You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Disemba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Macron autuhumu upinzani "kuihujumu" jamhuri
Siku moja baada ya serikali yake kuporomoka bungeni, Rais Emmanuel Macron ameutuhumu upinzani kuihujumu jamhuri.
06.12.2024 Matangazo ya Jioni
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano barani Ulaya, OSCE wanakutana nchini Malta// Wawekezaji kutoka ndani na nje ya Burundi wametakiwa kufanya kila juhudi ili kuhakikisha Burundi inayafikia malengo ya maendeleo endelevu// Wasomi katika masuala ya bioanuwai barani Afrika wamezitaka serikali za Magharibi kuwekeza zaidi katika utafiti.
05.12. 2024 Matangazo ya Mchana
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatakiwa kuumaliza mzozo wa kisiasa ulioibuka nchini Ufaransa baada ya Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kuondolewa madarakani// Maelfu ya raia wa Georgia ambao ni wafuasi wa Umoja wa Ulaya wanaandamana katika mji mkuu wa Tbilisi wakiipinga serikali ya kitaifa ya kihafidhina.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 5 Disemba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 5 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Dunia Yetu Leo Asubuhi 5 Disemba 2024
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 5 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Polisi ya Ujerumani yafanya msako wa wasafirishaji wahamiaji
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako dhidi ya mtandao wa kihalifu unaotuhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu.
UNICEF yasaka dola bilioni 9.9 kwa watoto maeneo ya vita
UNICEF imetangaza kampeni ya kusaka dola bilioni 9.9 kwa ajili ya mamilioni ya watoto walioathirika kwa vita.
Mamilioni ya watu hawana umeme Cuba
Cuba imetangaza kwamba ina uwezo wa kusambaza sehemu ndogo kabisa ya umeme kwa raia.
Lavrov ziarani Malta
Lavrov yuko nchini Malta kwa ajili ya mkutano wa Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano ya Ulaya (OSCE)
Mkataba wa kijeshi wa Urusi, Korea Kaskazini waanza kazi
Mkataba wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Korea Kaskazini na Urusi umeanza rasmi.
Chama tawala Korea Kaskazini chagawika kuhusu rais
Chama tawala nchini Korea Kusini kimesema wabunge wake wataungana kupinga kuondolewa madarakani Rais Yoon Suk Yeol.
Serikali ya Barnier wa Ufaransa yaangushwa bungeni
Serikali iliyodumu miezi mitatu nchini Ufaransa imeporomoshwa kwa kura ya kutokuwa na imani nayo bungeni.
04.12.2024 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wabunge wa Ufaransa watapiga hii leo kura ya kutokuwa na imani na serikali/ Rais wa Marekani Joe Biden yuko nchini Angola
04.12.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Upinzani Korea Kusini wawasilisha mswada wa kumuondoa rais Yoon/ Netumbo Nandi-Ndaitwah ashinda uchaguzi wa Namibia
03.12.2024 Matangazo ya Jioni
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu mashambulizi dhidi ya raia na miundombinu ya afya kaskazini magharibi mwa Syria//Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO, wamekutana mjini Brussels// Kongamano la biashara na uwekezaji kati ya Ujerumani na Afrika limefunguliwa rasmi hii Leo jijini Nairobi.
03.12.2024 Matangazo ya Mchana
Wakati vita vikiendelea huko Gaza, makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hezbollah yako hatarini kuvunjika// Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu, huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni ''Kukuza Uongozi wa Watu Wenye Ulemavu kwa Mustakabali Jumuishi na Endelevu.
02.12.2024 Matangazo ya Jioni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock yuko ziarani nchini China// Sakata la kuwahamisha wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, limepiga hatua mpya baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuunda tume mbili ili kuchuguza sakata hilo kisayansi.
02.12.2024 Matangazo ya Mchana
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amefanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine leo Jumatatu// Kenya imeorodheshwa kama taifa la 7 duniani na la 6 barani Afrika baada ya Afrika Kusini, Msumbiji, Tanzania, Nigeria na Zambia katika viwango vya juu vya maambukizi ya virusi vya HIV.
Makala ya Afrika wiki hii
Nchini Uganda, watu 100 bado hawajulikani waliko kufuatia mkasa wa maporomoko ya ardhi yaliyotokea eneo la mashariki mwa nchi hiyo. Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Tanzania uliingiwa na dosari. Na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zilitia saini hati muhimu kwa ajili ya kuendeleza mchakato wa amani katika eneo tete la mashariki mwa DRC.Kwa hayo na mengine, ungana na Bakari Ubena
29.11.2024 Matangazo ya Jioni
Umoja wa Mataifa umesema Ukanda wa Gaza umetumbukia katika hali ya kukosa mwelekeo huku njaa ikiongezeka, uporaji na ubakaji katika maeneo wanakojihifadhi wakimbizi+++Waasi na washirika wao wanaoungwa mkono na Uturuki wameushambulia kwa makombora mji wa pili wa Syria wa Aleppo leo Ijumaa+++Tanzania - Chama tawala CCM kimeshinda asilimia 98 ya viti katika uchaguzi wa wiki hii wa serikali za mita
29.11.2024 Matangazo ya Mchana
Netanyahu: IDF itafanya vita vikubwa kama Hezbollah itakiuka makubaliano+++Chama tawala Tanzania chashinda kwa kishindo serikali za mitaa+++Zaidi ya watu 100 bado wanatafutwa katika maporomoko ya udongo Uganda+++Chad yasitisha mkataba wa ulinzi na Ufaransa
29.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Waziri wa uchumi na maendeleo wa Ujerumani Svenja Schulze, asema dunia inahitaji kuitilia maanani hali ya kuvunja moyo inayoendelea nchini Sudan.//Uchafuzi wa hewa utokanao na mioto ya nyika unahusishwa na vifo vya zaidi ya watu milioni 1.5 kwa mwaka kote ulimwenguni//Chanjo mpya za mpox kwa watoto Kongo zashikwa na tatizo la zamani.
