kipaumbele ni kuunda, kununua droni zinazotumia teknolojia ya AI.
Ukraine na Urusi zashambuliana kwa droni na makombora
Moscow na Kyiv zimekuwa zikiongeza mashambulizi ya droni na makombora katika siku za hivi karibuni.
Nchi za NATO kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin ambako wanajadili hatua
Mji wa Kiev washambuliwa kwa droni
Mashambulizi hayo pia yaliwajeruhi watu wanane katika mji wa bandari wa Odessa kusini mwa Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 69
Ukurasa unaofuatia