You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Trump aahidi tena kumaliza "mauaji" ya vita vya Ukraine
Donald Trump amesema atafanya mazungumzo na viongozi wa Ukraine na Urusi kumaliza vita.
16.12.2024 Matangazo ya Jioni
Juhudi za uokozi na ufikishwaji wa misaada muhimu kwa waathiriwa zinaendelea huko Mayotte// Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamesaini vikwazo vipya dhidi ya Urusi//Wabunge wa Ujerumani wamepiga kura ya kutokuwa na imani na Uongozi wa Kansela Olaf Scholz.
16.12.2024 Matangazo ya Mchana
Juhudi za uokoaji zaendela katika kisiwa cha Mayotte kilichokumbwa na kimbunga Chido//Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na jeshi la Rwanda wamekidhibiti kijiji cha Matembe katika wilaya ya Lubero, mkoani Kivu kaskazini nchini Kongo// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimetangaza rasmi kuanza mchaka mchaka wa uchaguzi mkuu huku kikiitaja Disemba 17.
Meza ya Duara: Anguko la Assad na mustakbali wa Syria
Kwenye Meza ya Duara wiki hii, Mohammed Khelef anawaongoza Ahmed Rajab, Abdulfattah Mussa na Harrison Mwilima kujadili anguko la aliyekuwa dikteta wa Syria, Bashar al-Assad, na mustakbali wa taifa hilo la Mashariki ya Kati.
Matangazo ya Mchana 15.12.2024
Miongoni mwa mengineyo utakayoyasikia kwenye matangazo ya mchana ni pamoja na Marekani imesema imefanya mawasiliano ya moja kwa moja na utawala mpya wa Syria: Rais wa mpito nchini Korea Kusini awaahidi washirika wake kuimarisha upya masoko ya fedha na Ukraine yasema wanajeshi wengi zaidi wa Korea Kaskazini wanapambana Kursk. Utasikia pia makala mbalimbali ikiwa ni pamoja na Afrika Wiki Hii.
14.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya kuanguka taasisi muhimu za Syria // Wabunge wa Korea Kusini wamemuondoa Rais Yoon kutokana na jaribio lake la kutangaza sheria ya kijeshi // Wapalestina saba wameuawa katika shambulizi la Israel kwenye shule ya waomba hifadhi Gaza
14.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Wabunge wa Korea Kusini leo wamemondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kutokana na jaribio lake la kutangaza sheria ya kijeshi lililofeli, hatua ambayo upinzani umeiita kuwa ni "ushindi wa watu".
13.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Viongozi wa kundi la mataifa saba yaliyoendelea kiuchumi duniani ya G7, watajumuika mchana wa leo katika kutafuta muongozo wa pamoja kwa serikali mpya ya Syria+++Umoja wa Afrika umezihimiza Ethiopia na Somalia kutekeleza "bila kuchelewa" makubaliano uliyoyaita kuwa muhimu yaliyofikiwa mapema wiki hii yenye lengo la kumaliza mvutano kati ya mataifa hayo majirani
14.12.2024: Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
13.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Marekani ina wasiwasi na hali ilivyo nchini Syria, na hasa kuhusu uwezekano wa kuongezeka kwa machafuko katika kanda hiyo+++Ugonjwa wa homa ya nyani Mpox unaendelea kuenea nchini Kenya huku wizara ya afya ikirekodi wagonjwa watano wapya.
Wajerumani wengi ni masikini - Utafiti
Utafiti unaonesha kuwa watu wengi nchini Ujerumani wanaishi kwenye umasikini mkubwa wa makaazi.
Marekani yaona ishara ya makubaliano ya Gaza
Marekani inasema kuna matumaini ya makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza, huku Israel ikiendelea na mashambulizi.
12.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Rais William Ruto wa Kenya amesema, atawafikia Wakenya wote bila kujali mirengo yao ya kisiasa kwa lengo la kuwa na taifa dhabiti na imara+++Msemaji wa serikali mpya ya Syria amesema bunge na katiba ya nchi hiyo vitasitishwa kwa kipindi cha miezi mitatu ya mpito baada ya kuangushwa kwa serikali ya aliyekuwa Rais wa taifa hilo Bashar al Assad.