28.11.2024 Matangazo ya Jioni
Miili 14 imepatikana baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Musugu, mashariki mwa Uganda// Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana nchini Tanzania, yameanza kutangazwa huku wapinzani wakijipatia ushindi katika baadhi ya maeneo-
28.11.2024 Matangazo ya Mchana
Takribani watu 30 wanahofiwa kufariki baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda// Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 nchini Tanzania, yanaonesha kwamba Chama cha mapinduzi CCM kimeshinda kwa kishindo katika maeneo yote ya nchi, licha ya kuwepo kwa malalamiko ya wizi wa kura na udanganyifu.
28.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon ambayo yalianza kutekelezwa jana Jumatano, yanaweza kuvimaliza vita vilivyodumu zaidi ya mwaka mmoja// Umoja wa Ulaya unataka kuteuwa mjumbe maalum kama sehemu ya mchakato wa kutathmini sera yake kuelekea Syria.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 28.11.2024
27.11.2024 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watanzania washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa/ Makamishna wapya wa Halmashauri kuu ya Ulaya waidhinishwa
27.11.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Tanzania yapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa/ Namibia yapiga kura huku chama tawala kikikabiliwa na kinyang'anyiro kikali
27.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: umuiya ya kujihami ya NATO na Ukraine zimefanya mkutano wa dharura baada ya Urusi hivi karibuni kuishambulia Ukraine kwa kutumia kombora la kuvuka mabara/ Tanzania inaanda uchaguzi wa serikali za mitaa
Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada
Nchi za magharibi zimejibu kwa kujiamini Jumanne vitisho vya mashambulizi ya makombora na matumizi ya silaha za nyuklia.
27.11.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Jumuiya ya kujihami NATO yasisitiza kuendelea kuisaidia Ukraine. Nchi za G7 zamuunga mkono kiongozi wa upinzani wa Venezuela. Na Serikali ya Somalia yakataa matokeo ya uchaguzi wa eneo la kusini la Jubaland
Serikali ya Somalia yakataa matokeo ya uchaguzi wa Jubaland
Somalia ilitumai kuainisha uchaguzi wa Jubaland na mipango ya kuanzisha chaguzi za nchi nzima mwaka ujao.
Bolsonaro alishiriki njama ya mapinduzi dhidi ya Lula
Ripoti imewekwa hadharani na jaji wa mahakama ya juu kabisa anayesimamia kesi hiyo, Alexandre de Moraes.
Mtu mmoja auwawa kwenye maandamano Bangladesh
Das anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi yaliyowasilishwa mwezi Oktoba baada ya kuongoza mkutano Chittagong.
Watu 5 wafariki katika ajali ya ndege Costa Rica
Wahanga wote walikuwa raia wa Costa Rica wa umri kati ya miaka 27 na 64.
Vikosi vya Pakistan vyawasaka wafuasi wa Imran Khan
Kwa kiwango kikubwa maandamano yalikuwa yametawanywa mjini Islamabad
Nchi za G7 zamuunga mkono kiongozi wa upinzani wa Venezuela
Venezuela imekataa tangazo la nchi za G7 kuhusu mchakato wake wa uchaguzi
26.11.2024 Matangazo ya Jioni
Ndege za kivita za Israel leo Jumanne zimeyashambulia majengo kadhaa katika viunga vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut na katika mji wa kusini mwa nchi hiyo.
26.11.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel na Lebanon zakubali masharti ya kusitisha vita/ Mgawanyiko mkubwa wajitokeza, mkutano wa kudhibiti plastiki
26.11.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin/ Rais wa Kenya William Ruto kuanzisha kampeni ya shilingi milioni 100 dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake nchini Kenya
Nchi za NATO kuimarisha utengenezaji silaha Ukraine
Mawaziri wa ulinzi wa baadhi ya mataifa ya Ulaya wameanza mkutano wao wa siku mbili mjini Berlin ambako wanajadili hatua
Mji wa Kiev washambuliwa kwa droni
Mashambulizi hayo pia yaliwajeruhi watu wanane katika mji wa bandari wa Odessa kusini mwa Ukraine.
Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake
Merkel amekosolewa kwa kushindwa kuwazuia wakimbizi katika mpaka wa Austria na kuchochea kuimarika kwa chama ha AfD.
Congo na Rwanda zapiga hatua katika mchakato wa amani
Mapema Agosti Angola iliongoza upatanisho ulioimarisha hali katika uwanja wa vita mashariki mwa Congo.
Wakimbizi wa ndani waongezeka mara tatu Afrika
Uhamisho wa watu kutokana na majanga, hususan mafuriko, pia unaongezeka barani Afrika.
26.11.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO wapania kuimarisha utengenezaji silaha nchini Ukraine. Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel asema hana majuto kuhusu utawala wake na machafuko yanayoshuhudiwa sasa katika kitabu chake kipya - Freedom. Na Angola yasema Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zapiga hatua katika mchakato wa amani.
IOM: Zaidi ya watu 40,000 wakimbia machafuko Port-au-Prince
Muungano wa "Viv Ansanm" uliundwa Februari ili kumpindua waziri mkuu wa wakati huo Ariel Henry aliyejiuzulu Aprili.
Uchunguzi wa ajali ya ndege ya DHL waanza
Sehemu nyingi za ndege zilitapakaa baada ya kuanguka.
Korea Kusini yafanya mkutano kutafuta mkataba wa plastiki
Mkutano utajadili mambo mengi zaidi mbali na kuandaa mkataba wa kimatiafa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 132
Ukurasa unaofuatia