You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanajeshi wa Israel wavamia na kuchoma hospitali Gaza
Tukio hili lilitokea baada ya wanajeshi hao kuwafukuza kwa nguvu wafanyakazi wa hospitali na wagonjwa waliokuwepo.
Israel na Wahouthi washambuliana kwa makombora
Israel iliupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi na maeneo mengine nchini Yemen.
Watawala wapya wa Syria waanza kuwasaka masalia wa Assad
Mamlaka ya Syria pia imepiga marufuku ripoti za habari zenye mwelekeo wa kuchochea tofauti za kimadhehebu.
Watawala wa Syria waanzisha operesheni kwenye ngome ya Assad
Wapiganaji watatu wanaohusishwa na serikali iliyoangushwa ya Bashar al-Assad waliuawa kwenye operesheni hiyo.
Watawala wa Syria waanzisha operesheni kwenye ngome za Assad
Serikali ya mpito ya Syria imeanzisha leo operesheni kwenye ngome ya rais aliyeondolewa madarakani Bashar al-Assad.
Polisi 14 wa Syria wauawa katika shambulio ka kuvizia Tartus
Wizara ya mambo ya ndani ya Syria imesema askari polisi 14 wameuawa katika shambulio la kuvisia Tartus.
Polisi 14 wa Syria wauawa shambulio la kuvisia Tartus
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Syria amesema askari 14 wameuawa na 10 kujeruhiwa mapigano na vikosi vya utawala uliyopita.
Al-Shibani aiambia Iran isieneze machafuko nchini Syria
Kuondolewa madarakani kwa Assad kunachukuliwa kama pigo kwa muungano wa kisiasa na kijeshi unaoongozwa na Iran.
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka chini silaha
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi
Jeshi la Marekani lawaua wapiganaji wawili wa IS, Syria
Kundi la IS liliangamizwa mwaka 2019 lakini mizizi yake bado ipo nchini Syria
Kiongozi mpya wa Syria asema serikali itadhibiti silaha zote
Ahmed al-Sharaa amesema silaha zote, zikiwemo zile zinazoshikiliwa na Wakurdi, zitakuwa chini ya udhibiti wa serikali.
Al-Sharaa: Raia wa Syria wanapaswa kujiamulia wenyewe
Hayat Tahrir al-Sham iliunda serikali ya mpito Syria baada ya kuondolewa madarakani Bashar al-Assad mapema mwezi huu.
Mchunguzi UN asema uthibitisho wa mashtaka Syria unawezekana
Robert Petit amesema uwezekano wa kupata uthibitisho wa uhalifu ni mkubwa, lakini vituo vinahitaji kulindwa visifikiwe.
Kiongozi wa Syria asema serikali kudhibiti silaha zote
Ahmed Al-Sharaa alisema haya wakati wa mkutano wa habari na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan.
Kiongozi mpya Syria aahidi kuheshimu mamlaka ya Lebanon
Ahmed Al-Sharaa amesema Syria haitajihusisha tena kwa njia hasi nchini Lebanon baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad.
Watawala wapya Syria wateua waziri wao wa mambo ya nje
Waziri mpya wa mambo ya nje Assad al-Shibani alishiriki katika uanzishaji wa serikali ya uokoaji iliyoundwa mjini Idlib.
Watawala wapya wa Syria wateua waziri wa mambo ya kigeni
Watawala wapya wa Syria leo wamemteua Asaad Hassan al-Shibani kuwa waziri wa mambo ya kigeni.
Marekani: Mazungumzo ni chanya na kiongozi mpya wa Syria
Wanadiplomasia waandamizi wa Marekani wamesema wamekuwa na mazungumzo mazuri na kiongozi mpya wa Syria.
Utawala mpya wa Syria wataka kuchangia "amani ya kikanda"
Kundi la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) ndilo linaloongoza taifa hilo baada ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ujumbe wa Marekani wawasili Damascus kwa mazungumzo
Marekani imesema hatua hiyo imechukuliwa kwa matumaini ya kuhimiza kufuatwa siasa za misimamo ya wastani na jumuishi
Wanadiplomasia wa Marekani wakutana na watawala wapya Syria
Wanadiplomasia wa Marekani wako nchini Syria kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na watawala wa Hayat Tahrir al-Sham.
Wakuu wa EU wakutana Brussels mara ya mwisho kwa mwaka 2024
Mkutano wa kilele mjini Brussels ni wa mwisho kwa viongozi wa Umoja wa Ulaya kwa mwaka huu wa 2024.