12.12.2024 - Matangazo ya Mchana
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, upande wa Tanzania Bara, Tundu Lissu ametangaza nia yake ya kuwania nafasi ya uenyekiti taifa ndani ya chama hicho+++Rais Frank-Walter Steinmeier amesema milango ya Ujerumani iko wazi kwa Nigeria kibiashara
12.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
11.12.2024 Matangazo ya Jioni
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa mwito kwa wafanyibiashara hasa wa kibinafsi kuwekeza zaidi nchini Ukraine iliyoharibiwa kwa vita/ Waziri Mkuu mpya wa Syria Mohammad al-Bashir amesema utawala wake utatenda haki kwa raia wote wa Syria
11.12.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu 20 wameuawa kwenye mashambulizi yaliyofanywa na Israel katika maeneo ya Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza/ Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewashutumu maafisa wakuu wa kijeshi wa Kongo kwa ukiukaji wa haki za binadamu
Iran yazishutumu Israel, Marekani kwa anguko la Assad
Israel inasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya jeshi la anga la Syria, ikidai kuweka eneo la ulinzi.
11.12.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema siku ya Jumanne kuwa anatarajia kumtangaza Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa ndani ya muda wa saa 48 zijazo/ Israel imethibitisha kuwa imeshambulia kwa mabomu zaidi ya maeneo 350 ya kijeshi nchini Syria
11.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yathibitisha kushambulia maeneo 350 ya kijeshi nchini Syria. Shirika la kimataifa la Amnesty International lawatuhumu wanajeshi kadhaa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aahidi kumteua Waziri Mkuu mpya ndani ya saa 48 zijazo.
10.12.2024 - Matangazo ya Jioni
Aliyekuwa mkuu wa serikali katika ngome ya waasi ya Idlib, kaskazini-magharibi mwa Syria, Mohammed al-Bashir amejitangaza kuwa ataongoza kipindi cha mpito cha serikali ya Syria hadi Machi mwaka 2025+++Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, kimelaani vikali mauaji na udhalilishaji uliofanywa kwa wagombea wa chama hicho wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
10.12.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Netanyahu kujibu mashtaka ya udanganyifu, kuvunja uaminifu na kupokea rushwa katika kesi tatu tofauti zinazomkabili/ Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemfuta kazi mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, mkuu wa polisi na gavana wa benki kuu
10.12.2024 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Juhudi za kuiepusha Syria kutumbukia katika mzozo zaidi zimeendelea kimataifa/ Wanajeshi wastaafu kutoka mataifa ya Ulaya wanataka kuwatimua waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Taarifa ya Habari ya Asubuhi: 10.12.2024
Viongozi wa Syria waanza majadiliano ya kukabidhi madaraka kwa waasi. Wanahabari 104 wameuawa duniani kote mnamo mwaka wa 2024. Umoja wa Ulaya watangaza kuendelea na vikwazo dhidi ya viongozi kadhaa wa DRC.
09.12.2024 Matangazo ya Jioni
Wasyria wameendelea kushangilia kuanguka kwa utawala wa rais Bashar Al-Assad// Chama Kikuu cha Upinzani nchini cha CHADEMA kikijiandaa na uchaguzi mkuu wa Taifa wa chama hicho.
09.12.2024 Matangazo ya Mchana
Wasyria wanatarajia kuanza ukurasa mpya baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al Assad// Rais wa zamani wa Ghana John Drahami Mahama amepata ushindi wa kihistoria katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa juma//Mapigano yameendelea kuripotiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya jeshij la serikali na waasi wa M23.
09.12.2024 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu: Asubuhi 09.12.2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya Disemba 9, 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Matangazo ya Mchana: 07.12.2024
Viongozi wa dunia wakusanyika mjini Paris kwa ajili ya kuifunguliwa tena Notre-Dame. Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol ameomba radhi kwa taifa lake kutokana na amri aliyotangaza ya sheria ya kijeshi mapema wiki hii. Wananchi wa Ghana wapiga kura kumchagua rais Jumamosi 07/12/2024.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 7 Disemba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 7 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Colombia yakanusha kuwepo miili 20,000 uwanja wa ndege
Colombia imekanusha kuwepo kwa miili ya watu 20,000 walipotezwa kwa nguvu kwenye uwanja wa ndege wa Bogota.
Mahakama ya Katiba ya Romania yafuta uchaguzi wa rais
Mahakama ya Katiba ya Romania imeamuru kufutwa kwa duru ya kwanza ya uchaguzi na kuitisha uchaguzi wa marudio.
Mashambulizi ya Urusi yauwa 12 Zaporizhzhya
Mashambulizi ya mabomu yanayoongozwa kwa mashine yameuwa watu 12 katika mji wa Zaporizhzhya.
Waasi Syria waitwaa Daraa
Serikali ya Syria imepoteza udhibiti wa jimbo na mji muhimu wa kusini, Daraa.
Rais wa Korea Kusini aomba radhi kwa taifa
Rais Yoon ameomba radhi kwa taifa lake kutokana na amri yake ya kutangaza sheria ya matumizi ya nguvu za kijeshi.
Ajali ya barabarani yauwa 26, yajeruhi 28 Ivory Coast
Ajali mbaya ya gari nchini Ivory Coast imepoteza maisha ya watu 26 papo hapo na kuwajeruhi wengine 28.
06.12.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limethibitisha kuwa mazungumzo ya kusitisha mapigano ya eneo hilo/ Vyama vikuu vya kisiasa vya Korea Kusini vinafanya mazungumzo ya dharura huku wabunge wakijadili kuharakisha kura ya kumtimua Rais Yoon Suk Yeol
Putin ateuwa gavana mpya wa Kursk
Rais Vladimir Putin wa Urusi amemteuwa gavana mpya wa mkoa wa Kursk, ambao sehemu yake ipo ndani ya Ukraine.
Macron aapa kusalia madarakani baada ya serikali kuporomoka
Macron amelihutubia taifa kufuatia kujiuzulu kwa waziri mkuu aliyeondolewa madarakani na bunge.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Disemba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 6 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Macron autuhumu upinzani "kuihujumu" jamhuri
Siku moja baada ya serikali yake kuporomoka bungeni, Rais Emmanuel Macron ameutuhumu upinzani kuihujumu jamhuri.
06.12.2024 Matangazo ya Jioni
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano barani Ulaya, OSCE wanakutana nchini Malta// Wawekezaji kutoka ndani na nje ya Burundi wametakiwa kufanya kila juhudi ili kuhakikisha Burundi inayafikia malengo ya maendeleo endelevu// Wasomi katika masuala ya bioanuwai barani Afrika wamezitaka serikali za Magharibi kuwekeza zaidi katika utafiti.
05.12. 2024 Matangazo ya Mchana
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatakiwa kuumaliza mzozo wa kisiasa ulioibuka nchini Ufaransa baada ya Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kuondolewa madarakani// Maelfu ya raia wa Georgia ambao ni wafuasi wa Umoja wa Ulaya wanaandamana katika mji mkuu wa Tbilisi wakiipinga serikali ya kitaifa ya kihafidhina.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 5 Disemba 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 5 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Dunia Yetu Leo Asubuhi 5 Disemba 2024
Sikiliza matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 5 Disemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Polisi ya Ujerumani yafanya msako wa wasafirishaji wahamiaji
Polisi nchini Ujerumani imefanya msako dhidi ya mtandao wa kihalifu unaotuhumiwa kusafirisha wahamiaji haramu.
UNICEF yasaka dola bilioni 9.9 kwa watoto maeneo ya vita
UNICEF imetangaza kampeni ya kusaka dola bilioni 9.9 kwa ajili ya mamilioni ya watoto walioathirika kwa vita.
Mamilioni ya watu hawana umeme Cuba
Cuba imetangaza kwamba ina uwezo wa kusambaza sehemu ndogo kabisa ya umeme kwa raia.
Lavrov ziarani Malta
Lavrov yuko nchini Malta kwa ajili ya mkutano wa Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano ya Ulaya (OSCE)
Mkataba wa kijeshi wa Urusi, Korea Kaskazini waanza kazi
Mkataba wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Korea Kaskazini na Urusi umeanza rasmi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 132
Ukurasa unaofuatia