Netanyahu atoa oanyo kali kwa Wahouthi wa Yemen
"Wahouthi wanajifunza, na watajifunza kwa njia ngumu kwamba anayeishambulia Israel hulipa gharama kubwa sana"- Netanyahu
Viongozi wa EU watahadharisha kuhusu mustakabali wa Syria
Kundi la Kiislamu la Hayat Tahrir al-Sham (HTS), lililomuondoa al-Assad, limedai kuwa linataka kuwakilisha Syria nzima.
Jeshi la Russia laondoka Syria kwenda Libya?
Vikosi vya kijeshi vya Urusi vilivyoko Syria vinaonekana kuanza mchakato wa kuondoka kwenye kambi zao.
Viongozi wa EU kujadili mustakabali wa utawala mpya Syria
Mataifa ya umoja wa Ulaya yanakabiliwa na maamuzi ya namna gani ya kushughulika na uongozi mpya wa taifa hilo.
Umoja wa Mataifa watoa wito wa uchaguzi huru Syria
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Geir Pedersen ametoa wito wa kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki nchini Syria
Wabunge Ujerumani: Mjadala wa kuwarejesha Wasyria ufanyike
Wabunge waandamizi wa kihafidhina katika bunge la Ujerumani, Bundestag, wamewataka wanadiplomasia mjini Damascus kuzungu
Netanyahu: Majeshi ya Israel kusalia Mlima Hermon
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema wanajeshi wa nchi hiyo wataendelea kubaki katika eneo la kimkakati la M
HTS kujivunja na kujiunga na jeshi la Syria
Hayat Tahrir al-Sham (HTS) imesema italivunja tawi lake la kijeshi na kujiunga rasmi na jeshi
Baraza la Usalama: Mchakato wa kisiasa Syria uwe jumuishi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa mwito wa kuanzishwa mchakato wa kisiasa "jumuishi" nchini Syria.
Netanyahu: Wanajeshi watabakia ukanda salama na Syria
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema vikosi vya nchi yake vitabakia la ukanda salama na Syria
Baada ya Syria, je, utawala wa Iran utafuata na kuanguka?
Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad je utawala wa Iran pia utaanguka?
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
Ulaya yaipa Uturuki bilioni 1 kuwasaidia wakimbizi wa Syria
Ulaya yaipa Uturuki bilioni nyengine moja kuwashughulikia wakimbizi wa Syria
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Kiongozi wa Syria asema makundi ya waasi "yatavunjwa"
Kiongozi mpya wa Syria amesema makundi yote ya waasi nchini humo yatavunjwa na kuwekwa chini ya wizara ya ulinzi.
Mali yadai kumkamata kiongozi wa IS kanda ya Sahel
Jeshi la Mali limesema limemkamata "kiongozi mkuu" wa tawi la kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS, kanda ya Sahel.
Mashambulizi ya Israel yapiga maghala ya makombora Syria
Israel imekuwa ikiishambulia kile ilichosema ni maeneo ya kijeshi ndani ya Syria baada ya kuangushwa utawala wa Assad.
Serikali ulimwenguni zawasiliana na watawala wapya wa Syria
Serikali mbali mbali za ulimwengu zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wapya wa Syria.
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema mjumbe wao kuzungumza na watawala wapya wa Syria.
16.12.2024 - Matangazo ya Asubuhi
16.12.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Mataifa ya kigeni yawajongelea watawala wapya wa Syria
Umoja wa Mataifa na nchi kadhaa duniani zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wa mpito nchini Syria.
Israel yadhamiria kujitanua eneo la Milima ya Golan
Serikali ya Israel imeidhinisha mpango wa kuongeza idadi ya watu kwenye eneo inalolikalia kwa mabavu la milima ya Golan.
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa ataka Syria iondolewe vikwazo
Syria imekuwa katika mzozo kwa muda mrefu chini ya utawala wa rais aliyeondolewa Bashar al-Assad.
Meza ya Duara: Anguko la Assad na mustakbali wa Syria
Kwenye Meza ya Duara wiki hii, Mohammed Khelef anawaongoza Ahmed Rajab, Abdulfattah Mussa na Harrison Mwilima kujadili anguko la aliyekuwa dikteta wa Syria, Bashar al-Assad, na mustakbali wa taifa hilo la Mashariki ya Kati.
Mjumbe wa UN Syria ataka vikwazo viondolewe baada ya Assad
Mjumbe Maalum wa UN kwa ajili ya Syria Geir Pedersen ametoa wito kwa taifa hilo kuondolewa vikwazo mara moja.
Marekani yakiri kuwasiliana moja kwa moja na Syria
Kundi hilo la waasi la HTS lilichukua madaraka baada ya kumuangusha Rais Bashar al-Assad siku chache zilizopita.
Mjumbe wa UN aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa aonya dhidi ya kuanguka taasisi za Syria
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 74
Ukurasa unaofuatia